Jamani for those who have been watching the IMF meeting at the BOT Towers, have u noticed like i have how aisha wa CNN alivyo muuliza kikwete simple questions na kashindwa kujibu kwa...
Hotuba JK inatetea watu fulani wanaohusishwa na ufisadi inanishanga hata mkuu nataka mjadala wa dowans ufunge huku Idrisa kauli yake ilikuwa ni kuwatisha wananchi kwamba asilaumiwe tukiingia...
Dar digs in as common market deadline nears
By The Citizen Team
With the signing of the East African Community (EAC) Common Market Protocol barely a month away, Tanzania has maintained that...
Baada ya Miaka 12 Bawata washinda kesi! Je watarudi na kasi waliyokuwa nayo mwaka 1995? Maana yake nini kwa kufungiwa miaka 12? Mahakama imeamua walipwe milioni 20, lakini imeshidwa kusema Raisi...
Wanatarajiwa kukutana na jukwaa la wahariri kesho katika Hoteli ya Kilamanjaro (Kempinski).
Kitakachoongelewa tutajitahidi kukileta kama kilivyo.
Tutarajie nini?
Katika hali isiyo ya kawaida, majambazi wamejipanga kwa kuunda kikosi kazi (task force) ya kupambana na wenye mali (wananchi) hasa wale wenye kupenda kupiga kelele za "wezi hao!!!! Wezi hao!!!!"...
Nimekuwa nikisikia kila mara kuhusu hili suala la wanamtandao. Kuanzia kampeni za uchaguzi, utawala wa nchi, uteuzi wa viongozi wa serikali ya Mh. JK etc. Naomba kujua, je, ni kina nani hawa? Je...
Habari zilizotufikia hivi punde kutoka kwenye mitambo ya mi-chichemi zinasema
Aliekuwa mkurugenzi wa ATCL bw DAVID MATTAKA maji yamemfika shingoni kaamua kulitema mzigo wa ATCL.(RESIGNATION)...
HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete amepigilia msumari wa mwisho katika jeneza la mzozo juu ya ununuzi wa mitambo ya kufua umeme wa dharura ya kampuni ya Dowans Tanzania Limited, aliposema kuwa serikali...
1. Dr Slaa
2. Mengi
Nawaombeni tutengeneze hii list. Kwa maoni yangu Rais wa nchi anastahili kabisa kuwemo katika list hii, lakini Kikwete hana sifa yoyote ya kuwemo katika list hii au...
Kindly read this!!!
Governments that steal together, stay together longer
Nicholas Sengoba
Recently a correspondent asked an interesting question. If as is said that corruption...
Na Saed Kubenea
Mwanahalisi~Maslahi ya Taifa Mbele
UTEUZI wa wakuu wapya wa wilaya, uhamisho wa baadhi na kustaafishwa kwa wengine, vinadaiwa kuingiliwa na mtandao wa aliyekuwa waziri mkuu...
Raza: Nchi imeoza
Asema tatizo ni uongozi wa juu wa CCM
Ashauri viongozi wanaotuhumiwa kwa ufisadi wakae pembeni
Godfrey Dilunga Machi 25, 2009
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo...
Kuna mjadala unaendelea na nimeonelea ni vema kuanzisha mwingine ambao itaenda sambamba (baadae kuunganishwa) nikiambatanisha Audio version ya alichokiongea Mzee Malecela tarehe 25 Machi 2009...
Muda si mrefu uliopita TBC wametangaza kuwa hotuba ya Rais itakuwa hewani pindi itakapowafikia. Hotuba yake ya mwisho wa mwezi (hii inatolewa mwanzo wa mwezi)??? - sijui kama inapaswa kuitwa ya...
Ndesamburo ashitukia mgawo wa umeme
2009-04-02 11:31:36
Na Simon Mhina
Mbunge wa Moshi Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Philemon Ndesamburo, amesema kuna kila...
* Ni kwa kuongea na simu wakati wa mkutano
Na Fadhili Abdallah, Kigoma
MKUU wa mkoa wa Kigoma, Joseph Simbakalia, amemtimua kwenye kikao cha Bodi ya Barabara mbunge,Sijapata Nkayamba (Viti...
Tanga elephant tusks smuggling case: TRA official accused of conspiring with smugglers
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
AT least one official of the Tanzania Revenue Authority (TRA) is...
Nimeiwaza hii kitu baada ya kukumbuka maneno ya Mheshimiwa, Mtukufu wetu wa zamani, aliyekuwa Raisi bwana B.W Mkapa ya kwamba Watanzania ni wajinga. Yaani nikawaza mimi, baba na mama, babu na bibi...
Ya kina Chenge na dhana ya EJUL
Johnson Mbwambo Aprili 1, 2009
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
NILIPOKUWA nasoma sekondari, kuna kazi mbili tu ambazo nilizitamani kuzifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.