Mawaziri kivuli watangazwa
2008-02-15 09:21:20
Na Frank Mbunda, Dodoma
Kufuatia Rais Jakaya Kikwete, kulivunja Baraza la Mawaziri wiki iliyopita, Kambi ya Upinzani Bungeni nayo...
Kwa mshangao mkubwa na mtisiko TVT sasa wameacha kutupa habari za Dodoma ambazo zina mambo ya kugusa Taifa .Mjadala wa Richmond sina hakika kama Watanzania wanaweza kuusikia labda iwe...
Jamani kwenye ufisadi si BOT tuu bali hata mamlaka ya hifadhi ya ngoro ngoro. Faida inayopatika kwa mwezi ni zaidi ya shilingi 1billion out of which 6% wanagawana Mhifadhi mkuu na timu yake ya...
Hivi kwa nini lazima kulipia au kusajili namba upya kama gari lenye ZNZ likishaingia Dar baada ya Miezi 6?
Mbona suala hili halilalmikiwi?
Zanzibar ni Tanzania lakini kwa nini serikali yetu...
Hii ni Made in Tanzania tu!
Januari 23, 2008
JOHN Nolan, yule raia wa Ireland aliyejaribu kuighilibu Serikali ya Tanzania imruhusu aanzishe mashamba ya kamba (prawns) ambayo yangeiharibu...
Baada ya hekaheka za Richmond Bunge kuendelea na kikao Ijumaa
Na Waandishi Wetu, Dodoma
BUNGE linaendelea na kikao chake Ijumaa, baada ya kuahirishwa kutokana na mtikisiko wa kuvunjika Baraza...
Mjadala wa Richmond unashika kasi sasa .Grace Kiwelu akitoa hoja bungeni amesema anaomba wote walio tajwa na kujiuzuru ili kuepusha wao kukimbia Nchi na wapelekwe Mahakamani na pia amemshauri...
Jana Muungwana alitoa Maneno haya wakati anawaapisha timu mpya ya Mtandao na usajili mpya wa wachezaji wa akiba "Anyone who does not Obey You (PM) let me know immediately and i will act...
Asubuhi hii nilifika kazini nikiwa mchovu baada ya kukesha kwenye simu kujua nini kinaendela kule idodomya. Nilikuwa bado na hasira na uchungu baada ya kufikia hitimisho kuwa Tanzania kuna watu...
Mbunge wa Iringa, Mheshimiwa Chogga, enzi za Nyerere, aliwahi kusema kwamba China, kwa sababu ya uhusiano wake na Tanzania wakati ule, inafikiri kupeleka wanawake nchini Tanzania (aliwahi kusema...
Wana JF,
Hapa kuna kipande cha habari zingine, zimepatikana kwa mdau mmoja hapa. Sina uhakika sana na habari hizi. Naomba senior JF members and experts angalieni ukweli wake.
Ndugu JK, Watu...
Baraza la mawaziri maswali bado ni mengi
TANZANIA DAIMA
JANA Rais Jakaya Kikwete, alitangaza Baraza jipya la Mawaziri baada ya kulivunja la awali wiki iliyopita kutokana na aliyekuwa Waziri...
Wakati wadau mbali mbali wanalalamika kuhusu wageni kupewa ajira za chee katika idara mbali mbali ,kuna wengine inaonyesha hawashituki kuhusu malalamiko haya na ndio wanaendelea kuleta ndugu ...
Wakati ule kikwete amefanikiwa kuchaguliwa na watanzania kwa zaidi ya asilimia 80 ya kura zote kila mtu alikuwa anajiuliza baraza la mawaziri litakuwaje lakini hakuna aliyekuwa anajiuliza waziri...
Watanzania wamepoteza kabisa imani na serikali iliyo madarakani kufuatia kashfa nyingi zinazowakabili watendaji wakuu wa awamu ya tatu na ya nne. Kashfa hizi zinahusiana na kusaini mikataba feki...
Nadhani mtakumbuka baada tu ya kuchaguliwa Urais alilihutubia Bunge..na kusema "tusije tukalaumiana baadae"...Habari nilizozipata zinasema kwenye hiki kikao ameonya na kuaasa wale wote ambao...
Privatisation: Good for foreigners, bad for Tanzanians
By KARL LYIMO lyimok@gmail.com
THE EAST AFRICAN
In 1992/93, Tanzania undertook a privatisation programme that was expected to hand...
Finally, one of the longest serving politicians in the country Mr. Kingunge Ngombale Mwiru has retired from active politics. Mr. Kingunge has decided to retire on the eve of the announcement of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.