Wakuu naomba mnisaidie juu ya hili suala hivi kwa nini mawazi wanakimbilia kuunda tume kuchunguza mambo hata kwa yale yaliyo wazi?ni kukosa umakini au kutokuwa na uamuzi wa kuamua vitu bila...
Kwa hali hii inayoendelezwa na sera za ANGUKA (Ari, NGUvu na KAsi ) Mpya, zinanipa hasira kutaka kujua lile fagio la chuma lipo wapi kuwafagia hawa wabadhirifu, mafisadi, manyang'au wanaolipeleka...
Ni matumaini yangu kwamba kuna waandishi wa habari wengi sana hapa especially wale wa uchunguzi na kujadili mambo makini yaani ya kimfumo.
Ombi: Naomba mufuatilie na kutupa feedback/mrejesho...
AUTHORITIES are investigating alleged fraud within the National Bank of Commerce (NBC) that has led to the disappearance of at least 20bn/- from the accounts of some of the banks key corporate...
Ufisadi: Je - Tanzania inahitaji yaliyotokea Ghana 1979?
Wana-JF, na hasa wale wanaoupinga ufisadi kwa dhati naomba mtafakari iwapo nchi yetu imefikia mahala ambapo pengine linahitajika tukio...
Sunday, July 26, 2009
Ufisadi unanuka
Norway iache kutoa misaada
Hela za misaada ndizo zinazoongeza ufisadi nchini Tanzania, Tone Ellefsrud ameliambia gazeti la kila siku hapa Norway...
Kula huku kula gani, kula bila ya kunawa?
Kula huku kula gani, kula bila kupumua?
Kula huku kula gani, kula bila kuchagua?
Kula huku kula gani, vya watoto navyo mwala?
Kula huku kula gani, mikono...
Ndugu wana jamii ,napendelea kuuliza na nauliza kama nawauliza wenzangu ambao naamini kabisa sote tumezaliwa na iko siku tutakufa ,kifo hakikimbiliki.
Ninayohitaji ni hii hali inayofanyiwa sehemu...
Mbunge aanika ufisadi mpya wa kutisha TANESCO
Na Sharon Sauwa
Ufisadi mpya na wa kutisha ndani ya Shirika la Umeme nchini TANESCO umebainika leo baada ya...
Date: 7/25/2009
Dk Hoseah aonywa, Karamagi, Msabaha bado wachunguzwa
Na Kizitto Noya, Dodoma
SERIKALI imempa onyo Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), Dk Edward...
Tangazo limetolewa kwenye Daily News ya tarehe 25 Julai, 2009 kuhusiana na ratiba ya uchaguzi wa Serikali za Mtaa kwa mwaka 2009. Uchaguzi huo utafanyika tarehe 25 Oktoba, 2009.
Baadhi ya...
mwalimu wao, hayupo katika picha, huku Jengo la darasa lao likiwa katika hali mbaya inayohatarisha maisha yao kama linavyoonekana katika picha hii. Darasa hilo hutumiwa na wanafunzi 45. (Picha na...
EWURA naona mamlaka hiyo imeshindwa kazi na sasa utendaji wake hauna tofauti na wafanyabiashara wengine wa mafuta. Kwa ujumla EWURA ni mzigo kwa Taifa na ninaamini mamlaka hii iko kwa faida ya...
Awali - kuna habari kuwa mwandishi wa habari wa Tarime ambaye amehusika sana kwenye kutoa habari za uchafuzi wa mazingira uliofanywa na kampuni za madini tarime amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo...
Ndugu wa Tanzania kumekuwa na mazungumzo mengi kuhusiana na waraka wa makanisa kwa bahati nzuri wabunge wenye imani ya ukristo wameweza kuonesha hisia zao kiasi gani wamefurahishwa na waraka huo...
Habari kutoka bandari ya dar zinadatisha kwamba hivi sasa kampuni ya upakuaji makontena bandarini (ticts) hakuna kazi inayofanyika leo wala kontena kushushwa au kupakiwa melini kutokana na kile...
Hivi mzee yusufu Makaba bado yupo nasi? alituhaidi atamjibu mamaAnne Kilango kutokana na ile kauli yake aliyosema kuwa kuna mafisadi miongoni mwao,lakini kwa bahati mbaya miezi imepita bila ya...
Leo jioni hii nimemsikia Mh Cheyo Mbunge wa Bariadi akichangia hoja katika wizara ya Nishati na madini.
Lakini maneno aliyoitimisha nayo yalinishangaza sana.
Mheshimiwa huyu alihitimisha hoja...