Mmoja kati ya wale watu waliohusika na ile kashfa ya Ricmond , Mohamed Gire , amecontribute kiasi cha dola mia tano kwenye campaign ya John Mccain . Nilikuwa nafikiria ni jinsi gani tunaweza...
Akataa kuteta na wabunge
*Ni mpaka atangaze Baraza la Mawaziri
* Walikwenda kumwona warudi patupu
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
RAIS Jakaya Kikwete jana amekataa kukutana na wabunge na baadhi ya...
Wiki iliyopita Tanzania imepitia katika mtihani mkubwa na kupiga hatua kubwa za kisiasa baada ya kushudia Ndege kubwa ya Uchumi iliyokuwa inapaa ikitunguliwa na Kasungura ketu hadi kufilia kuzimu...
Source: Mwananchi
Tunakoelekea matusi ya nguoni yatawatoka watu. hii inaonyesha jinsi watu walivyochukizwa na suala hiliPadri:
Waliohusika Richmond si mafisadi bali mafisi maji
Na Geofrey...
Wananchi wagomea mkutano wa DC
Source: Tanzania Daima
na Ahmed Makongo, Magu
WANANCHI wa Kijiji cha Yichobela, Kata ya Nyigogo, wilayani Magu, Mwanza, mwishoni mwa wiki waligoma...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bw. Chacha Wangwe amedai kuwa kama angepata nafsi ya kumpa ushauri Rais basi angemshauri Rais "avunje bunge ili sote turudi kwa wananchi na kuwapa wananchi nafasi ya...
Mheshimiwa Rais Kikwete,
Ombi rasmi mkuu. Unapounda baraza lako jipya, tuachie wale Wabunge wetu maarufu kama bakibencha. Usiwa-Bangusilo na kuwapa Uwaziri.
Twaomba wafuatao wasiwemo katika...
..ndugu zangu wakati wa sakata la ripoti ya Dr.Mwakyembe likiendelea Raisi Kikwete alifanya uteuzi wa Jaji Kiongozi na Majaji wa Mahakama ya Rufaa.
..Jaji Kiongozi Amiri Manento amestaafa na...
Ni mtihani mzito kwa JK leo
*Baraza kuibua au kuzamisha matumaini ya Watanzania
Na Mwandishi Wetu
RAIS Jakaya Kikwete leo anakabiliwa na mtihani mwingine mgumu katika kipindi...
Kuna nafasi tatu za kujaza, kama asipofanya recycle kuwarudisha mafisadi kwa kisingizio kwamba walijiuzulu wenyewe lakini bado 'taifa linawahitaji'.
Kwa kuzingatia kwamba kamati nyingine mbili...
Kuanzia mwaka Jana yule Mungu wa maajabu , Mungu wa kutumainiwa na watoa vilio aliamua kupiga kambi rasmi hapa nyumbani kwetu Afrika Mashariki na hasa Kenya na Tanzania .Najua sababu ni wetu wetu...
Posted Date::2/9/2008
Viongozi wastaafu, wapinzani wamshauri kwa Rais Kikwete
Na Andrew Msechu
Mwananchi
RAIS Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, wameshauriwa kuhakikisha kuwa...
Wapinzani wanena
na Peter Nyanje, Dodoma
Tanzania Daima
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akikuna kichwa kuhusiana na muundo wa Baraza la Mawaziri analotarajia kuliundwa upya, kambi ya ya...
Heshima Mbele wana Bodi,Nimekaa nikifikiria ni kwanini mpaka sasa ,Mheshimiwa Yusuph Makamba ambaye ni katibu mkuu wa chama Tawala ,mpaka muda huu hajatoa tamko kuhusu Tuhuma za Ufisadi za ukweli...
Kuna usemi kuwa watu wa usalama wa taifa huwa hawastaafu mpaka wanapokufa. Kutokana na yanayoendelea Tanzania ambapo vyombo vya ulinzi na usalama vimehusishwa na kashfa zinazoendelea karibuni za...
na Mwandishi Wetu
JARIDA maarufu la The Economist, kwa mara nyingine tena limefanya tathmini yake kuhusu mwelekeo wa kiuchumi wa Tanzania na Serikali ya Rais Jakaya Kikwete katika kipindi cha...
Pamoja na mabadiliko ya mawiziri ambayo tunayatarajia, pia mfumo wa utendaji kazi serekalini unahitaji mabadiliko makubwa.
Mpaka sasa mfumo wa utendaji kazi serikalini, kwa kiasi kikubwa...
JAMANI
Nafikiria na kufaraki kuhusu hili sakata la aibu na uzalendo wa kifisadi dhidi ya nchi yangu na watu wake. Ni kweli kwamba sasa hata mkulima kijijini ameshagundua kwa nini gharama za...
Jana katika kikao cha bunge, wachangia hoja waliopata nafasi waliwapongeza Lowasa, Karamagi na Msabahaa kwa uamuzi wao wa kujiuzuru. Kwa upande wangu sikuona sababu ya kuwapongeza watu ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.