Amatus Liyumba.
Shahidi wa sita katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba, amedai mahakamani kuwa mabadiliko ya mradi...
Hizi habari za mauaji ya albino zinasikitisha na kututia aibu kubwa.
Hebu angalieni Associated Press walivyoandika
http://news.yahoo.com/s/ap/20091128/ap_on_re_af/af_africa_albino_killings
CCM yaanika vyanzo vya bajeti ya uchaguzi 2010
Imeandikwa na Na Mwandishi Wetu; Tarehe: 28th November 2009 @ 23:59
Habari Leo
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeweka hadharani mkakati wake wa...
Leo nilikuwa nasikiliza habari katika magazeti vichwa vya habari vilivyowekwa kwenye magazeti haya nimejikuta katika mshangao sana
Hivi huwa mnafatilia habari kwa kina kabla ya kuzitoa hewani...
Tazama wanacvyofuja pesa za walipa kodi kuanzia ukurasa namba 62 ndani ya PDF document hii hapa:
http://nao.go.tz/files/SERIKALI%20%20KUU.pdf
Orodha ya Balozi zilizokuwa na maswala...
Asha Baraka ajitosa ubunge Kinondoni
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Asha Baraka, ameingia matatani kwa kudaiwa kuanza kufanya mikutano ya siri na...
N° 1274 28/11/2009 TANZANIA Head of Tanesco in a tight spot
An audit report is embarrassing for Idris Rashid just as the question of renewing his mandate...
Ndugu WanaJamii Forum
Nimeona habari hii ya ajabu katika gazeti la Daily News ambapo bila aibu wala soni Waziri Marmo anadai kuwa madai ya mauaji ya wachimbaji wadogo wa dhahabu kule Bulyanhulu...
Ni kutoka Italia alikokuwa balozi
Nyerere alishangaa na kuhoji ni balozi wa aina gani huyo? Akatolewa Italia na kupelekwa Sumbawanga, Rukwa
Mwandishi wetu, Godfrey Dilunga, wiki iliyopita...
Kuna habari kuwa anaweza kufa eidha leo au Jumapili
Mwananyamala Hosp mtamuua mama huyu!
Imeelezwa kuwa hali ya mwanamke mjamzito ambaye kiumbe chake kimefia tumboni tangu wiki iliyopita...
wanandugu tumekuwa tukiangalia upande mmoja kwa mafisadi lakini lazima tuangalie uhalisia...j kwa nchii jinsi ilivyo kwa nini usiibe..personal sijaona maisha yanayoni atract kuishi bila...
Lile wimbi la Wanachama wa chadema Kuhama chama hicho limeendelea leo baada ya Mwanachama mwingine wa Chama cha Democrasia na maendeleo Juju Martin ambaye alivuliwa nyadhfa pamoja na David...
Rais Mstafu Benjamin Mkapa
Na Salim Bimani
Viongozi wa imani ya Kikristo wanastahiki kusifiwa kwa kuzitumia sikukuu na mikusanyiko yao ya kidini kuzungumzia sio tu Uokovu, Uzima wa Milele na...
Chuo Kikuu Makerere kumuenzi Mkapa kama kiongozi boraNa Leon Bahati
"NABII hakubaliki nyumbani kwake". Ndivyo inavyojionyesha kwa rais wa serikali ya awamu ya tatu, Benjamin Mkapa ambaye leo...
Wakati hayo yametokea Uganda, Tumeyaona Kenya na Tanzania Pia.Nini hatima ya mjadala wa ARDHI kwa Wananchi wa Jumuiya ya Afrika mashariki?
Land battle looms in Uganda...
Wadau.. Rwanda inakaribia kujiunga na Jumuiya ya Madola iwapo uamuzi wa kikao cha wakuu wa nchi za jumuiya ya madola kinachofanyika Trinidad & Tobago kitaridhia uanachama wake.
Hisia za utawala...
Wakuu,
Naombeni msaada kwani hli limekuwa likinitatiza. Nimeona watu wakipigania sana kuwa wenyeviti wa bodi mbalimbali hasa za mashirika ya umma.Na hivi karibuni nimesikia watu wakishauri...
Kikwete akerwa mapinduzi ya kijeshi Afrika
Na Mwandishi maalum NIPASHE
27th November 2009
Rais Jakaya Kikwete, ameutaka Umoja wa Mataifa (UN) na jumuia ya kimataifa...
Tanesco yapinga kuvunja mkataba wa bimaNa Claud Mshana
SHIRIKA la Umeme (Tanesco) limefungua kesi Mahakama Kuu kupinga uamuzi uliotolewa na Mamlaka ya Rufaa ya Manunuzi ya Umma (PPAA) kuitaka...
Source: Nipashe 27 November 2009 na mwandishi maalumu:
"Gavana Mkuu huyo alisema Jamaica imeamua kutoa nishani hiyo kwa kutambua uongozi imara na uliotukuka wa Rais Kikwete katika nyanja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.