Swali linajieleza pamoja na picha, naombeni mnisaidie kujua aliko huyu bwana, maana ni siku nyingi sijamsikia wala kumuona kwenye vyombo vya habari,
Hivi yuko hapa nchini??
Date::11/24/2009Shamhuna,Khatib watia doa shangwe ya Karume, Maalim SeifNa Salma Said, Zanzibar
Â
WAKATI Zanzibar ikiendelea kushangilia maafikiano ya kihistoria baina ya Rais Amani Abeid...
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425...
Hivi hawa wapambanaji mbona majimboni mwao wanakumbana na aibu?
Ni kuwa wananchi hawawaelewi ama?
Je? wanaonekana kuwa wasanii?
Je?wamesahau kuhudumia wananchi wao wakijificha kwenye kichaka...
Mabarabara mengi ya jijini yako kwenye matengenezo yasiyo ya lazima wala plani ya kueleweka. Barabara ya Old Bagamoyo inatolewa lami na kukarabatiwa. Barabara hii kero yake kubwa huwa ni ufinyu...
kutokana na kuwepo kwenye kiti cha ubunge kupitia jimbo la Ilemela bila kuwepo na mafanikio ya kutosha, kuna tetesi kwamba wananchi wa jimbo hilo hawana mpango wowote wa kumpatia kura ndugu Dialo...
Kilango amfagilia Lowassa
Asema hana sababu za kumchukia
Aonya kuna propaganda chafu
Alonga hajawahi kuchangia Monduli
Asisitiza hawezi kuvamia jimbo hilo.
Na Hamis Mkotya
MBUNGE wa...
Kilango awabeza wanaonyemelea jimbo lake
na Dixon Busagaga, Moshi
SIKU chache baada ya baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujitokeza kutoa msaada kwa watu waliopoteza ndugu...
Mtikisiko wazuka Baraza la Mawaziri
Mwandishi Wetu
Raia Mwema
Novemba 25, 2009
Kikwete yaanza kumshinda
Sasa hata Dk. Shein azoza
SIKU chache tu baada ya kutuma ujumbe kwamba akipita mwakani...
Habari tulizozipata sasa hivi zinazosikika tokea jana mchana kutoka kwa vingwengwe wa siasa hapa mjini Dar Es Salaam zinasema kuwa CUF inatapia roho huko Zanzibar na wengi katika vingwengwe...
Hivi kwa nini watanzania hasa wanasiasa wanapenda hizi titles:Prof,Dr,Capt,Engineer,...na hata Sir.....hiki cha mwisho hutumiwa na raia wa uingereza tu lakini sisi tuanmuita Sir Andy Chande wakati...
How in Wonderland, prosecutors Wander around for the sake of Wonder-wealthy
I have heard Zomba and the co have recently walked out free reason being the judge could not find them guilt of the...
Na. M. M. Mwanakijiji (Tanzania Daima Jumatano Machi 18, 2009)
WAKAKAA katika kikao chao wakakubaliana; Tuwaambie kuhusu majenereta.
Huku wakiwa wametulia mahali wanapojua wao na Mungu wao...
Kesi ya Mbunge: Shahidi 'daktari' akiri hakumaliza kidato cha nneNa Mussa Juma,Arusha
Shahidi wa tisa Flora John Mzava(48) katika kesi inayomkabili mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara...
Nawaandikia ninyi vijana, alinena mwandishi maarufu, kwa kuwa mna nguvu na mmemshinda yule mwovu. Ufurahieni ujana wenu, akasisitiza mwandishi mwingine mahiri, kabla hazijaja siku zilizo mbaya...
Miaka kama mitatu hivi kumekuwa na kesi za makampuni makubwa duniana kuficha taarifa za mapato yao na kuwafanya maboss wa makampuni na wamiliki wake kufikishwa mahakamani. Sasa je kwanini sisi...
Kumbe ni hatari tena hatari sana kujaribu kuzuia ufisadi. Hatari hii wanaharakati na wapiganaji maarufu kama Mwanakijiji wameifumbia macho au hawajui kuwa ipo. Hii ni hatari ya kujaribu kuvuruga...
Mkuu wa nchi leo jioni ametua kingston town na kulakiwa kwa sherehe kubwa zikiambatana na nyimbo za reggae kutoka yule master Bob wa Mrley,na kesho atakwenda kwenye kaburi lake ili kuomba na...
Analysis: How Butiku stole the limelight from Judge Warioba (1)
BYASE LUTEKE
Dar es Salaam
WE are living in interesting times and enjoying every moment of it. When we thought the...
Spika Sitta agawa matrekta 12 jimboni kwake
Na Tausi Mbowe, Urambo Tabora
SPIKA wa Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta amesema wakati wa malumbano umeisha na sasa ni wakati wa viogozi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.