Prosecution brings new charges against accused
By The Citizen Reporter
A suspect in one of the Sh133 billion External Payment Arrears (EPA) account cases, Mr Jonathan Munisi, was yesterday...
MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi Nchini Jaji Mstaafu Lewis Makame amesema iwapo Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba anamtaka yeye ajiuzulu wadhifa wake ni vema akaanza yeye...
Haya mawazo hapa chini niliyaposti kwenye Maoni.org, lakini kwa vile haifukuti, hakuna aliyejibu. Kwa vile nataka mawaidha kuhusu hili dukuduku langu, nimeona niposti hapa. Kumradhi kama nimefanya...
Liyumba na Kweka kazi zao tumeona leo Benki Kuu ukumbi na majengo ni mazuri sio second hand na hajalipuliwa. Ukumbi wa mikutano mzuri.
Swali inakuaje HR Manager na Project Manager wapitishe...
nakumbuka kwamba boyz to men walivyowasilisha fomu za uraisi 1985, walikwenda kwa ndege, na ndege hiyo ilitolewa na Rostam azizi kama sikosei, kwa kampuni iliyo Kenya, hivyo inabidi tuanzie huko...
Kuna habari kuwa huyu mama kashushwa cheo kule HABITAT je kuna ukweli gani kuhusu hili?
wana JF mliopo karibu na UN huko hebu tupeane updates kulikoni?
mniwie radhi sina source wala link ya...
leo nimetumia muda mwingi kusikiliza na kuangalia forum ya imf na africa ktk econimic crisis ya dunia.
Nimeshangazwa sana mkuu wangu mkulo ku high light kuwa africa inasonga mbele na kuipa...
Tibaijuka demotion tests EA relations
By DAVID OKWEMBAHPosted Saturday, March 7 2009 at 17:39
In Summary
Tanzania sent its envoy to plead to UN head Ban Ki-Moon to keep her, to no avail...
Radiation alert issued over Minjingu mine
2006-05-14 16:41:12
By Adam Ihucha, Arusha
Phophate found at Minjingu Mine about 100 km west of Arusha has some elevated levels of dangerous...
MADAI YA SERUKAMBA, SITA NA MWAKYEMBE WANAIHUJUMU CCM IPI?
Mbunge wa kigoma mjini, peter serukamba, amekaririwa na gazeti la mtanzania la leo linalomilikiwa na mbunge wa igunga, akiwalumu spika...
Je Rais na PM watatangaza lini kuhusu hatua ya sirikali kuwapigia kura ya maoni MAFISADI? Kwa sababu vyombo vya dola vimeshindwa kuwakamata hawa mafisadi kama ilivyo kwa wauaji wa maalbino...
MWENYEKITI wa Kamati ya Kuchunguza Mahesabu ya Fedha na Uchumi ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), katika baraza la wawakilishi (PAC), Abass Juma Mhunzi ametangaza rasmi kujiuzulu wadhifa...
Waziri Mkuu Mstaafu ahofia mgawanyiko wa Bunge la Tanzania
Waziri Mkuu Mstaafu, Joseph Warioba, ametoa tahadhari kuhusu Dowans kuligawanya Bunge Tanzania
Na Mwandishi wetu...
wana jamvi,
..nadhani mnakumbuka kwamba Raisi aliagiza shule zote sasa zitumie kitabu cha aina moja kufundishia somo husika.
..nilidhani Raisi alipaswa kusisitiza kuhusu waalimu na watunga...
Only 33 per cent of our total Government development expenditure in the past ten years has come from Outside in the form of loans or grants. This shows the degree to which we are relying first on...
Nimepata hii Article nikaona nishee na nyie kama ita kuwa imeshawekwa basi si vibaya MODS mkiitoa
Greetings All,
For those of you who heard it, this is the article Dee Lee was reading...
MSAJILI wa Vyama Vya Siasa John Tendwa amesema hatosita kukifuta chama chochote cha siasa ambacho kitaonekana kukosa wanachama wanaofikia 2,000 kama sheria ya usajili wa vyama vya siasa...
Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Peter Pinda jana alizindua kampeni ya kupiga kura kuwabaini wanaojihusisha na mauaji ya Albino na Vikongwe kwenye hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Zoezi...
I don't have access to the entire article if anyone does please post it. The Financial Crisis is begining to reach our shores.
TANZANIA
Ethanol project goes up in smoke
Another victim of...