Kumbe kabla ya zama za Barick na FIPA kulikuwa na uzalendo wa hali ya juu miongoni mwa viongozi na wasomi wetu katika kufuatilia usiri wa makampuni ya madini ya kigeni nchini. Enzi hizo Mzalendo...
Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Mhe. George Mkuchika amesema kuwa ni lazima kwa waandishi wa habari wa Tanzania kuwa ni wale waliosomea fani hiyo, kwani fani hiyo ni kama fani nyingine...
Count Down: Ripoti ya Tume ya Wahariri
Kama ambavyo tuliichambua ripoti ya Kamati ya Bomani sasa ni wakati wa kuichambua Tume ya Wahariri iliyoundwa kuhusu habari za kifo cha Wangwe.
1...
Katika siku za karibuni kumekuwa na kilio kikubwa cha wabunge kutaka kuongezewa mafao yao..Hii imeenda mbali zaidi hasa pale wabunge wa jirani zetu Kenya walipotembelea bunge. Inajulikana wazi...
Nani bora kati ya JK au Mkapa aliyekoroma tukanyamaza ingawa "underground" alifanya ubaradhuli?
Nauliza hivi kwasababu JK kama ni rubani basi keshatoka nje ya ndege na sisi hatuna habari. Kama...
Wiki iliyopita sikufanikiwa kutazama kipindi cha PAMBANUA ambacho hurusha na TV ya Channel TEN.
Jana nilipata bahati ya kuangalia marudio ya kipindi hicho ambapo Mtangazaji wa Channel TEN...
Mwakilishi CUF: Tumtambue Karume
na Mwandishi Wetu, Zanzibar
WAKATI sakata la Zanzibar ni nchi au la, likiwa bado halijatulia Mwakilishi wa Chama cha Wananchi (CUF -Chambani), Abass Juma...
....vituko vya rais wetu haviishi safari hii alifunga safari mzobe mzobe hadi songea kwenda kuzindua moja ya darala la kuvuka mto mkenda kwenye mpaka wetu na msumbiji....akabebana na protocal yake...
Nimetatizika sana kuhusu mamlaka ya polisi wetu n uwajibikaji wao, naomba wanasheria watushauri kidogo sehemu hii. Je, kuna uwezekano wowote wa kuanzisha kitengo cha polisi jamii kitachofanya kazi...
Tukinyamaza, mafisadi watashinda
Mradi wa UV-CCM, kashifa tupu
Na Saed Kubenea
YUSUPH Makamba, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni mwongo, MwanaHALISI limegundua. Wiki iliyopita...
Two ministers differ over proposed hotel project
Two senior Cabinet ministers have given conflicting statements on the controversial $20 million (Sh24 billion) hotel project at the site of...
Ni miaka ya mwanzo ya 90 wakati huo Radio Tanzania Dar Es Salaama (RTD) ilipokuwa inatawala anga za radio ndani ya Bongo, kulikuwa kuna kipindi kinaitwa Club Raha Leo Show ambapo bendi za Muziki...
Date::7/31/2008
Waziri wa Nishati na Madini awawashia moto Wakorea kwa kumdharau
Na Habel Chidawali, Mpwapwa
Mwananchi
WAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja, juzi aliwajia juu...
WanaJF,
Nimeingia leo KLH kwa MwanaKIJIJI na badala ya kupata ya makala niliyokuwa natafuta, nikaishia kusikiliza miziki ya zilipenda. Humo ndani nikafika na kukuta wimbo wa Patric Balisidya...
WARAKA KUTOKA HOUSTON, MAREKANI
Mama Kilango, maneno matupu hayavunji mfupa
Innocent Mwesiga Julai 30, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
NAMPONGEZA Mbunge wa Same Mashariki, Anne...
Jeshi lawaamuru askari kulipa kwenye daladala
Theopista Nsanzugwanko
Daily News; Thursday,July 31, 2008 @00:01
Makao Makuu ya Jeshi ya Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), yamewaagiza...
Picha kwa hisani ya Haki-hakingowi.blogspot.com
Kazi nzuri sana kutoka kwa Kipanya. Sasa maamuzi yetu kama "madaktari" ni yepi? Tung'oe kichwa haraka iwezekanavyo au tuache "cancer"...