2009-11-27 08:52:00
Tax waivers set to eat up Sh3 trillion
Finance minister Mustafa MkuloThe sum is almost a third of the Sh9.5 trillion national Budget
By Damas Kanyabwoya
THE CITIZEN...
Kinachoviponza vyama vya upinzani katika chaguzi
Selemani Rehani
Raia Mwema
Novemba 25, 2009
MWAKA 1992 tuliamua kurejea katika mfumo wa vyama vingi vya siasa. Ni miaka 17 sasa toka tuingie...
Ni kama triad vile na inaonekana wananchi pamoja na members wengi humu mmekuwa duped kuwa watu hawaelewani kumbe usiku wana strategise
je mnaweza kuwataja?
clue: Yupi 'mpiganaji' mmoja
Kwa wale wenye kutarajia kuwa VIONGOZI, kugombea Ubunge, Udiwani, Urais na hata katika ngazi ya familia nyumbani.
Ushauri wa bure huu hapa chini ktk attachment.
Mbarikiwe sana na Amani iwe nanyi
kila mara humu tukijadili habari za namna viongozi wanavyochaguliwa
hasa ndani ya cmm,kuna kitu kimoja ambacho hatukijadili kwa mapana.
nacho ni huu utaratibu usioandikwa popote lakini
ni sehemu...
hii tabia ya watanzania kuwa wanyonge mbele ya viongozi wabovu
huwa inanikera sana....
lakini siku hizi nimekuwa napata habari inayonifurahisha sana..
nayo ni hii ya kuwazomea wabunge wa ccm...
UWT zibeni mpasuko wenu, malumbano hayana tija
LISEMWALO lipo na kama halipo linakuja. Hivi karibuni, Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) umekuwa gumzo kutokana na...
Serikali yetu ni inashangaza. Jana TBC1 imeripoti kuwa mkuu wa wilaya huko Kilombero anasimamia mchakato wa kutaka kuhamisha wanakijji wa kijiji cha Namawala huko Kilombero kinyume na matakwa yao...
Waziri apeleka udongo Israeli kuombea mvua
na Rodrick Mushi, Siha
MBUNGE wa Siha, Aggrey Mwanry, amechukua udongo wa Wilaya yake ya Hai na kuupeleka nchini Israel kwa ajili ya tambiko la kuombea...
Gold miners oppose rules on overseas operations
Bill called 'unnecessary and damaging to Canadian business'
Last Updated: Thursday, November 26, 2009 | 11:40 AM ET Comments33Recommend11
Three...
Re: Commonwealth:
[SIZE="4"]
The Commonwealth of Nations, often referred to as the Commonwealth and previously as the British Commonwealth, is an intergovernmental organisation of fifty-three...
Wafanyakazi wa shirika la ndege la tanzania wapatao 181 wanatarajiwa kugawiwa barua zao za mkono wa ahsante leo hii....akionngea na mwandishi wetu katibu mkuu wa wizara ya miundo mbinu Bw omary...
Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna msemo wa kiafrika unaosema, huwezi kuzuia masikio yako kusikia bali kuuzuia mdomo wako kuzungumza. Ndiyo siwezi kuzuia masikio yenu kusikia, lakini naweza kuziba...
kwa hii serikali ya kichwa cha mwendawazimu sijui...la hasha ndio kwanza wamewapa machinga complex...wasubiri kuchunguza tena....Taarifa za mapato Kituo cha Mabasi Ubungo zifanyiwe kazi...
Kikwete yaanza kumshinda
Sasa hata Dk. Shein azoza
SIKU chache tu baada ya kutuma ujumbe kwamba akipita mwakani hatabeba mawaziri wazee, Rais Jakaya Kikwete ameanza kutekeleza azma hiyo kwa...
Mzozo wa Sophia Simba watua Z'bar
Makamu wake asema ni tishio UWT
na Mwandishi Wetu
SAKATA la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), limechukua sura mpya, baada ya Mwenyekiti wa umoja huo...
Nimefikiria sana kuandika thread hii.Najiuliza kama sisi ni Watanzania Damu mbona hatutaki kuchukua hatua za EPA,BoT twin tower,Meremeta,Richmond,Dowans na ufisadi mwingine?Jeshi letu kujihusisha...
Mimi ni mgeni hapa, lakini nimeona nianze post yangu ya kwanza kwa habari hizi njema kwenu.
Nimepata habari kwa mtu ambaye alikuwa karibu sana na Mhe. Augustine Lyatonga Mrema, kwamba, Mrema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.