BALOZI wa Tanzania nchini Italia ambaye pia ni mtoto wa rais wa kwanza wa Zanzibar, Ali Abeid Karume ameanza kampeni za kuwania kiti cha urais wa Zanzibar kumrithi kaka yake Rais wa sasa wa...
kwa mujibu wa habari hapa kenya kampuni ya bia ya africa mashariki itavunja mkataba wake wa makubaliano ya kibishara na kampuni ya bia Tanzania, hili linafanyika ili waweze kununua kampuni ya bia...
Duh hii habari imenipa moyo kiasi cha kwamba naona kuna some sort of recorvery in the wake of UFISADI na ile MI MIGAWE iliyojazana baharini kwa kukosa nafasi ya ku dock
Lakini hii haiondoi bado...
Jamani pamoja na hali halisi ya shule zetu za msingi kama picha inayo onyesha hapo chini, bado wabunge wetu wanalipana mshahara wa mwezi milioni 7 bila kodi, mshahara ambao unaweza kujenga darasa...
Wait a minute, how come the economic down turn, credit crunch is affecting our exports and not imports from US? We have lost almost 50% of our exports and Kibwagizo is that Hali ngumu ya Uchumi wa...
Kwa vile viongozi wa dini wameanza kujenga mizizi ktk siasa zetu ,pia kuwepo kwa wafuasi wa dini kwa upande mmoja hadi mwingine kuonekana kuonewa kwa namna moja ama nyingine ama kuonekana hisia za...
Kwa muda sasa majirani zetu wakenya wamekumbwa na hali mbaya ya ukame kwa kiasi kikubwa. Wafugaji wamepoteza mifugo mingi sana kutokana na kufa kutokana na ukosefu wa malisho pamoja na maji...
Wataalmu wa mambo haya naomba kuwakilisha hoja.
1.kurekebisha miundo mbinu ya bandari ya mtwara, Tanga na Dar es salaam. Harafu kwa bidhaa yoyote ambayo destination yake ni TZ haitozwi ushuru...
Kati ya urithi mkubwa aliotuachia baba yetu wa taifa Mwl. Nyerere ni umoja wa kitaifa. Umoja huu haukuja kama mvua bali alijenga misimgi imara ya kudumisha umoja wetu. Moja ya misingi hiyo ni...
JOHANNESBURG, South Africa (CNN) -- An undersea cable plugging East Africa into high speed Internet access went live Thursday, providing an alternative to expensive satellite connections.
SEACOM...
Ni mwanzo wa mapambano na wahafidhina wa CCM,hivi ndivyo inavyotakiwa ifanywe kwa wale ambao wapo mstari wa mbele katika kuona haki haifuati mkondo wake ,ikiwa Sheha amepewa mamlaka ya kutoa barua...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel Sitta amedai kuwa kuna mtu/watu wamekuwa wakimtumia ujumbe wa vitisho kupitia simu yake ya mkononi. Akizungumza na TBC Taifa, Spika Sitta...
Najua naweza kuwa naudhi wengi lakini pia nadhani JF is where we dare , baada ya uchaguzi mkuu mwaka ule nakumbuka KAFU waliporwa ushindi na watu walikufa chini ya uongozi wa Mkapa .KAFU...
Ninauliza swali hili kwa sababu karibia bajeti ya 2009/10 inafikia ukingoni bila kusikia kama kuna nyongeza yoyote ya mishahara mwaka huu.Ugumu wa maisha na kupanga kwa bei za bidhaa na huduma...
Serikali yatoa dhamana bil. 293/- kwa mashirika binafsi
JIBU LA SWALI LA MBUNGE Viti maalum
na Mwandishi Wetu, Dodoma
BUNGE limeelezwa jana kuwa serikali imetoa dhamana ya mkopo wa zaidi ya...
Na. M. M. Mwanakijiji (Tanzania Daima)
MIONGONI mwa hesabu rahisi kabisa kujifunza ni hesabu za seti. Ni miongoni mwa mambo ya msingi kabisa ambayo mtoto anajifunza katika kuhusisha mafungu...
Ubia upo, tuwajue wabia
Jenerali Ulimwengu
Julai 15, 2009
(Baada ya kuomboleza hasara kubwa iliyotupata kutokana na kifo cha ghafla cha Haroub Othman, sasa tuendelee na hoja yetu)...