Jana katika kituo cha Television cha DTV kulikuwa na mahojiano kati ya waandishi wa habari wa kituo hicho na Waziri wa habari, utamaduni na michezo, George H. Mkuchika, waandishi hao walipata...
QUOTE
Katibu wa Bunge akiri kufahamu tuhuma hizo
na Mwandishi Wetu
IKIWA takribani wiki moja sasa tangu gazeti hili liliporipoti jinsi wabunge wanavyochuma mamilioni ya fedha...
Hii ni kamati ipi?
Kashfa mpya: Kamati ya Bunge yahongwa
Katibu wa Bunge akiri kufahamu tuhuma hizo
na Mwandishi Wetu (Tanzania Daima)
IKIWA takribani wiki moja sasa tangu gazeti hili...
Kutokana na hali halisi ya sasa inayoendelea Tanzania husani katika nyanja ya siasa na uchumi kwa ujumla.
Je tunamuhitaji Nostra Damus atutabirie hatima ya inchi yetu??
Kila siku mambo mapya...
As global credit crunch bites harder: BoT seeks safer haven for foreign exchange reserves
MASATO MASATO
THIS DAY
Dar es Salaam
THE Bank of Tanzania (BoT) has moved the countrys foreign...
Baba wa Taifa Mwalimu J.K.Nyerere alianzisha msemo kuwa ili Tanzania iendelee twahitaji ARDHI,WATU,SIASA SAFI na UONGOZI BORA.Vitu vyote hivi vipo hadi leo lakini Tanzania iko nyuma...
Muheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa inayoitwa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania.
Muheshimiwa, wakati unafungua bunge kule Dodoma ,tarehe 30/12/2005,ulisema kwamba Zanzibar kuna mpasuko wa...
Baada ya kumsikiliza Mzee Cigwiyemwisi John Samwel Malecela kuhusu utamaduni wa ndani wa CCM kumwongezea kipindi kingine cha miaka mitano Raisi aliyeko madarakani, inabidi tukae chini kama...
Katika pita pita ya kanzi mitaa ya uarabuni kalikutana na mazungumzo yafuatayo kwenye Benki moja yenye makao makuu Canada.
Mfanyakazi:"Habari za leo kanzi?"
Ka-nzi: "Nzuri tu habari za hapa...
Wasalaam wana JF,
Na kwa Mh. J.K, mosi, kheri ya miaka 20 ya ndoa japo watoto wamepita miaka hiyo 20 ; Pili, nawatakia kheri katika kuijongelea jubilee ya Silver ya ndoa yenu! Mungu na awajalie...
Habari zilizopatika na ni kuwa DCs wamapanguliwa na wengine kustaafishwa bila shaka tuna wanachama wa JF waliopewa SHAVU.
RAIS KIKWETE AFANYA MABADILIKO YA WAKUU WA WILAYA
RAIS Jakaya Kikwete...
Makamba amtaka Tambwe atubu
2009-03-26 12:32:29
Na Thobias Mwanakatwe, Mbeya
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba, amewataka Hizza Tambwe na Lucy Rutainurwa kutubu...
Chadema yalipua mawaziri wawili
2009-03-27 11:13:27
Na Richard Makore
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewalipua mawaziri wawili na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme...
Tanzania has collected only $1 million in income tax from foreign mining companies even though they exported nearly $3 billion worth of gold over a four-year period, a new report has revealed.
As...
Tahariri:
Mwanahalisi
KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Chiligati amejenga mazingira ya kutumbukiza taifa katika janga kubwa la vita.
Aliwaambia waandishi wa habari mjini...
Heshima Mbele,
Kwa mlio Nyumbani na ambao mmeweza kusoma gazeti la leo la Mwananchi naomba mtupe habari zaidi sababu mie nimepewa kwa kifupi tu na Mhariri wa Gazeti moja la Nyumbani.Habari hiyo...
Kuna taarifa kwamba wakati wowote ndani ya siku mbili hizi Mzee John Malecela anatarajiwa kutoa tamko zito ambalo linaweza kutikisa nchi na Chama cha Mapinduzi (CCM). Lakini pia tamko lake...
JK akiri kushindwa, Tutamsaidia - Mbowe
• Asema taifa linapita katika majaribu mazito kiuongozi
na Edward Kinabo
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.