Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Polisi Mkoani Morogoro wakionyesha vifaa vipya, katika maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba. (Picha na Ida Mushi) Source: Nipashe 18.08.2010
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Miaka ya karibuni kumeibuka watanzania na hususani viongozi wetu kujinadi kwa PHD zao. Inaelezwa kwamba baadhi yao wana PHD feki maana zinapatikana kutoka vyuo ambavyo havitambulikani kitaaluma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Tanzania Labour Party (TLP), Muttamwega Mgahywa, anadaiwa kutapeli Sh 18,829,500 za watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro. Mgahywa anadaiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
AG responds in anti-JK petition Tuesday, 17 August 2010 By Bernard James The Attorney General has asked the High Court to dismiss a petition seeking to disqualify President Jakaya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ndiyo hiyo wanaJF, inabidi kuwa makini na hizo kura 1.5 Milioni si haba isije ikawa ndo mchezo ule wa jadi kwa upende fulani. Source: IPP Media
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Boniface Meena BAADA ya kukosa ridhaa ya kugombdea ubunge kwa tiketi ya CCM kutyokana na chekeche la mwisho la halmashauri kuu ya chama hicho, waliokuwa wagombea ubunge na wanachama waandamizi...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
msikate tamaa, mageuzi hayaji kwa siku moja milango yote haijafungwa! jaribuni upande wa pili nyie ni wapiganaji
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimekuwa mara nyingi nasoma na kusikia watu mbalimbali wakisema kitu ambacho sikubaliani nacho labada mnijulishe vinginevyo kuwa "CCM imetutawala miaka 49 ama CCM imetutawala toka UHURU hadi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NAWAHABARISHA WAKEREKETWA WA CCM KUWA CCM SI MALI YOA ILA NI MALI YA MAKAMBA NA MSEKWA.HAWA WAHESHIMIWA WAMETOA KAULI ZINAZODHIHIRISHA HAYA. MFANO MSEKWA ALITOA RUHUSA KWA "WANACCM WALIOSHINDWA...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani wanajamvi tangu nchi yetu Tanzania ipate uhuru ni maraisi wanne sasa tunao kuna mengi ya kujiuliza nini tumepata na nini tumekosa katika ngwe zote nne za marais wetu,sina kumbukumbu nzuri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Hii ni tanzania ninayoitamani, nchi imara ambayo watu wake wanajali uwezo wa mtu wa kuongoza Dr. Slaa. Mashehe watamke Dr Slaa ni chaguo la Mungu wamuunge mkono.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Moja ya hotuba zilizovuta hisia za watu wengi nchini mwaka huu ni ile iliyotolewa na mheshimiwa rais tarehe 3 mei. Hotuba ile mpaka sasa bado inajadiliwa mitaani na wengine wameanza kuitumia kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Gonga hapa ili kusikiliza mahojiano.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
WAGOMBEA kutoka vyama mbali mbali vya siasa nchini, wamejitokeza katika ofisi za Tume ya Uchaguzi, Manispaa ya Kinondoni kwa ajili ya kuchukua fomu za kugombea ubunge. Wagombea 31 walifika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JUZI SERIKALI IMETANGAZA KUONGEZEKA KWA KIMA CHA CHINI NA WARAKA UANONYESHA KUWA KIMA CHINI KIMETOKA KUTOKA TSH 135,000/= ALICHOTANGAZA JK SIKU ANAVYUNJA BUNGE HADI TSH 260,000/= AMBACHO NDICHO...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau, mara kadha nimekuwa najiuliza hili swali: Baada ya kuona Takukuru ikiingilia rushwa katika mchakato wa kura za maoni za ugombea wa CCM, na ‘kufanikiwa’ kuwanasa watoa rushwa kadha makada wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mtakao kasirika na wengine kufurahia au hata kulalamika. Huu ujumbe wa huyu jamaa wa CUF nimeusoma mahali na nimeona ni heri tuusome wote. Wale wanaokwepa hoja, ngoja niwawekee tena hapa...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Ama kweli jana nilikuwa nikiangalia Taarifa ya habari saa 2 za usiku kupitia TBC1 na kumuona Kapt.John Chiligatti akisema viti maalum vimeongezwa hadi kufikia 100, sasa mimi naomba kuuliza hivi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kada wa muda mrefu wa CCM Arcado Ntagazwa ameamua kujiunga rasmi na chama cha Chadema. Mzee Ntagazwa amewahi kuwa waziri katika awamu ya kwanza na ya pili ya serikali ya Tanzania. Katika...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kujaribu kuvunja Jamhuri ya Muungano kwa kisingizio chochote kile cha kisiasa ni uhaini. Mnaweza kutafuta kura na support ya wapiga kura lakini ukweli ni kuwa kuna nchi moja ambayo ni Jamhuri ya...
0 Reactions
255 Replies
21K Views
Back
Top Bottom