2009-10-14 08:17:00
TEN YEARS WITHOUT MWALIMU: The leadership questionFounding President of Tanzania Mwalimu Julius Kambarage NyerereTEN YEARS WITHOUT MWALIMU: The leadership question
By The...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, ambayo huko nyuma ilikuwa mbogo katika masuala ya utendaji wa Tanesco, jana ilikuwa kama kondoo wakati ikipokea taarifa za...
Nakumbmbuuka kipindi cha mgawo wa kwanza wa umeme, mjadala mkubwa ulibebwa na Zitto, Mwakyembe na waziri Ngereja...wengine walionekana zaidi nyuma ya hawa mpaka maamuzi yalipofikiwa...najiuliza...
Majeruhi wawili Idodi watelekezwa hospitalini
na Francis Godwin, Iringa
WAKATI chanzo cha moto uliozuka ghafla juzi usiku katika chumba cha darasa kinachotumiwa kama bweni la...
na Betty Kangonga
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Reli (TRL) jana waliwazomea maofisa wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) na viongozi wa Chama cha...
Kuna topic ilikuwepo hapa jana ikieleza kuhusu chanzo cha Dowans na namna Richmond ilivyomezwa kiaina na Dowans. Iliweza kuonyesha pia kuwa Dowans ni kampuni hewa isiyo na ofisi wala viongozi...
Naam,
leo mwenge wa uhuru unaomulika hadi nje ya mipaka yetu. Unaleta Upendo pale penye chuki na heshima pale penye dharau.
Kidumu cham cha Mapinduzi na fikra za mwasisi wa taifa letu baba wa...
Leo watz wanakumbuka kifo cha baba wa Taifa Mwl Julius K. Nyerere.Butima ndiko kumbukumbuku zinafanyika kitaifa, viongozi mbalimbali wakitaifa wapo hapa, brudani za ngoma zinaendelea na wakati...
Ninapotafakari mahali Zanzibar ilipo kwa sasa kimaendeleo;
Najiuliza kama inasonga mbele au inasonga nyuma, au imedumaa?
kati ya mambo machache, Kumbukumbu zinasema kuwa:-
- Zanzinbar ilikuwa ya...
Gazeti la Mwananchi la leo limepambwa na habari za mawaziri wakuu wastaafu wawili wa jamuhuri yetu ambao kwa nyakati tofauti wamezungumzia matatizo yanayoikumba Taifa letu.
Mawaziri wakuu hao...
Mkutano wa Bunge, serikali, TANESCO wakatisha tamaa
KIKAO cha pamoja kati ya serikali, Shirika la Ugavi wa Umeme nchini (TANESCO) na Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, kimebaini kwamba...
Source:Gazeti la habari leo.
"RAIS Jakaya Kikwete, amewataka wakazi wa Tarime mkoani Mara waache kupigana, kama wataendelea hatasita kuwahamishia mikoa mingine.
Ametoa msimamo huo jana wakati...
Mitihani ya kidato cha nne ya taifa inayoendelea imechapwa huko UK. Watahiniwa binafsi wakifanya mitihani tofauti na ile ya mashule. Yote haya ni katika jaribio linaloonekana kufanikiwa la kuzuia...
MAOFISA wa CCM kutoka makao makuu na wengine wa chama hicho mkoani hapa wameweka kambi kwenye Jimbo la Karatu kuratibu zoezi la uandikishaji wapigakura katika serikali za mitaa na baadaye...
Tunaongelea aibu na tatizo ambalo ni la muda mrefu sana, na sisi wenyewe, kaka, dada, baba, mama, wajomba zetu ni sehemu ya tatizo hili la mitihani.
Biashara ya kuuza mitihani ina pesa nyingi na...
jamani mwaka 1984 Desond Tutu alipata Nobel Peace prize, me nachoshangaa kuona mtu kama mwalim JK Nyerere hakuwahi kupata tuzo hiyo...sababu moja nayoona ni kwamba Mwalim alikua anapenda...
ADAM LUSEKELO,
13th October 2009
I WATCH the opposition forces in Tanzania with great pity. They are presently busy flailing away at the constant political jabs from the ruling state-party...
Kuna haja ya kujiuliza ni wapi Tanzania inaelekea.
Lakini sijui Tanzania inatoka wapi na sasa iko wapi.
- Kiuchumi
- Kijamii
- kisiasa
- Kiutamaduni, n.k.
Ajuaye anipe mwanga tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.