Itakua vipi uongozi wa nchi yetu mwaka 2015 ingekua na muonekano huu
Rais:Edward Ngoyaye Lowassa
Waziri Mkuu: "Rostam" "Aziz"
Waziri wa Fedha: Andrew Chenge-yeye ana vijisenti hawezi...
Hello members,
We will perform a 1-3hrs system maintenance tonight (around 2200 East African Times). This' a critical system maintenance and hopefully you'll be patient during this maintenance...
Katika moja ya hotuba za Mwalimu J.K.Nyerere aliwahi kusema Urais ni Mzigo na hivyo si kitu cha kukimbilia.Pia alisema Ikulu hakuna biashara yoyote.Lakini siku hizi Urais unatafutwa kwa mbinu...
Kuna taarifa kwamba ofisi za DECI zilizopo Mabibo, Dar es Salaam, zimevamiwa na watu waliofika na magari na kurusha mawe.
Wakati hayo yakitokea, viongozi wote wa DECI walikuwa wameitwa na...
habari zilizotufikia punde dege la airtanzania limerudi mwanza muda mfupi baada ya kuruka...tatizo halisi alijaelezwa na hakuna anaekuwa tayari kuelezea usiku huu wamanane hapa mwanza ila muda si...
Slaa: Too many questions surround new TIB boss
FINNIGAN WA SIMBEYE
THIS DAY
Dar es Salaam
CONTROVERSY continues to dog the surprise appointment of senior Bank of Tanzania (BoT) official...
Naamini serikali yetu inawajali sana wananchi wake na inawataka wote wawe na maisha bora. Ningeomba lau iwe inawapa wananchi maskini hasa wa vijijini walau elfu hamsini kila baada ya miezi mitatu...
Na. M. M. Mwanakijiji
Kwa imani, Musa alipokuwa mtu mzima, alikataa kuitwa mwana wa binti Farao. Akachagua kupata mateso pamoja na watu wa Mungu kuliko kujifurahisha kwa anasa za dhambi kwa...
Ndugu zanguni habari!
Nimekuwa nikisoma threads mbalimbali humu katika forum hii yenye kuelimisha. Mengi yamekuwa yakiongelewa kuhusu disappointments ambazo watanzania tumepata baada ya Mkuu...
Source: http://www.ippmedia.com/ipp/nipashe/2009/02/28/132510.html.
Wasomi na wafanyabiashara mashuhuri nchini, wamesema kauli ya Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, kuwa mtikisiko wa uchumi...
2009-06-09 07:59:00
Opposition threatens to boycott elections
THE CITIZEN
CUF leader Prof Ibrahim Lipumba (left) and secretary-general Seif Shariff Hamadi address a press conference in...
Below are a few things i would rather our national 'Mjomba' doesn't do:-
1.called to the White House just because 'he was in the neighbourhood',he had no prior invitation.
2.attend a conference...
Suala la ufisadi sasa si geni tena hapa tanzania,na chimbuko lake ni baadhi ya Watanzania kugundulika kuhujumu uchumi wa nchi.Kumekuwa na wanaopinga ufisadi na wanaotetea ufisadi,matukio...
Hakuna kitu cha kuangalia sana kama mwitikio wa watawala wakati wa dharura. Kwani ni wakati huo ambapo watawala wanahisi kuwa wanaweza kupitisha jambo lolote lile kwa kisingizio cha "dharura"...
Ndugu zangu,
Kwa mawazo yangu kama kuna kitu kinapunguza sifa/nguvu za mtu kuwa na uzalendo kamili ni huu ugongwa wa msamaha wa kodi.
Kwa maoni yangu wawakilishi wa wananchi ndio watu ambao...
"Dola lazima isimamie sheria ili kulinda haki na kuhifadhi amani. Wajibu huu usipozingatiwa, wataibuka manabii wenye kuihubiri haki kwa kuwahukumu wengine. Hamtabaki salama mkifikia hapo"
J.K...
This Day reported that Government of Tanzania has announced plans to bail out the privatized Kiwira Coal Mine, which has failed to generate the expected 200 MW of electricity despite signing a...
Interesting continuation of a conversation I had recently - are we doing what we thought we would be doing 10, 20 or more years ago? I recently reconnected with an old flame who I always knew...
KODI ZETU KUTUMIKA KUILIPA CCM KWA AJILI YA SHULE ZA WAZAZI[TULIZOZICHANGIA UJENZI] ZINAZORUDISHWA SERIKALINI BAADA YA JUMUIA KUZISHINDWA!!!
Katika inayoonekana kama mbinu ya kupata pesa za...