2009-10-13 07:42:00
Power crisis: Tough times aheadEnergy and Minerals deputy minister Adam Malima addresses journalists in Dar es Salaam yesterday after attending a meeting that also involved...
Hali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii hapa nchini inazidi kuwa tete, hii ikiwa ni miaka 5 toka nirejee kwa moyo wote kuja kujenga Taifa. Pamoja na harakati zote hizo bado hali ya umaskini inadhidi...
..sehemu ya mahojiano kati ya Mzee Warioba na gazeti la raia mwema.
..mahojiano yanatoa mwangaza wa nini kilipelekea kuvunjwa kwa mahakama ya Kadhi, pamoja na zile za Machifu.
Mahakama ya Kadhi...
Na Jabir Idrissa
WAHAFIDHINA wa Zanzibar wamechomwa miiba mioyoni. Hawataki kusikia madhambi ambayo kufanikiwa kwake kuna maslahi makubwa nao.
Hawataki mjadala wa matatizo yanayokabili...
(Hii iliwekwa na kamanda BaK)
THIS DAY
The long-awaited bribery and corruption trial over the purchase of dubious military radar equipment by the third phase government of ex-president Benjamin...
Wakuu,
Mara kadhaa nimekuwa nikiwaza ni kwa namna gani taifa letu la Tanzania tunaweza sisi wenyewe watanzania tukalikwamua katika hali duni ya kiuchumi, pengine hata kijamii na kisiasa. Yamkini...
wakulu habari za siku nyingi.
jiji letu la tanga sasa hivi imebahatika kupata taa za barabarani,hapo lazima tumshukuru mungu,japo ni ni kazi nusu imefanyika.lakini cha ajabu ni ukiona taa zile...
SLIM SAID SALIM,
KWA mara nyingine tena, kama ilivyotokea wakati wa kuelekea chaguzi zilizopita za mfumo wa vyama vingi vya siasa Zanzibar, zinasikika kelele, kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya...
Huwezi kuamini kuwa baada ya Watazania kushindwa kutafuta makosa ya kuilaumu serikali ya Kikwete, wamekimbilia sababu zisizoshikika wala kukubalika. Tabasam lake ndio imekuwa nongwa na silaha ya...
By Thobias Mwanakatwe
11th October 2009
Kingunge Ngomale-Mwiru.
Veteran politician Kingunge Ngomale-Mwiru has blamed opposing groups and constant wrangles within...
Wabunge wawakamia kuwasulubu
na Mwandishi Wetu
SAKATA la Kampuni ya Richmond Development Company (LLC), limezidi kuchukua sura mpya na huenda likaibua mjadala mkali katika mkutano wa 17 wa...
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema zinasema ule mchakato wa kuwapunguza wafyakazi wa ATCL umeingia katika mzozo mkali kati ya Mwenyekiti wa Bodi, wajumbe VS wafanyakazi wa ATCL...
RAIS Jakaya Kikwete amekubali kustaafu kwa lazima kwa Mwansheria Mkuu wa Serikali, Bw. Johnson Mwanyika, ifikapo Novemba 6, mwaka huu.
Bw. Mwanyika anastaafu kwa lazima katika kipindi ambacho...
Leo nimesikia kwanye vyombo vya habari kuwa kweny changuzi za serikali za mitaa, kura zitapigwa kwa kuandika majina ya wagombea, bila kuwepo picha ya mgombea wala chama chake. Je hizi ni mbinu au...
Ninapokumbuka kwamba uchaguzi mkuu wa rais na wabunge utafanyika mwaka kesho,
naona ni vema tukashauriane mambo muhimu ya kujiandaa ili uchaguzi huo uwe wa mafanikio makubwa.Tena uwe huru na wa...
Rushwa ya wazi kabisa imekithiri pale eyapoti ya Dar, upande wa Cargo.
Kwanza unaanza kutishwa na customofficer wakati anakuwa mizigo yako. Kuwa hii ushuru wake kiasi kadhaa... anakutajia ushuru...
Public fury halts biofuel onslaught on farmers
Kenneth Bengesi and Emmanuel Naiko (right).
By MIKE MANDE
THE EAST AFRICAN
Posted Monday, October 5 2009 at 00:00
Tanzania...
Watanzania wenzangu mimi nina swali moja,
Q. Nani anaongoza Tanesco na kutoa maamuzi
a)Raisi Kikwete
b) Mkurugenzi Rashid
c) Waziri wa nishati na madini
d)Bunge
e)Bodi ya Tanesco
Kuna ofisi kubwa ya ILO (International Labour Organization), naombeni wana JF mnifahamishe zinatuasaidiaje? au zinawasaidiaje wafanyakazi wa Tanzania
1. hasa wanaofanya kazi kima cha chini?
2...
Siasa zaliumiza taifa, Zitto akumbukwa
na Mwandishi Wetu
HATIMAYE Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza mgawo wa umeme nchi nzima kutokana na upungufu wa maji kwenye vituo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.