Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Slaa avunjika mkono • Alianguka bafuni, apanda jukwaani na POP na Kulwa Karedia SAFARI ya mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Speaker Sitta scolds PCCB over wife’s ‘mistreatment’ By DAILY NEWS Reporters , Total hits: 15...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Alianza Shamsa ... sasa naona Shy-Rose anafuata nyayo.... Inawezekana huna chochote cha kuwaambia wapiga kura zaidi ya kupiga magoti na kuomba wakuchague? Jimbo la Kinondoni Mgombea ubunge...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeona nyomi la watu, check hapo chini mniambie wadau. 1.Mwenyekiti wa CHADEMA akiwatambulisha wakazi mjini Mwanza. 2.Mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mabere...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Katika hatua nyingine, chama hicho leo kinazindua mpango wa Saidia Slaa Ashinde (SASA) katika mkutano utakaofanyika mjini Arusha. Akitangaza mpango huo, Bw. Wilfred Lwakatare ambaye pia ni...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari za Jumapili wadau? Vipi,hivi kwa kuwa Pasco yupo Zenj ndo hakuna tena wa kutujuza yanayoendelea kwenye kura za maoni za CCM huku bara? Invisible vp,tunakutegemea mkuu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mungu awaongoze mchague wale walio wa mungu na sio waliowapa vijisent mungu awabariki
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimefuatilia kwa karibu sanani vyombo vingapi viliandika kuhusu Dr. Slaa kule Arusha na jimboni kwake juzi ilee, lakini ukweli ni kwamba ukiacha kwa upande wa TV stations; Channel Ten na ITV hawa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna mtu ana taarifa na habari hii Makombora ya Dk. Slaa haya Mwahilisi haifunguki Bandwidth Limit Exceeded...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Kwa walioangalia TBC1 taarifa ya habari inaonekana TAKUKURU wameamua kudili na CCM.... Huko iringa mwandishi wa TBC1 anasema Mh Mungai na Bw Frank Mwakalebela wamehojiwa baada ya kukutwa wakigawa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kama tutarajiavyo kesho ni kesho aliesema keshokutwa mwongo..wapendwa wana ccm tunaomba msituchagulie mafisadi na kuja kulalamika wakiwa bungen..naomba mjue apandae Bangi atavuna Bangi..kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani kama vyombo vya habari kama issamichuzi.blogspot.com, TBC na Star TV havitaki kuleta habari; kwanini website ya Chadme (i.e. Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)) haiwi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari Ndo Hiyo Mwaya . . . . . Habari kutoka kwa Wadau zinasema kuwa anagawa pesa si kawaida na ni kwa muda mrefu tu. Wapiga kura waliokwazwa naye wanayo matumaini bado kuwa hatimaye naye...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Wakuu zangu najaribu kutazama possibilities hapa kwa akili ya kufikirika!.. Mathlan Dr.Slaa akipata mgombea mwenza na mgomea Urais wa Zanzibar kuwa Salim A. Salim (ambaye aoondoke CCM) itakuwa...
0 Reactions
76 Replies
7K Views
Samahan wapendwa kama ntawaudhi kuna jambo linanitatiza kila nikiamka asbh ni kura za ccm waziri wa ccm,diwan wa cc,katibukata wa ccm,mkuu wilaya wa ccm kakamatwa na rushwa najiuliza hivi akuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwenye list ya waalikwa, Vasco da Gama yumo?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukweli utaendelea kubaki kuwa, ili mtu aweze kuishi ana hitaji kazi ambayo ni "shughuli yoyote ya halali inayoweza kumpatia riziki yake". Suala la ajira kwa vijana na wananchi limeonekana kuwa ni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kama vile samaki anavyohitaji maji ili aishi vivyo hivyo fisadi huitaji ufisadi ili aishi na kufanikiwa. Kumtoa fisadi kutoka ufisadi ni sawa na kumtoa samaki kwenye maji ukidhania unamuokoa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Rushwa ndani ya bandari ya Dar es Salaam si jambo jipya. Bali kwa upande mwingine, jipya linakuja pale inapogundulika kuwa kuna urasimu ndani ya Mamlaka ya Mapato Tanzania. Pengine Mamlaka ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wajameni hebu niambieni huyu Prof. huwa anashinda vp ubunge maana katika watu ambao huboronga yeye huongoza na zaidi ya hapo hupataje uwaziri au ndo ule undugu na Mkulu! nchi hii uniudhi kha!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom