Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Na Mwandishi Wa Risasi Wakati Katibu wa NEC ya CCM, Uchumi na Fedha, Amos Gabriel Makalla akitarajiwa kuzindua kampeni zake kwa kishindo Agosti 29, 2010 (Jumapili ijayo), Mzumbe, Mvomero, mke...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi CHADEMA wamejiandaaje kuhusiana na kutengeneza matangazo mafupi mafupi ya kampeni ambayo yatarushwa na vituo vya televisheni na redio? Ningependa kujua kama kuna wanaojua.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Jenerali Ulimwengu Angurumaa nakusema:Sasa ni wakati wa Kasi zaidi,Hiyo kasi ya kwenda wapi Wakati tayari tumepoteza Mwelekeo Jenerali Ulimwengu Nimekuta ndio mazungumzo ya Jenerali Ulimwengu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Oktoba ndiyo hiyo ina karibia na baada ya takribani miezi miwili Tanzania ina piga kura. Tofauti ni kwamba huu siyo uchaguzi wa kawaida. Hapana! Tuna chama kimoja chenye nguvu zinazo pungua lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KWENYE GAZETI LA TZ DAIMA LA LEO UKURASA WA MBELE KUNA PICHA YA GARI LA WAGONJWA LA HOSPITALI YA BUGANDO LINALODAIWA KUSINDIKIZA MSAFARA WA KAMPENI ZA JK,JAMANI THIS IS TOO MUCH,HAWA CCM...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hili ni swali GUMU zaidi kupata kuulizwa katika historia ya Tanzania. SWALI: Taja mambo matatu(3) tu ya maendeleo ambayo Serikali ya JK imeweza kufanya tangu iingie madarakani miaka mitano...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Wajamane. kundi la waandishi wapatao 9 walipo kwenye msafara wa JK katika mikoa ya Kanda ya ziwa hali zao ni mbaya kifedha Bw Muhingo Rweyemamu aliye na fungu la kuwapatia waandishi hao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Revealed: Greedy leaders steal millions in fertiliser subsidy By Gerald Kitabu 22nd August 2010 When Situmai Ramadhani Rajabu (36), a resident of Kirando Ward in Nkansi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Muda mfupi uliopita, msafara wa Rais Jakaya Kikwete ukielekea Kamachumu umeua mtoto wa shule ya msingi katika maeneo ya Muhutwe - Muleba Kaskazini. Hii ni habari ya kusikitisha na ninawapa pole...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Musoma Vijijini, Michael Makenji, anashikiwa na Takukuru kwa tuhuma za kupokea rushwa ya Euro...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna mtandao umeanzishwa unaitwa Friends of Dr Slaa unao jumuisha wafanya biashara wakubwa nk, kila mtu anajua jinsi wafanyabiashara wakubwa wanavyo ihujumu nchi hii sababu tu waliisaidia CCM...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi kila nikiangalia hii thread machozi yananitoka. Kwa kweli inatia huruma sana. Rais ana huruma au nini? Mimi nadhani kwa sasa lazima Waziri wa Afya aingilie kati _ Dr Mfisi should be out kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
'Bima gari ya Chenge ilikuwa ya mtu mwingine' Na Hidaya Kivatwa OFISA wa Kampuni moja ya Bima ya jijini Dar es Salaam, ameiambia Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kuwa stakabdhi ya bima...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani nasikitika pale napoona kampeni za chama tawala zinageuka FIESTA ELECTION 2010! Naomba kufahamishwa kampain meneja Hivi ha wa CCM wameona kitu cha msingi kwa wananchi wao nikuwapelekea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanachama Wote na Viongozi wa CCM, Kutokana na hali ya mambo ilivyo na hasa kwa faida ya nchi yetu kama Watanzania, tunawaomba sana Mbadilishe mgombea wenu wa Kiti cha Urais awe Dr. Salim Ahmed...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa watu ambao walimsikiliza Rais Kikwete jana huko Mwanza alianza kutoa ahadi ambazo haziko katika Ilani ya CCM bali ziko katika Ilani ya Chadema. Nimebahatika kupitia Ilani zote mbili nikiwa ni...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau nalileta kwenu hili...! Huyu mtangazaji ana matatizo gani..Maana kwenye kipindi cha magazeti anapenda sana kupotezea habari zinazoiponda Serikali..Mfano leo Hakusoma kabisa habari kubwa...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Ni ndani ya Tanzania pekee, yaweza tokea yafuatayo: 1. Kiongozi wa kisaiasa anaweza kukejeli wapiga kura na bado akashangiliwa. 2. Wanasiasa hawawajibiki kwa waliowachagua. 3. Uraia unakuwa muhimu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna vyama vya siasa mbavyo bado sijajua nia yao hasa katika Taifa hili. Nimesikitishwa sana na chama kimoja siasa (hivi ambavyo havina majina) ambacho kimemsimamisha mgombea ambaye ni Barmaid...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Towards Tanzania's general election: As the campaigns begins, let us be frank and recollect our senses-lets be patriotic by electing into offices those whom our conscience approves. We should...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom