Suala la Udini na Jinsia limekuwa na sauti sana miaka ya hivi karibuni katika siasa za Tanzania zaidi sana kuliko Ukabila, Ujimbo, Utajiri au Umasikini n.k.
Ushauri wangu kwa Watanzania...
Hongera NCCR! Hakuna ubaya wowote kuchukua points kutoka hapa ukumbini na kuzifanyia kazi
NCCR yahoji hotuba za mwezi za JK
na Mobini Sarya
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
CHAMA cha...
Labda sasa usanii wa JK kuhusu mafisadi umefikia kikomo. Jamaa wakikaza uzi na nchi nyingine za magharibi basi labda yale tuliyokuwa tukiyapigia kelele kuhusu mafisadi yatatimia
Marekani...
Rais wa Zanzibar Dk. Aman Abeid Karume, akiangalia chupa feki ya bia ya Heinken wakati wa maadhimisho ya miaka mitano ya Mamlaka ya usimamizi wa chakula na madawa yaliyofanyika makao makuu ya...
The G8 summit of industrialised nations opens in Toyako on the Japanese island of Hokkaido Today. The issues likely to dominate the talks.
Tough times ahead
By Economics Correspondent Andrew...
Wakati barabara tanzania ni mbovu, usafiri wa anga unakua hatari zaidi. Sa hivi labda punda tu ndio salama. Why? Why? Why?
Ndege yaanguka Arusha
2008-07-05 09:37:08
Na Cynthia Mwilolezi...
Dar MPs oppose tax exemptions for hoteliers
By CHRISTINE AFANDI
Special Correspondent
THE EAST AFRICAN
The issue of foreign owned tourist hotels in Tanzania being exempted from paying tax...
Katika siku za hivi karibuni mbunge wa Vunjo Mh. Aloyce Kimaro amekuwa mstari wa mbele kuhoji walakini wa umulikishaji wa mgodi wa Kiwila. Kama tunavyoelewa hapa jamvini, inaaminika kuwa huo mgodi...
Kikwete to meet with UN boss over alternative solution
By PAUL REDFERN
Special Correspondent
THE EAST AFRICAN
President Jakaya Kikwete is expected to hold detailed talks with the UN...
Mahakama hatimaye imewaachia huru wabunge wawili waliotuhumiwa kwa rushwa ya uchaguzi, hali iliyopelekea wabunge hao wawili kukosa haki yao ya msingi ya kugombea kama wanachama wa CCM katika...
Rais Jakaya Kikwete apigwa picha upya kwa matumizi ya kiserikali Na Mwandishi Wetu
SERIKALI imebadilisha picha ya Rais Jakaya Kikwete iliyokuwa ikitumika katia shughuli za kiserikali (Official...
Kama Jongwe alikuwa tayari kubwaga manyanga, je Jeshi na Usalama wa Zimbabwe haukuwa tayari kuyaheshimu matokeo dhahiri ya uchaguzi? kwa nini wao Jeshi na Usalama wa Zimbabwe ambao ni walinzi wa...
As you probably know, we are rich in gold. In fact, South Africa and Ghana are the only African countries with more gold production than we do. And, more gold is being discovered on our land, all...
Wana JF,
Bila ni muhimu kukumbushana tulipotoka kwa kuangalia mifano mbali mbali na matendo mbali mbali ya viongozi na wanasiasa wetu, ili tujue wapi tunasimamia na wapi tunaweza kuondoa boriti...
Kale ka nzi ka kijijini kanazungumza mno hadi nasikia kizungu zungu. Kuna ushirika wa ufisadi ambao umeundwa kwa karibu miaka kumi na na tano na ndani yake yanatokea majina mengi ya wavunaji...
Wana jf....Kumekuwa na msururu wa threads mpaka sasa hujui nini ni nini na wapi ni wapi!
Kunaonekana kuna MVUTANO MKUBWA!
Ni wazi kuwa KESI IMELETWA JF!
Sasa ili wananchi wanaofuatilia mijadala...
Tusiandikie mate ndugu zangu..... Kwa mara nyingine tena tuisaidie serikali yetu kujua takwimu za maoni ya wananchi wake kuhusiana na tamko lake la kutotambua ushindi wa Mugabe hivyo kutoitambua...
JK apongezwa kutatua migogoro Afrika
na Mwandishi Wetu
NCHI tatu za Afrika zimetoa shukurani kwa Tanzania, hasa Rais Jakaya Kikwete, kwa mchango wake mkubwa katika kutatua...
Watanzania waelezwa kuwa mbumbumbu wa A. Mashariki Basil Msongo, Dodoma
Daily News; Saturday,July 05, 2008 @00:03
Wanachi wengi hawafahamu shughuli za Jumuiya ya Afrika Mashariki...
Reports of Mwanawasa's death greatly exaggerated
LUSAKA, ZAMBIA Jul 03 2008 14:33
Zambian President Levy Mwanawasa remained in intensive care in a French hospital on Thursday after...