Inasikitisha sana kuona vijana wanapata ajira serikalini halafu bila kutendewa haki mnawafukuza kwa makosa yenu wenyewe.Jeshi la magereza walitangaza nafasi za kazi ambapo walitakiwa wasomi na...
Date::12/3/2009Kongamano la Nyerere latamka 'utajiri wa viongozi unatishia amani'
*MITANDAO YA KISIASA YATAJWA PIA KAMA KITISHO NA CHANZO CHA KUCHAFUANA
Na Ramadhan Semtawa
Mwananchi...
Kuna hii taarifa ktk gazeti la leo la New Vision ambayo nimeikuta kule Bongo Pix kuwa wabongo wanasajiriwa na Al Shabaab kuiangusha serikali ya Somalia.
Je kuna ukweli wowote? Serikali yasemaje...
Jamaa huyu wa Falme za Kiarabu ameigeuza Loliondo kuwa sehemu ya nchi yake. Naamini kuwa hii ni kukiuka Ibara ya 28 ya Katiba ya nchi yetu kuhusu ukamilifu na umiliki wa nchi yetu. Je si kosa la...
Makamba awatukana wanaoshauri Kikwete asigombee 2010Rais Kikwete kongamano la Nyerere limemweka katika lawama za kutokuwa na maamuzi na kuwa asipendekezwe kugombea awamu ya pili.Na Leon Bahati...
Wote wamesimama kwenye mvua, moja atishia kumlowesha mwenziye !
Wote wanaogelea kwenye tope, moja adai aliyechafuka labda mwenziye !
Wote wamtumikia bwana moja, hakuna wa kumsaliti mwenziye ...
Sijui ni nini lakini kama wkipata facilities naona litakuwa gereza linaloongoza kwakutoa ma grads
Sijui Governor wa lile Gereza ni nani lakini I'm curious kujua what exactly anachokifanya mle...
Below is a paragraph from a passage by Desiderius Erasmus (ca.1466-1536). The Passage is called "Education and the Christian Prince". I believe the paragraph has a strong message to our current...
Hawa ni wachukuaji, si wawekezaji
Jenerali Ulimwengu
Raia Mwema
Disemba 2, 2009
KWAMBA sekta muhimu kama kilimo inaweza kusahaulika, watawala wakaiweka kando, na bado wakaendelea kuwa watawala...
Habari wakuu nimeona nirudi tena Jamvini kuuliza swali hili. Mimi ni mtanzania kwa kuzaliwa na naipenda nchi yangu, swali ni hivi tumekuwa tukisikia kuwa Nchi mbali mbali na baadhi ya nchi...
Bilal Abdul-Aziz
The National Electoral Commission (NEC) announced yesterday it would spend nearly 70bn/- in updating the Permanent Voters Register (PVR) and additional 64bn/- in organizing the...
Jana Rais kaondoka JA aka the YARD kuwaona ma BREDRINS na nadhani keshafika TRINI...aka TRINIDAD & TOBEGO aka T&T ...KWENYE MKUTANO WA Commonwealth...BI MKUBWA aka LIZ of Windor naye keshaingia...
2009-12-02 09:34:00
By Mkinga Mkinga and Beatus Kagashe
THE CITIZEN
Tanzania is sending one of the largest delegations to the Copenhagen Summit on Climate Change this week despite growing...
Wakuu,
Katika pita pita yangu mitaani jana niliibukia kwenye kundi la watu wakibalizi yanayojiri ndani ya vyama vya upinzani. Mjadala ulitawaliwa na matukio ya wanachama wa CHADEMA kukimbilia...
Wednesday December 02, 2009
Daily News
ORTON KIISHWEKO, 2nd December 2009 @ 03:52
Leaders facing graft charges told to resign
VARIOUS speakers at a state of the nation forum in Dar es...
Rais mstaafu Benjamin Mkapa.
Rais mstaafu Benjamin Mkapa, amesema yote yanayosemwa juu yake, anamwachia Mungu.
Alitoa kauli hiyo jana jioni, kabla ya kufunguliwa kwa...
Habari zilizotufikia sasa hivi zinasema kuna majambazi 6 wameuwawa katika mapambano na askari huko buharamuro , majambazi hao walikutwa na silaha kadhaa za kivita inasemekana walikuwa wanajiandaa...
Kumbe kweli lisemwalo lipo, kama halipo linakuja. Nini madhara ya tamko hili kwa wafanyakazi wa kampuni hizo?
Watanzania wengi sio wasomaji wazuri, je wakienda kiundani zaidi wana uhakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.