Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kikwete anahutubia sasa taifa, atazungumzia a. Kura ya maoni b. Barabara ya lami kupita serengeti c. Uchaguzi Mkuu Nitawaletea hotuba yenyewe baada ya hotuba kwisha. SEHEMU YA 1...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Tangu hatua za kwanza za kutaka maridhiano kati ya CCM na CUF kule Visiwani zilipoanza nimekuwa najiuliza: Jee maridhiano haya yakizaa srikali ya umoja wa kitaifa kule Visiwani uhusiano wa vyama...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
BBC Badilisheni hii Picha. Hii Picha ipo kwenye kurasa ya mbele kabisa kwenye tovuti ya BBC swahili, hakika ilinistua kwa kuiona hii picha nikajuwa kuwa kuna matatizo kwenye upigaji kura...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Taasisi nyingi za serikali ambazo asili ya majukumu yake ni kutumia mabavu zina tatizo la kuwa na professionals wachache sana. Taasisi kama vile TAKUKURU, POLISI, na MAGEREZA ni taasisi ambazo...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakati wa kumaliza Mkutano wa 20 wa Bunge Wabunge walimlalamikia aliyekuwa Spika wa Bunge hilo Samwel Sitta, kuwa TAKUKURU inawafuatilia majimboni wakati wanatoa misaada ili kutimiza ahadi zao...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimerushiwa na mdau mmoja hivi punde.... Ni kupitia mkoa mpya wa geita....
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Vijana waliojitokeza kugombea nafasi za ubunge na uongozi katika ngazi nyinginezo kwa tiketi ya CCM ni wengi na wanazidi kuongezeka. Wengi wa vijana hawa ni wasomi na wenye shahada za juu...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Kwa heshima ya chama na serikali kwa ujumla kwa heshima ya wana ccm wote wanaokitakia chama chao mapenzi mema ninatarajia kesho kumwona mzee wetu mathread akieleza imekuwaje uhuni ama naweza ita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ayawi ayawi yamekuwa kadi 400 za waanachama wa ccm feki zimekamatwa ktk kinyanganyiro cha uchaguzi ilala jangwani huku wakilalama iweje uchaguzi ukafanyike nyumbani kwa mjumbe;;matatizo haya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ikiwezekana wacharazwe bakora kadhaa mbele ya kadamnasi ili iwe fundisho mbele za watanzania kuwa sasa tumedhamiria kuifuta rushwa! Hii ni fedheha si kitaifa tu bali kimataifa pia... What a...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wapendwa naomba msaada wenu leo hii nimeona sehemu nyingi za kupiga kura dar kawe wakitukana nana hasa na wengine kulalamikia iweje londa anagombea udiwani huku kinondoni na ubunge seehemu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale walioangalia TBC habari saa mbili mnaweza kuamini sasa hii biashara ya kupiga kura ilikuwa wizi mtupu ..nasema hivi kwa maana tukianza na dar wameshindwa hata kupeleka viafaa vya kupiga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangu DK. Slaa apendekezwe na kamati kuu ya CHADEMA kuwa mgombea wa Chama hicho nimetembelea tovuti ya CHADEMA kuona kama habari yake imepewa nafasi ya kwanza lakini nimeambulia patupu. Tovuti...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
'siamini hata kidogo kuwa watoto wanaozaliwa na mama au baba fulani ndio wana uwezo au kipaji cha kuwa viongozi ' Hayo si maneno yangu bali maneno ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa jinsi hali ya kisiasa na joto la uchaguzi lilivyopanda, binafsi sichelei kuyamka kuwa hakuna kizuizi kitakachomzuia Dr. Slaa kuingia Ikulu baada ya Oktoba 31. Mtu pekee ndani ya CCM ambaye...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Raia Mwema: Slaa awataka Duni, Hamad wa CUF Baada ya mgombvea urais kupitia Chadema, Dk W. Slaa kubadili upepo wa kisiasa nchini kuelekjea uchaguzi mkuu mwaka huu, chama hicho sasa kimo katika...
0 Reactions
75 Replies
7K Views
Taarifa za jana usiku zinaeleza kwamba kuna watu wanaojiita maofisa wa Takukuru walikuwa wakipitia katika mabaa na kuwabughudhi wagombea wa CCM waliokua wakijipongeza kwa kunywa bia ama kula tena...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi dear friends, Me and my little ones (vinzi) we have been moving around the country following CCM's election primaries. It has come to my attention that yesterday RO has confirmed what some of...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Back
Top Bottom