Kuna habari kwanba mkoani Mbeya hivi sasa kuna mauaji yakutisha, mauaji hayo yanasadikika kuwa ni ya imani zakishirikina, wafanya biashara wa mabucha ya nyama ndiyo washirika wakuu, inasemekana...
mambo ya kuzingatia:
a. Baada ya CCM, CUF ni chama cha pili kinachopokea ruzuku nyingi toka serikalini.
b. Pesa hizo ni nje ya wanazopata kupitia wafadhili, miradi yao mbalimbali (kama wanayo)...
Kwa nini CHADEMA isiwapeleke mahakamani wahusika wa ufisadi ?
Chadema wanasikika wakilipua na kutangaza kwenye mikutano yao ya operesheni sangara kuwa fulani na fulani ni mafisadi wamesababisha...
Ningependa asiwe BASHIR PEKE YAKE. Nataka kumfikisha Rais Mstaafu B.W. Mkapa wa Tanzania pamoja na washirika wake ktk mahakama ya Dunia kwa mauaji ya Pemba.
Nadhani nahitaji msaada wa...
Utakuwa ni saa nane kila siku zinatazogawanywa katika vipindi viwili vya saa nne nne kila kimoja. Yaani, kama ni zamu yenu ya kukosa umeme, mtakosa asubuhi kwa saa nne, na jioni kwa saa nne...
1. Dr. Wilbroad Slaa - For sorting out list of shame
2. John Pombe Magufuli - For sorting out illegal fishing
3. Said Mwema - For sorting out grand organized robbery
4. Tundu Antipas Lissu -...
Kutokana na taarifa aliyoitoa katika vyombo vya habari mukulungenzi wa Tenesco kwamba Tenesco inajitoa katika ununuzi wa mitambo ya kuzalisha umeme ya Downs lakini kwa maelezo kuwa kutakuwa na...
Malecela: Ni Kikwete tu 2010
2009-03-26 12:38:03
Na Joseph Mwendapole
Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, John Malecela, amesema kuwa mwanachama yeyote wa CCM...
Tusitake kwenda mahakamani kuwashitaki mafisadi kwa sasa kwani kumejaa na wafuasi wa Sulutani CCM wana mapandikizi wengi katika hizi mahakama tulizonazo.
Ni lazima tufikie kikomo ambacho...
Shehena kubwa ya almasi yazuiwa
Ni ya mgodi wa Williamson, Shinyanga
Kisa ni hali tete ya kuuzwa kwa mgodi
Mwandishi Wetu Machi 25, 2009
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
SHEHENA...
Na Habel Chidawali,Dodoma ( MWANANCHI )
NAIBU Waziri wa Fedha na Uchumi, Omari Yusufu Mzee amewajia juu watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kudai kuwa, baadhi yao ni wezi wakubwa...
FORMER prime minister and veteran politician John Malecela has said those who feel aggrieved by the National Assemblys treatment of the emergency power generation projects involving first...
JK atuambie amechukua hatua gani
John Bwire Machi 18, 2009
Raia Mwema~Muungwana ni vitendo
PAMOJA na gazeti hili, kupitia safu zake mbalimbali, kuitahadharisha serikali, kwa muda...
kuna mtu amepita eneo la dowans jana na juzi, amenihakikishia kuwa aliona mitambo ile inafanya kazi, sasa kuna mawili:
huenda imeshanunuliwa kimya kimya
au labda ilikuwa inapshwa moto...
Ni lini tutaamka tukiwa na hasira za kweli na kufanya kweli?
Leo hii tunapingana na kubishana kuhusu Rostam, Lowassa, Lukaza, Chenge, Karamagi, Jeetu na wengine wengi ambao wamehujumu nchi yetu...
Raza awanyooshea kidole viongozi CCM
na Mkolo Kimenya
MFANYABIASHARA Mohamed Raza, amewataka viongozi na watendaji wa ngazi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa wakweli katika...
2009-03-21 - ipp media
By Bilham Kimati
As the heated debate on whether the Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) should or should not buy the Dowans Power Plant comes to a close, it has...
Je, tangu mwaka 2005 hadi leo kuna rekodi yoyote ya mbunge kutoka CCM kutofautiana na wenzake wakati wa upigaji kura bungeni. Kama sijakosea nafikiri kwenye kambi ya upinzani tumeshuhudia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.