Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Issue ya bashe na uraia wa Somalia iliyoibuka kutokana na mizengwe ya kamati kuu ya CCM, imenisukuma niandike hii hoja ili tuijadili kwa kina Mara kadhaa makamba amekuwa akitetea hoja kuwa yeye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wagombea ubunge kwa Majimbo ya Morogoro Mjini na Morogoro Kusini mashariki kupitia CHADEMA wamerejesha form zao leo na kuahidi kufanya makubwa endapo wakichaguliwa. Mwanasheria Amani Mwaipaja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ikulu lawamani • Yafuja mamilioni kwa chakula cha jioni na Edward Kinabo WAKATI baadhi ya wadadisi wa mambo wakihoji faida gani taifa lilipata kwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa uchumi wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hii article hapa chini ni kutoka gazeti la mwanahalisi........kama ni kweli basi twazidi twafwa serikali yafadhili kampeni za ccm na saed kubenea - imechapwa 11 august 2010 msemaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa Mara ya kwanza kizazi kipya cha mabadiliko kitaanza kupiga kura au kushiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.Kizazi hiki ambacho hakijachakachuliwa ni wale vijana ambao walizaliwa kuanzia mwaka 1992...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
About 4,103 Chama Cha Mapinduzi members in Orkolili ward in Siha District, Kilimanjaro Region, have defected to the opposition Chama Cha Democrasia na Maendeleo (Chadema). Speaking to 'The...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Shy-Rose Bhanji amvaa Msekwa Shy-Rose Bhanji amvaa Msekwa na Mwandishi wetu KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shy-Rose Bhanji, amemshutumu Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Pius Msekwa na...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
CCM ni vululuvululu na Waandishi wetu, Thomas Nyimbo atua CHADEMA BAADA ya kuelemewa na malalamimiko kutoka kwa wanachama wake huku wengine wakipandishwa kizimbani baada ya kuhusishwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tangu jimbo la Tarime kubebwa na Marehemu Chacha Wangwe(CHADEMA), na makundi mawili yaliyokila Chama cha Mapinduzi Tarime, imekua vigumu kwa CCM kurudisha jimbo hilo, hata Uchaguzi mdogo ukapita...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nahakikisha watu wote wanaoishi kwa kutegemea hiki kijimshahara changu kutoka kwa JK na mimi mwenyewe hatumpigii Kura CCM na Kikwete. 1. Alizikataa mwenyewe, 2. Alisema atatutumia Polisi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, amekiri kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa ni mpambanaji wa siasa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Waungwana Leo nimesema hebu nitembelee hii tovuti ya hiki chama kinachoitwa majina lukuki. Orodha fupi ni kama ifuatavyo: 1. Chama Cha Majambazi - CCM 2. Chama Cha Mafisadi - CCM 3. Chukua Chako...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Na Maggid Mjengwa, Jana jioni jamaa mmoja wa Idara ya intelijensia ( Tanzania) aliniuliza swali la ‘ kizushi’ ; “E bwana nataka kuifahamu Jiografia ya hapa, hivi wewe unakaa nyumba ‘A’ au’ B’...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania kama zilivyonchi zingine, imekuwa ikiwakilishwa na mabalozi nchi za nje. Wote tumeshuhudia mabalozi wakiteuliwa, vijana kwa wazee, waliopitisha umri wa kustaafu na walio na damu changa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JULAI 14 mwaka huu aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Kishapu na msemaji mkuu wa kilichokuwa Chama cha Jamii (CCJ), Fred Mpendazoe, alijiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mbali na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
:crying:Ikiwa ni mwitikio wa wito wa kukataa rushwa uliorushwa na Asasi ya Agenda Participation 2000 kwenye ITV, Channel 5 na East Africa Radio, Wananchi wengi wa jimbo la Igunga wamepiga simu na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wakuu, nimekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa kipindi cha vichekesho almaarufu ze komedy. huyu jamaa anayejiita bepari la kihaya,(kila sehemu yake ya kujidai inapafika), hakosi kumtaja abdul...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi hii inakaaje? Dr. Slaa ukipata muda hebu pitia hapa na utupe maelezo zaidi. Pia watu kama Zitto, na wanasiasa wengine mliopo hapa JF. Ninashindwa kuelewa kama CCM ambacho ni CHAMA, inakuwaje...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Chama cha Mapinduzi-CCM kimesema mwanachama yeyote wa chama hicho aliyeshindwa katika uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani anayeona ni vizuri akahamia chama kingine cha siasa, anaruhusiwa kufanya...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom