Magari ya serikali yakampenia CCM
Gazeti la Mwananchi -Thursday, 26 August 2010
LICHA ya sheria na kanuni za Uchaguzi kuzuia matumizi ya magari ya serikali, msafara wa mgombea urais wa CCM...
WANA KALENGA WALIKUWA NA HAKI YA KUTOMPIGIA KURA ABAS KANDORO KTK ZOEZI LA KURA ZA MAONI NDANI YA CCM,AMEONYESHA UWEZO MDOGO JUU YA SWALI LA KWANINI MAGARI TENA YENYE NEMBO ZA SERIKALI NA HATA...
Kama katibu mkuu wa CCM alikiri kwamba kila mgombea ametoa rushwa ila wamezidiana uwezo,ina maana kwamba wagombea wote wa CCM waliopitishwa walitoa rushwa kubwa.Kama ndo hivyo CCM itatueleza nini...
vijana waliokuwa nje wanachukulia kuwa CCM kwa sasa ni chama cha wazee hasa kwa wale vijana walioko nje, tufanyeje ili tuweze kujua hali halisi ya kila mahali kwa kuweza kufanya mikakati ambayo...
Blogu hii ya KULIKONI UGHAIBUNI inafungua ukurasa mpya na kuweka historia ya kipekee katika fani ya habari nchini Tanzania kwa kutangaza hadharani kuwa inam-endorse mgombea urais wa Jamhuri ya...
Akiwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, JK aliwahi kuzidiwa ghafla uwanja wa ndege wa Brussels nchini Ubelgiji akiwa njiani kuelekea nchini Cuba, hali iliyosababisha alazwe kwa...
PROFESA MWAKYUSA ATAKA MAELEZO YA DAKTARI
Na Sadick Mtulya
WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii, Profesa David Mwakyusa ametaka kupewa maelezo ya kina kuhusu afya ya Rais Jakaya Kikwete ikiwa ni...
PICHA za mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) zilizobandikwa katika eneo baadhi ya maeneo zimechanwa na watu wasiojulikana hali ambayo ofisi ya Mkuu wa Mkoa imesema inafuatilia...
Kuna tetesi kwamba Mgombea ubunge Jimbo la Rungwe Mashariki, Prof Mark Mwandosya amewekewa pingamizi! Sijui linahusu nini na nani amemwekea, mwenye habari atujulishe, pls!
Nguguni zangu kulikuwa na joto na fukuto kali kutoka kwa waislamu kuhusu mahakama ya kadhi na waliishatangaza kutokipigia kura chama cha mapinduzi ccm kwa sababu tu waliondoa mipango hiyo kwenye...
Katika kile kinachoonekana ni kujipanga dhidi ya uwezekano wowote wa kuugua ghafla au kupata ajali kwa viongozi au makada wake, msafara wa kampeni za mgombea huyo umekuwa ukiongozana na magari...
KWENYE TOLEO LA LEO LA GAZETI LA MTANZANIA LINALOMILIKIWA NA KAMPUNI ILIYO CHINI YA ROSTAM IMEJARIBU KUGUSA MAISHA BINAFSI YA NDOA YA DR SLAA, KIUJUMLA LENGO LA HABARI NI KUMDHARIRISHA DR SLAA...
Makala ya Bw Deodatus Balile katika gazeti la Mtanzania toleo no 0856-5678 lenye kichwa cha habari "Dk Slaa avunja ndoa" imenishangaza sana. Imenishangaza kwa sababu kadhaa, kwanza, mtu kama...
WAPIGA KURA ZAIDI YA MILIONI MOJA NA NUSU WAMEGUNDULIKA KUWA NA KASORO KWA HIYO HAWATAPIGA KURA,TUIULIZE HII NEC YA CCM,HAO WAPIGA KURA WENYE KASORO NI WA MAJIMBO GANI?ISIJE IKAWA JANJA YA NEC...
Dk Slaa: Ni gharama kubwa kuiacha CCM iongoze nchi Send to a friend Tuesday, 24 August 2010 22:55 0diggsdigg
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Wilbroad Slaa
Elias Msuya
MGOMBEA urais kwa...
Kuna hypothesis ambayo mwandishi Jenerali Ulimwengu ameiweka kwenye gazeti la The East African toleo la wiki hii, kuwa nchi ndio inauzwa, hela yako tu.Ukiwa na hela ya kutosha unapata udiwani...
Wapendwa wana jamii wenzangu, ktk utafiti wangu usio rasmi, nimeona kuwa kiujumla wanawake hawapendani, wanaoneana wivu usio wa lazima, wanatumia muda mwingi kudidimizana, hawatakiani yaliyo mema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.