By Bernard James
9 July 2009
The Citizen
Dar es Salaam tycoon Jeetu Patel is suing the Government and media mogul Reginald Mengi in a bid to have corruption charges against him and three others...
Juzi kwenye gazeti la mwanahalisi kulikuwa na makala iliyoandikwa na Salva Rweyemamu, ambaye ni mkurugenzi wa habari wa ikulu na mwandishi wa habari wa muda mrefu (alikuwa ni miongoni mwa...
Taarifa kwa vyombo vya habari 14 Julai, 2009
Chama cha Wananchi (CUF) kimefadhaishwa sana na taarifa kwamba maafisa wa Usalama wa Taifa wilaya ya Micheweni, wamekuwa wakiingilia utendaji wa Tume...
MPs must not handle developmental funds, say activists
By Harrieth Mandari,
The Weekend African,
July 18, 2009
DOZENS of Civil Society Organizations (CSO) have vowed to take the government to...
Taarifa kwa Vyombo vya Habari 15 Julai, 2009
Sisi Chama cha Wananchi (CUF) tumepokea kwa tafakari kubwa kauli ya Mhe. Amani Karume ya kumtaka kila Mzanzibari mwenye sifa na haki ya kupatiwa...
Hakika kuna mengi sana ya kihistoria katika huu muungano wa tanganyika na zanzibar..
sasa ningependa kuuliza kwa mitazamo yenu muungano huu baada ya miaka zaidi ya 45 je umeimarika au...
Huyu Mhindi akamatwe mara moja na bank account na assets zake nyingine ziwe chini ya ulinzi mkali. Wasimwache akaingia mitini kama yule wa rada.
Revealed:
Dar tycoon linked to BoT scandal...
Kwa wale wasio ona kazi na mafanikio ya serikali yetu walau wakubwa huko wanayaona.
Kweli wahenga walisema mitume haikubaliki makwao...
Tupate habari zaidi;
RAIS wa Marekani, Barack Obama...
NI KWELI WIZARA YA HABARI HAINA KAZI, NA WATANZANIA HATUHIHITAJI
Kuna wanaolalamika kwamba ni kuionea CCM kudai kuwa serikali yake ni kubwa mno na viongozi hawana uwezo wa kumsimamia kila mtu...
RAAWU yataka Dk Ndalichako awajibishwe kwa mitihani kuvuja
Na Festo Polea
CHAMA cha Wafanyakazi Taasisi za Utafiti, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti (RAAWU), kimesema Katibu Mkuu...
kwa mara ya kwanza ilianza chokochoko kwenye kikao kilichopita nafikiri cha mwezi wa 4 mwaka huu,walidai kuliondoa suala la mafuta na gasi kwenye mambo ya muungano- ikafikia wakati Rais wa jamhuri...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ameuomba Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Arabia kuchangia katika ujenzi wa barabara ya Manyoni -Kigoma ambayo ni sehemu ya barabara muhimu ya...
Na Ramadhan Mbwaduke
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Mark Mwandosya, amesema Bungeni kuwa, hakustushwa na bomu la tuhuma za ufisadi katika mradi wa maji mkoani Shinyanga lililolipuliwa na...
Na Mwandishi Wetu
"SERIKALI imara (adilifu), vyombo imara vya habari, taasisi imara za kidola, ni nyenzo muhimu katika kujenga jamii ya haki na inayojali demokrasia," anasema Rais Barrack Hussein...
Muslims who want to live under Islamic Sharia law were told on Wednesday to get out of Australia , as the government targeted radicals in a bid to head off potential terror attacks..
Separately...
Viongozi wetu na sifa toka Ughaibuni!
Lula wa Ndali-Mwananzela Julai 15, 2009
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
SAIKOLOJIA ya sifa inawafanya wanadamu kupeana sifa. Tunapongezana...
A controvesial CHADEMA MP from Kigoma North constituency has once again tested the wrath of Union Parliament today, after refusing to detract his ownstatement that " majibu aliyotoa waziri Sumari...