Mambo ya CCM kutumia fedha kwa kujipatia uongozi yanaendelea kujidhihirisha. Kwa sasa PCCB ina mshikilia Mh.Mrema na mabalozi kadhaa kwa tuhuma za rushwa.....nitawaletea habari kamili baadaye...
Ndugu wana JF wote, wanaChadema na wasio wanaChadema wapenda maendeleo na wapenda mabadiliko. Nimeanzisha thread hii makusudi kabisa kuweza kupata mawazo yenu juu ya uendeshaji wa kampeni za...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric James Shigongo amekanusha uvumi unaoendelea kwenye Jimbo la Buchosa kuwa amekamatwa na TAKUKURU.
Shigongo, aliliambia gazeti hili juzi (Jumatano) kuwa...
Habari gani?
Mimi ni Irene, natoka Italy, Naples na nasoma kiswahili katika chuo kikuu.
Lazima nisome kwa tasnifu na ningependa kuandika kuhusu maswala ya uchaguzi ujao na kufuata kampeni zima...
kwa wanaofahamu money laundering haina tofauti na kuiba gari, ukajaribu kufuta chasis number yake original halafu ukaweka yako feki, ukaibadili rangi na vitu vingine, halafu ukairudisha...
siasa zilizopitwa na wakati za maji taka hata wananchi wanawashangaa
wanajiuliza iweje kila chama cha upinzani kiwe cha kidini?
wanajiuliza ule ukabila wa Chadema umeishia wapi?
CCM hawana...
Wana JF, ndani ya wiki hii kumekuwa na taarifa katika vyombo mbalimbali vya habari kuhusu watu fulani fulani "kukamatwa" siyo kutuhumiwa. Kukamatwa kwa kujihusisha na vitendo vya rushwa. leo...
Hivi ari ya kutenda kazi katika kura za maoni za CCM inaonesha mpasuko katika CCM? Au wanatumiwa na kundi fulani la CCM? Je, kwenye kuwapata marais - Zenji na Tanzania hakukuwa na rushwa? Hivi...
Wakuu,
Nimekuwa nikisikia harakati zinazoendelea huko CCM kuhusu kuwania viti maalumu wanawake, walemavu, vijana, wafanyakazi na zingine. Inavyoonyesha karibu kila mkoa wanatoa washindi wawili...
Dont bypass election, Go and cast your vote for Slaa....
Tunguli haziwezi kushindana na nguvu za Mungu hata siku 1.
Kimsingi inabidi tumuombe Mungu ili zote zisizo kuwa halali njia ambazo CCM...
WAKUU,Kutokana na mapokezi makubwa aliyoyapata Dk W.Slaa Arusha Mjini kwenye ngome ya CCM unafikiri itawezekana kwa chama hicho kutetea jimbo lake??????????????.mpaka sasa Dr.Batilda ameanza...
DC wa Kasulu ,Betty Machangu amekamatwa kwa Rushwa,Rushwa ya uchaguzi!!!
UUUwi aibu gani hii?
Kiongozi anayetakiwa kuwa mhimili wa mamlaka ya Rais Wilayani ndiye anakamatwa kwa rushwa.
Huyu ni...
GREEN DARD WA CCM IRINGA MJINI WANATUMIWA NA WAGOMBEA KUIVURUGA CCM
Katibu mtendaji wa Club ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa Bw Frank Leonard jana amezingirwa na vijana wasiojua...
Silaha haramu zaidi ya 5000 zimechomwa moto kwenye uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Morogoro. Lakini kuna mambo mengine yanashangaza kama yamefanywa na watu wenye akili kichwani au la. Angala...
Ndugu watanzania wenzangu, tumeona vielelezo kadha wa kadha kwamba wana CCM wameoza kwa rushwa na ufisadi! Hata wale ambao hatukuwategemea kabisa tunaona wanakutikana na matukio ya ajabu!
Hebu...
Wadau, nawaletea maelezo ya Mtanzania ambaye aliniambia akipata nafasi ya kumuona rais atamueleza yaliyo moyoni mwake...haya ni baadhi ya maelezo...endeleeni
"Mimi ni Mtanzania wa kawaida sana...
Na. M. M. Mwanakijiji
Tumepiga kelele kwa miaka minne na kelele zetu zimebatizwa kuwa ni "chuki binafsi". Tumewapigia mbiu waamke lakini panda zetu zimekuwa ni "kelele za mlango" ambazo hazimzuii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.