The Ministry of Agriculture, Food Security and Co-operatives received 40bn/- from the money recovered from the External Payment Arrears (EPA) account to support its 2008/2009 budget, making the...
Hebu soma e -mail hii iliyokwenda kwa mweka hazina wa CCM Taifa.
From: Gaudencia Ngetti <gaudencia.ngetti@yahoo.com>
To: <amosmakalla@yahoo.com>
Habari za muda huu ndugu yangu...
Ndugu wanaJF juzi niliingia ndani ya compaund ya Tanesco pale ubungo nilikuwa na shidaya kumuona jamaa mmoja kwa masuala fulani lakini nilishangaa kukuta mitambo ya Dowans inafanya kazi...
Wakuu nawaomba mnipatie mawazo yakinifu ili nisiendelee kukwazika juu ya mahakama hii.
Kila kukicha utasikia Al-Bashir akamatwe apelekwe huko,mara Nkunda na wengine wengi tu.
Sasa lini tutamsiki...
Pamoja na kuwa watuhumiwa sita waliohusika na dili la kusafirisha meno ya tembo kwenda Phillipines na Vietnamu walifikishwa mahakani jana, habari nilizozipata ni kuwa Tz ni mhanga mkubwa wa hiyo...
nimekuwa nafuatilia kwa karibu vikao vya Bunge vinavyoendelea sasa huko Dodoma. wabunge wengi sana hasa wa CCM ni wanafiki wakubwa katika kuchangia bajeti.
mbunge anasimama anaunga mkono hoja...
Sasa kuna kila dalili kwamba zoezi la uandikishaji wapiga kura katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura (DKWK) ndio litakaloiingiza nchi katika machafuko makubwa kutokana na kuzuiwa kwa watu wengi...
This is just out of curiosity. When is this 'legend' political veteran going to retire from public and political services? Can CCM leadership stand minus him? What is so special about him?
Mzee...
KATIKA dunia ya leo ni vizuri kupata ushauri wa wateja au watumiaji huduma au bidhaa fulani endapo unataka kufanya mabadiliko yoyote ya msingi.
ZOEZI la kusajili namba za simu lingelikuwa...
MWANASIASA mkongwe nchini, Musobi Mgeni ameibuka na kukishambulia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya kuwafanya wasomi kuwa ni watumwa.
Akizungumza na Mwananchi Jumapili, jana mkoani hapa...
askofU mukiwa anasema leo wazi wazi kwamba uchaguzi wa 2010 utakuwa mgumu sana kwa wanasiasa wengi kwa sababu wananchi wengi wameshajua haki zao ni zipi!.
.''....wanasiasa waongo hawana...
If my memory is correct, the only time I have written about US President Barrack Obama was in January this year, when I observed (among other things) that Obama is the first US leader and that...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya SMZ wamedhihirisha uwezo wao wakusimamia kile wanacho kiamini. sasa tusubiri nini kitafatia kutokana na kauli ya waziri Adam Malima kuhusiana na kuwepo kwa...
MPs query 10bn/- NSSF loan to Kiwira mine company
THISDAY REPORTER
Dodoma
THE opposition camp in Parliament has demanded explanations from the Government over the circumstances...
Na Boniface Meena
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Zahra Nuru kuwa msaidizi wa rais wa masuala ya diplomasia.
Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,Ikulu jana na Katibu Mkuu...
Ukiongelea mpasuko uliopo hapa Zanzibar, waliowengi hasa walioko Tanzania bara huzaidi kuhusu CCM na CUF au UNGUJA na PEMBA. Ni kweli kuna mpasuko mkubwa sana na tofauti za waziwazi zinazoonekana...
"Mishahara ya askari wa Kikosi cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM), kiasi cha Sh. milioni 92.2,lliibiwa katika Makao Makuu ya kikosi hicho, Kibweni, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar"
"Zaidi ya Sh...
Kutokutajwa kwa Tanzania katika hotuba ya Oboma ni ujumbe mahsusi kwa JK ambaye hivi karibuni alikuwa Marekani ambapo alikuwa rais kwa kwanza wa Africa kukutana na Obama. Tunakumbuka alimzawadia...