Nimepita sokoni, nikakuta watu wanajibishana.....mmoja anasema "yani huyu kikwete ndio bomu kweli, hebu angalia, maisha yanazidi kuwa magumu, uongozi umemshinda...kuongoza nchi kazi....ningejua...
By Mkinga Mkinga
Terminating the Tanzania International Container Terminal Services (Ticts) contract would have cost the Government over Sh1 trillion in damages and other penalties, The Citizen...
Katika maandiko matakatifu (Biblia) tunaambiwa kuwa kulikuwa na malkia(mke wa mfalme),mzuri sana,mwenye kila sifa ya uzuri na mwenye tabia nzuri sana kwa watu na kwa mfalme pia.Uzuri wake huu...
Kabaka Ronald Mutebi yesterday said the 47 years of independence being observed today have been laid to waste by unnecessary conflicts. We [Uganda] have spent the 47 years of independence...
Na Absalom Kibanda
ACHA nianze makala hii kwa kujisifu kidogo. Nilikuwa miongoni mwa wachambuzi wa mwanzo kueleza wasiwasi wangu kuhusu mwenendo usiofaa ulioanza kutawala katika vita ya...
Mmeshindwa nini kuhakikisha watu wanapanga foleni (mistari) kwenye vituo vya mabasi?!
Hamna kitu kinachotia aibu na kunikera kuona watu wanaojiita watu wa mijini wakigombania kupanda mabasi...
Thursday October 08, 2009 Local News'Time for Dar City to shine', says Lukuvi
THE Dar es Salaam Regional Commissioner, Mr William Lukuvi, has called upon the City Fathers to institute legal...
ALIYEKUWA Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Jahazi Asilia, Mussa Abdallah Kitole, amekataliwa kuandikishwa katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa madai kuwa hana...
MPs to investigate fresh TANESCO power rationing
THIS DAY
A PARLIAMENTARY watchdog committee is to examine the validity of the decision by the state-run Tanzania Electric Supply Company...
Mkutano wa kutathmini hali ya Siasa hapa nchini uliandaliwa na REDET katika ukumbi wa Mkrumah Hall, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam umemalizika rasmi na haya ndio mapendekezo ya mkutano huo...
With world markets in turmoil, an unexpected and overlooked continent may benefit from its very isolation
Panos
Correction to this article
TAKE a snapshot of the main news stories around...
Look south
Oct 1st 2009
From The Economist print edition
The latest report on the continent's progress has some surprising findings
AFTER only three years, the annual publication of the...
President Jakaya Mrisho Kikwete's 59th Birthday
Biography
Childhood: President Jakaya Mrisho Kikwete was born on October 7th, 1950 in Msoga village in the Coast Region. He was the sixth born in...
Nimekua nikifuatilia maoni mbalimbali katika Forum hii na vyombo vya habari nikawa sijapata jibu halisi kuhusiana na msimamo wa chama cha CHADEMA katika mambo kadhaa yanayotokea katika taifa hili...
Na Mwandishi Wetu
Mwananchi
10/7/2009
MBUNGE wa Maswa, John Shibuda (CCM), ameendelea kuwa mwiba kwa Baraza la Mawaziri, baada ya kuhoji mantiki ya rasimu ya itifaki ya matumizi ya Mto Zambezi...
Hili ni suala nimekuwa najiuliza sana huko Tanzania. Tunaelewa kuwa Mwaka huu mwezi Oct kuna chaguzi za Serikali za mitaa yaani kuchagua wenyeviti wa Serikali za mitaa na wajumbe wao.
naona kuwa...
Makamba ahimiza mapambano dhidi ya ufisadi
na Jacob Ruvilo, Kigoma
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusufu Makamba, amesema ufisadi unapaswa kupigwa vita na kila Mtanzania mzalendo...
Nilikuwa nasikiliza vyombo vya habari, nikamsikia msajili wa vyama vya siasa mzee Tendwa akiwaambia askari polisi kuwa wawachukulie hatua za kisheria viongozi wa vyama vya siasa watakaosababisha...
THERE is a serious rift within the Chama Cha Mapinduzi (CCM) establishment despite assertions to the contrary being made by ruling party elites, Mwalimu Nyerere Foundation Executive Director...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.