Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

CUF: Why more police for Pemba? Hamad Mohamed Rashid, Wawi MP, (CUF) Civic United Front (CUF) has opposed government plans to beef up the police force in Pemba, claiming that the move...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
''..kwa mujibu wa hoja iliyotolewa kwenye bunge la baraza la wawakilishi leo na waziri husika,ni kwamba serikali ya muungano haitoi msaada wowote wa ruzuku ili kuisaidia SMZ...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kuna hivyo vyeo viwili kwenye wizara . Binafsi naona vinaweza kuwa ni chanzo ha baadhi ya matatizo kwenye serikali. Kwanza nahisi kunaweza kuwa kuna mngongano wa kimadarakaau majukumu katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JESHI la Polisi limepokea msaada wa simu 100 kwa ajili ya kuwasaidia polisi waliopo wilaya za Tarime na Rorya, mkoani Mara kutekeleza majukumu yao ipasavyo katika maeneo ya mapigano yanayotokea...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tarehe 12/6/2009, mbunge wa Micheweni (CUF), Shoka Khamisi Juma alitoa tuhuma bungeni kuwa CCM ina tabia ya kuiba shahada za wapiga kura pale inapoona haiungwi mkono. Naibu Spika, Anne Makinda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je Kampeni za Mwandosya ndo zimeanzia Bungeni? Leo wakati Wizara yake ikijadiliwa, ilionyesha wazi kwamba alikuwa amewapandikiza watu wa kumpigia debe! Hata hivyo Dar- hakuna maji wiki ya tatu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
It's not unusual to hear high-profile speakers condemning the Blair-Bush legacy of war in Iraq and Afghanistan. But not many speakers could get away with calling the former prime minister a "liar"...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Not a good look for Etisalat.. There's not much in the way of official statements on this one just yet, but itp.net is reporting that a recently pushed out update for all BlackBerry users on...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna thread ilikuwa huku ikionyesha kuwa Obama amemkubali JK kuwa rais mzuri na akaahidi kumtoa mfano kila atakapokwenda. Nilisikiliza hotuba yake alipokuwa Ghana; hii ni hotuba iliyosikika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ni muda mrefu nimekuwa nikifuatilia taarifa ya habari ya ch10 kwenye kipengele cha uchambuzi wa magazeti na mara zote magazeti ya the guardian ltd ya mzee mengi huwa yanawekwa kapuni.sasa naomba...
0 Reactions
38 Replies
10K Views
Guardian Reporter National unity would be in jeopardy if Zanzibar would be allowed to join the East African Community (EAC) as an independent entity, the government has said. Deputy Minister...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimesoma magazeti matatu jana,Daily News,Nipashe na Mwananchi. Kulikuwa na taarifa kwamba Waziri fulani alitoa makadirio ya fedha ya wizara yake,lakini hotuba kamili haikuwepo katika gazeti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nimesoma hii habari nikaona kuwa naibu meya alikuwa na haki ya majibu aliyompa mbunge huyo wa morogoro Dr.Mzeru. Tukio hilo lilitokea walipotembelea miundo mbinu ya mamlaka ya maji ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Tunajifunza nini Watanzania kutokana na yanayoendelea kutokea huko China? I see ourselves ending up in chaos like China maana what's going on there resembles what's going on now in Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivui karibuni kumezuka mtindo wa kubomoa majengo ya zamani ambayo yalikuwa ghorofa nnne au chini ya hapo na kujenga mapya yenye ghorofa 8 kwenda juu, sasa ningependa kujua kwamba, wataalamu wetu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Sitta amshukia Zitto na kukwepa kosa la mwaka juzi Na Beatrice Bandawe 14th July 2009 Spika wa Bunge, Samuel Sitta. Spika wa Bunge, Samuel Sitta, jana ametoa ufafanuzi kuhusu madai...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mbunge wa Same Mashariki (CCM), Anne Kilango Malecela, amesema hoja yake ya kulitaka Bunge liunde kamati teule ya kuchunguza wizi wa nyara za serikali anaivutia pumzi akisubiri majibu ya uchunguzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
TANAPA, It is nice to see the website is on. Serengeti as a World Famous Park could have its own website containing details of facilities available there such as Hotels, Travel Agents, airport...
0 Reactions
81 Replies
12K Views
By The Citizen Reporters A Kenyan businessman, Ketan Somaia, who is wanted in Tanzania for allegedly swindling billions of shillings from the central bank, has been charged with fraud in the UK...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
NB: CCM inacheza hila mbaya Pemba kuwazuia wakazi wa huko wengi wao wakiwa wana CUF kujiandikisha ili wasipige kura mwakani kwa kisingizo cha kukosa sifa,lkn CUF haijatoa kauli yeyote kali hasa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…