Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Hivi kambi ya upinzani imekumbwa na nini? maana viongozi wanaotegemewa kuipeleka puta CCM mwakani katika kinyanganyilo cha urais, wote wanatarajiwa kugombea ubunge. Viongozi hao ni mwenyekiti wa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
jamni wana JF tubadilishane mawazo, nnimeona kama vyuo vikuu 2 specifically SUA na Mzumbe kufundishwa na Proffessors wazee kabisa hadi wanatia huruma darasani wakati vijana waliograduate na...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
GT, baada ya kuirejea sinema ya Malcom X, ametukumbusha hii dhana ya Field Negro na House Negro. Hii ni moja ya dhana ambazo zinaelezea tatizo la Miafrika Ndivyo Ilivyo. Mwaka jana katika Tamasha...
0 Reactions
22 Replies
13K Views
Imefikia hatua Tanzania yetu nchi yenye mali nyingi na vivutio vya kitalii inaitwa shamba la bibi, cha kujiuliza kweli tumeamua kuiita hivyo? je unavyoimba wimbo wetu wa Tanzania Tanzania...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana jamii! Mimi ninataka kupata maoni ya wadau kuhusu report ya UN kuihusisha Tanzania na upitishaji wa silaha kwenda DRC, nimeiosma ile document kwa makini sana, kwa maoni yangu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tanzania’s donor-led experiment is going woefully wrong Written by Ghalib Jafferji Monday, 30 November 2009 09:56 In the Know features an interview, opinion or analysis from the people...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
nimesoma habari kwamba tanzania itapeleka watu zaidi ya 60 kule copenhagen kuhudhuria mkutano wa kupunguza joto duniani.na ukiangalia nchi kama kenya,south africa na china zitapeleka watu si zaidi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
swali tangazo la hii tenda lilitolewa lini na SUMATRA na je mbona hatujaambiwa kama sheria za PPRA zilifuatwa na mchakato uliofanywa uliwapitisha akina nani mpaka akapatikana huyu Majembe...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Wazalendo wa Tanzania Asalam Aleikum; Ni vema nikapenda kujua ili nami niwe moja ya watanzania wanao jua hawa jamaa wanafanya nini na zipi shughuli zao maalum kabla ya hii. Leo nimeona wengi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kinda weird nilipokuwa nasoma high school mzee anipa Autobiography yake niisome eventually jamaa wakaanza kunipachija jina I think i was kinda rebellious in my own way...na kuwa na urafiki na...
0 Reactions
38 Replies
9K Views
Racial And Religious Tolerance in Nyerere's Political Thought And Practice Salma Maoulidi, allafrica.com; Pambazuka News, Fahamu, Oxford, UK 16 October 2009 Salma Maoulidi unpacks Nyerere's...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mara baada ya mazungumzo ya Seif na Karume, tuliambiwa walichoongea ni siri. Sasa, hapa inakuwa vipi Seif ameanza kujiachia hewani? Source: www.mwanachi.co.tz "SIRI zaidi za mkutano wa rais wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Territory of Microphone Holders I'm quite interested in how politicians express themselves, how the media quote them and why the journalists refrain from asking them complex questions...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
THE government has demanded an immediate apology from the United Nations, following publication of a report that implicates Tanzania with illegal arms supply to rebels operating in the Eastern...
0 Reactions
96 Replies
9K Views
JF naona mmekuwa bize na party politics mpaka siku hizi haijulikani what we stand for anymore Iko wapi JF ambayo ilikuwa haiishi kupata scoops kila kukicha on issues kama hizi? We need the...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Imeandikwa na Na Joseph Lugendo; Tarehe: 28th November 2009 TANZANIA imeweka rekodi ya aina yake barani Afrika kwa kuibuka nchi pekee yenye wananchi wenye mapenzi makubwa kwa taifa lao kuliko...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
A new Richmond is coming... THISDAY REPORTER Dar es Salaam CERTAIN businessmen-cum-politicians implicated in the infamous Richmond deal are now chasing up two brand-new contracts worth more than...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kumezuka tabia ya bloggers wa kitanzania kuendeleza kejeli kwa Rais Kikwete kwa kutumia lugha kali kali ambazo pia zinaleta uchochezi. Kati ya Bloggers washabikia tabia hii yupo Utakapojua Hujui...
0 Reactions
75 Replies
11K Views
Ndg zangu wana JF, ninaishi Mwanza, na ni mzaliwa wa mkoa wa Rukwa. Nimesoma thread inayohusu Mrema na Kimaro kule Vunjo; malumbano yao yameibua kitu ndani mwangu, kile nilichokuwa nikikitamani...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
JUMA lililopita nilipigiwa simu nyingi sana na wasomaji wa safu hii, hoja kubwa ikiwa walihitaji kupata maoni yangu kuhusu kile kilichokuwa kinaendelea ndani ya CHADEMA kufikia David Kafulila na...
0 Reactions
262 Replies
22K Views
Back
Top Bottom