Leo asubuhi nilibahatika kuyaona mahojiano live kati ya Mlimani TV na Mzee wa Propaganda Tambwe Hizza. Pamoja na kukosoa uendeshaji mbovu wa kipindi kile kilichoongozwa na kijana niliyemtafsiri...
Source:Majira
...Kabla ya maswali ya waandishi wa habari, Rais Kikwete alikuwa amezungumzia juu ya ziara yake iliyomchukua katika nchi tatu tofauti na kuhitimishia Marekani alipokutana na...
TAARIFA KWA UMMA
Taarifa inatolewa kwa umma kwamba Kikao cha Kamati ya Uongozi ya Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mkoa wa Kinondoni Kanda ya Dar es salaam kilikaa kikao chake tarehe 1...
Off Daily News (http://nyerere.dailynews.co.tz/news.php?id=9)
Source: MOHAMED SAID; 14th October 2009 @01:17
IT is a pity that the late Mwalimu Julius Nyerere did not reveal much about his...
Wanabaraza, kesho ni siku kubwa kwa Taifa hili,,lakini hapa barazani mbona tumeisahau kabisaa...kama vile haina maana kwetu, KULIKONI!!
Kama sio tarehe 9 December Tanzania Ingekuepo?
Kwa nini tufanye uchaguzi mkuu huku hatuna fedha za kujifanyia uchaguzi?
Kwa nini tufanye uchaguzi ambao utajaa rushwa na takrima na umeshaongeza vitendo vya hujuma na ufisadi?
Kwa nini tuwe...
5th December 2009
Baada ya Mbuge wa sasa wa Jimbo la Dodoma Mjini kupitia (CCM), Ephraim Madeje, kutangaza kuwa hatagombea tena ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa mwakani, Askofu mstaafu wa Kanisa...
( Nimeunasa mjadala unaopamba moto kule kwanzajamii.com
Mbashiri said:
Mchomeko;
Ni nini hasa nia ya Butiku na wenzake?
Na Abdul Mbashiri wa Mbashiri
KWA watu walioshikilia madaraka...
Bandugu, nimesoma hii habari kwa mshangao mkubwa, pengine ni 'ignorance' yangu kuhusu umuhimu wa viwanja vya ndege. Lakini mshangao wangu ni hapa ambapo tunalipa watu wa Kipawa kupisha upanuzi wa...
Kikwete amka au unakwenda na maji
TATIZO la rais wetu mpendwa ni kujisahau na kuwaachia maofisa wa Ikulu kuendesha nchi.
Inaeleweka tena sana kuwa ni aina ya watu gani tuliokuwa nao pale...
MAKAMBA ADAI MAKADA WANALIPWA NA MAFISADI
na Hellen Ngoromera
MASHAMBULIZI ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi ya Rais Jakaya Kikwete kuhusu udhaifu wake wa uongozi, yameleta sokomoko...
Wakuu
Nimeona ni vema niwaletee swali la Msingi la Mhonga Said (MB) VIti Maalum CHADEMA alilouliza kwenye Bunge Nov 4 Mwaka huu. Akitaka kufahamu yafuatayo na Jibu alilopewa na Waziri.
Jamani...
Nimelazimika kujibu makala ya ANSBERT NGURUMO nikiamini kwamba kama ilivyo kwa binadamu wote akiwemo NGURUMO mwenyewe wana mapungufu ya kibinadamu. Msingi wa mapungufu haya ndiyo hatua muhimu ya...
Wasomi waamua kumuanika Makamba
Thobias Mwanakatwe
Mtandao wa Wasomi na Wataalam Mkoa wa Mbeya, umemshambulia Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba na kumuonya kuacha kuingiza porojo na utani...
Wiki chache zilizopita nilitakiwa nitoe taarifa wazazi wangu walizaliwa lini na wapi. Nikataja mwaka na kwamba walizaliwa Tanzania. Jamaa akaniuliza nina uhakika mara tatu na mimi kwa kujiamini...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TBC Taifa saa 2 usiku, IPTL imezima mitambo 6 kati ya saba iliyokuwa ikifanya kazi kwa ukosefu wa mafuta mazito ya kuiendesha.
Lakini kuna utata kwani bwana...
3rd December 09
Muhibu Said
Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CCM), amerushiwa kombora jipya, akituhumiwa kumwaga fedha na simu za mkononi kwa wananchi jimboni humo, zikidaiwa kuwa ni sehemu...
We can take a story of Kalumekenge as a system of accountability in any government system.
The story is as follows:
Once upon time Kalumekenge alikataa kwenda shule. Fimbo ikaambiwa imchape...
YAONYESHA MBOWE, NDESAMBURO WANAKIDAI CHAMA SH53 MILIONI
Fidelis Butahe
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema) kimesema kwamba kama kuna mtu mwenye ushahidi kuwa kuna baadhi ya...
By Chambi Chachage
It is Norwegian interests in the island's strategic location and offshore oil deposits that are behind Norway's recent flurry of engagement in Zanzibar's local politics and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.