To: Mrisho Jakaya Kikwete
Kijana,
Perhaps you are just addicted to fame and popularity, or you just don't know what you are really doing in State House. But whatever it is, you're leading...
Government warns Mgaya for his defiant remarks
By ABDULWAKIL SAIBOKO,
13th August 2010
THE government has warned the Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA) Acting Secretary General, Mr...
Mheshimiwa Rais nchi inasambaratishwa na udini, chanzo kikiwa ilani ya uchaguzi wa chama chako cha CCM kilichoingiza mambo ya udini katika ilani ya uchaguzi, Mh rais. wewe hauioni hatari hii...
CCM wajipanga kumzuia Dr Slaa
• Waandaa mamluki kumdhamini
• Waomba msaada wa vyama vidogo
Na Saed Kubenea
Mkakati umesukwa na viongozi ndani ya CCM ili kuzima safari ya Dk Wilbrod...
Tangu enzi za Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani, Mrema alitangaza kuwa Kambona hakuwa raia wa Tanzania na kuwa atakamatwa uwanja wa ndege akitokea uhamishoni. Salim Ahmed Salim naye alikuwa...
Kwa waratibu wa kampeni ya Mh. Slaa katika kugombea Urais 2010,
Napenda kuwajulisha tu kuwa nina wazo lililonijia katika siku chache zilizopita ambalo nina amini linaweza kusaidia katika kampeni...
Napenda nianze kwa kuwaomba samahani wanawake kwa kauli yangu.
Nimefanya uchunguzi na kugundua kuwa umasikini wa nchi hii umetokana na kung'ng'ania CCM. CCM ni chama ambacho kimeshauzwa na...
Nilikuwa naahgalia taarifa ya habari na niliangalia kwa hisia namna walinzi wa Mgombea wa urais kwa kupitia CHADEMA walivyo shupavu kwa kufuatilia gari ya Bosi wao kwa miguu. Jee hali itakuwa hivi...
Nimepokea taarifa muda huu huu kuwa mume wa Naibu Waziri gaudencia Kabaka, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, nafuatilia kujua hali halisi. Lakini habari zaidi zinaeleza amefariki akiwa nyumba...
Kumekuwa na vilio vingi kutoka kwa wadau anuai kumtaka rais achukue maamuzi magumu ili kuleta mabadiliko katika chama na serikali yake, lakini imekuwa ni kama kumpigia mbuzi gita kwani hakuna...
Wenye nchi yao hivi sasa wamezua tafrani mjini. Kuna foleni ya kufa mtu hakuna gari linasogea...JK anarudisha fomu! Maisha bora kwa waendao kujenga Taifa!
Issue ya bashe na uraia wa Somalia iliyoubuka kutokana na mizengwe ya kamati kuu ya CCM, imenisukuma niandike hii hoja ili tuijadili kwa kina
Mara kadhaa makamba amekuwaakitetea hoja kuwa yeye si...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam William Lukuvi amepita bila kupingwa kwa tiketi ya CCM na kata tisa zilizopo jimbo la isimani wagombea wa CCM wapita bila Kupingwa
Jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe...
SOte wanajamvi ndo Tutajenga Taifa Letu. Watu kupoteza CCM ya Janja ni hii. Tumain, malaria Sugu Na Jeykey akina na kujibizana wa muda wanapoteza Taifa wa Mstakabali kwa Hoja kutoa wanajamvi ya...
Mojawapo ya vitu ambavyo sipendi kwenye CCM ni huu utaratibu wa kikomunisti ambapo watu fulani katika majoho yao wanatengua maamuzi ya kura kwa ajili ya maslahi ya "chama". Badala ya kuwachuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.