Nchi inavyotafunwa
2009-04-05 12:41:01
Na Abdallah Bawazir
Tanzania inaendelea kupoteza mamilioni ya fedha kutokana na serikali kusuasua kupeleka bungeni muswada wa sheria itakayoongoza...
Rostam, Lowassa wafumwa kikaoni
Vyote vyafanyika ofisini kwa bw Edward Lowassa
Katibu Mkuu CCM, Makamba abainika alikuwepo
Vilifanyika Alhamisi wiki hii na vingine Jumatatu wiki hii kuanzia saa...
Hali ya kisiasa ya zanzibar ilivyo sasa hivi ni kama burundi au rwanda.
Zanzibar hakuna upinzani wa kisiasa bali kuna ukabila. Waunguja wanapigia kura ccm na wapemba cuf.
Kwa mantiki hiyo...
KILIMO KIKUBWA, UTUMWA MPYA (1)... YAMEKUWA HAYA! UTUMWA???
Na Joseph Mihangwa
0713-526 972
jmihangwa@yahoo.com
Mwanahalisi Issue # 130, April 1-7
KATIKA hali isiyotarajiwa, na pengine...
naomba ufafanuzi Mkuu wa wilaya, Mtendaji na Mjumbe majukumu yao hasa ni yapi?
je mkuu wa willaya na Mkurugenzi wa manispaa/halmashauri nani ni bosi na mipaka ya majukumu yao ikoje.
KWANINI WATANZANIA WANAMLAUMU MWALIMU NYERERE KWA KUKOSA ELIMU?
Sababu mbalimbali ambazo wametoa wadau ughaibuni
Hivi karibuni nilikuwa nje ya nchi nikakutana na watanzania waishio nje ya...
"Rais Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) Mwenyekiti wa chama cha CUF, Profesa Ibrahim Lipumba (kushoto) na Katibu Mkuu wa CUF Seif Shariff Hamad wakitoka nje ya ukumbi wa Hoteli ya Lamada Dar es...
Waziri Masha, Mweka Hazina Mansor washtakiana CCM
Na Frederick Katulanda, Mwanza
UGOMVI wa kugombea majimbo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) sasa umehamia katika Mkoa wa Mwanza baada...
Tuna fish storage charges pile up: as court dilly-dallies with fish sale permit
SAYUNI KIMARO
THIS DAY
Dar es salaam
THE government of Tanzania is set to pay a hefty price for keeping...
Mbowe amvaa Kikwete
Ambeza kutangaza kufunga mjadala wa Dowans
na Edward Kinabo
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, leo amekaa meza moja na Mwenyekiti wa CUF, Prof. haruna Lipumba na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharrif Hamadi...
Nyie wana JF endelezeni kwenu na sio kujichimbia Ulaya na Dar tu kwi kwi kwi!!!!
Waziri Mkuu ashawishi wazawa wa Rukwa kuwekeza kwao
Na Peter Edson
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amewataka...
Date::4/4/2009
Mwandosya akiri mwamko mpya kwa Watanzania
Na Ramadhan Semtawa
Mwananchi
WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Mark Mwandosya, ametoboa siri yake na wanasiasa...
Kauli ya Pinda ni kupindisha Sheria
na Asha Bani
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeeleza kushitushwa na kauli ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, aliyoitoa mkoani Iringa kwa kuagiza uongozi huo kuiondoa...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuongoza mkutano wa nchi tano za Afrika ya Mashariki katika kile ambacho kinaaminiwa juhudi ya nchi hizo kukabiliana na mmonyoko wa kiuchumi duniani. Mkutano...
Mwanzoni kabisa tulionywa kuwa mafisadi wana nguvu kubwa na wakikamatwa tu, nchi itayumba. Akakamatwa Jeetu Patel na washiriki wenzake, nchi haikuyumba. Kafuatia Maranda na washiriki wenzake, nchi...
Nimekuwa nikipitia kwenye website ya msajili wa vyama vya siasa hapa nchini,na baada ya kufanya peruzo nimekuta mambo ya ajabu sana sana .
kwanza ni juu ya majina ya viongozi wa vyama vya siasa...
Edward Hosea awashambulia wabunge
Wabunge waja juu, wahoji uadilifu wake
na Mwandishi Wetu
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
MKURUGENZI wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania...
Local govt authorities under fire from grassroots citizens
MASATO MASATO
THIS DAY
Dar es Salaam
MOST Tanzanians at the grassroots level remain unsatisfied with the way local...
Katika habari zilizorushwa na Kituo cha ITV jana toka kwenye semina ya Wabunge, wabunge walieleza kuwa na wakati mgumumu kuielewa misuada inayowasilishwa kwao kabla ya kuipitisha. Hali hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.