..kwa sababu imeenda kutembelea Kiwira Coal Mining inayomilikiwa na Mkapa na Daniel Yona katika mazingira ya kutatanisha basi ni lazima wawahoji Mkapa na Yona ni vipi waliweza kumiliki mgodi huo...
Katika kufuatilia mihangaiko ya Mh.Kikwete nimeona zile safari safari zake zilikuwa na lengo la kuwapa mwanya Mawaziri na alikuwa akipima uwezo wao wa kufanya kazi bila ya kuwepo yeye...
Mbunge Wa Moshi Mh. Ndesamburo Ameomba Mwanasheria Mkuu Na Mkurugenzi Wa Takukuru Wawajibishwe Pia, Na Kwamba Hili Ni Dili Limefanyika Na Ameomba Hatua Za Kisheria Zichukuliwe Kwa Wahusika Wote...
Ebwana eehh
hapa JF kama unavyojua kama server iko chini wengine hatuna pa kwenda
Nimejaribu kwenda KLH news nimeona hakuna forum
sasa ushauri wangu wewe unganisha LKH news na GUMZO ili...
Nimepata nafasi ya kusikiliza mahojiano ya Rais na waandishi wa habari wiki iliyopita. Cha kushangaza ni kuwa magazeti yaliandika kuwa Rais kasema "silivunji baraza" au "havunji Baraza" n.k Ukweli...
Baada ya hekaheka ya pale Bungeni Dodoma naona huu ni wakti mzuri wa kukaa kitako na kuunda baraza jipya la mawaziri tena dogo lenye idadi ndogo ya mawaziri na manaibu.
Halafu pia naona raisi...
Haya kumekucha jamani, baada ya jana pirika za kuipitia ripoti ya RICH-MONDULIS leo ni siku nyengine ya kuijadili.
Mliopo DODOMA tuleteeni DATA kunani HUKO?
Mheshimiwa Spika, kutokana na madai...
Wakati wa sakata la zito kuhusu Buzwagi, viongozi wa serikali kuanzia rais, waziri mkuu na wengine kibao walizunguka nchi nzima wakitetea kwamba mkataba ni mzuri hauna shida. Sasa leo wanasema...
HOFU YANGU NI MSIMAMO WA CHAMA KUTAWALA WAKATI WA MAJADILIANO
Wabunge CCM wajipaga kuikabili joto la Kashfa ya Richmond
Na Tausi Mbowe, Dodoma
SOURCE: MWANANCHI
WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi...
Bunge limeanza sasa na Sitta asema kwa nini amevunja safari ya Marekani .Kasema alialikwa chakula huko kwa mujibu wa taratibu za US.
Pia ameomba radhi kwa kumtumia neno Kukurupuka na yeye...
CAPE TOWN (Reuters) - Barrick Gold Corp. (ABX.TO: Quote), the world's biggest gold miner, said on Tuesday it expected its Buzwagi gold mine in Tanzania to be in production next year at a cash cost...
Wabunge roho juu Dodoma
na Mwandishi Wetu
Tanzania Daima
HALI ya mambo katika Manispaa ya Dodoma ni tete, baada ya taarifa kadhaa za kushtua kusambazwa miongoni mwa wabunge kuhusiana na...
Na Waandishi Wetu
Mwananchi
KITENDO cha Spika wa Bunge Samwel Sitta kumkataza Naibu Spika wake Anna Makinda kusimamia mijadala mizito inayohusu ubadhirifu katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na...
Source: ITV news
Jana jioni kuliripotiwa kuzuka kwa vurugu la kukata na shoka kati ya raia na mgambo wa manispaa ya Kinondoni katika ofisi za mkuu wa wilaya hiyo. Chazo ni baada ya mgambo...
Kwa mara ya 3 mfulizo kwa nyakati tofauti nimefika katika kituo cha Polisi cha Buguruni na Selandar Bridge. Ndugu IGP, napenda ujue kwamba baada ya Rais kuugawa Mkoa wa Dar na kuweka madoiko kibao...
Habari zinazoifikia skwadi ya uchunguzi ya JF zinasema kuwa Kikwete anapanga kuzunguka dunia kutangaza uteuzi wake wa kuwa kiongozi wa AU ooooopppppsssss kusuluhisha migogoro ya nchi mbalimbali na...
Naona spika ameamua kuahirisha safari ya marekani na kurejea bungeni kesho huenda hii ni kutokana na hali halisi ya bunge na mjadala wa jana na wabunge kushinikiza waletewe ripoti ya richmond...
Ndugu zangu wana JF, nawaombeni tusingoje serikali yetu imrudishe Balali. Na inawezekana wasifanye hivyo.
Naomba tuamzishe kampeni ya kumrudisha huyu mfisadi Bongo ili aweze kutoa nyaraka zote...
JK ameona madhara ya viongozi wa kitaifa kufanya biashara na sasa anawashukia kama mwewe.
Habari zaidi saa 2.00 usiku.
Hata hivyo tukumbushane hoja nyingine ya Zitto ilivyozimwa na Ofisi ya...
Mbunge ODM ahutubia Dar aomba majeshi ya AU kwa Kikwete
* Kalonzo aenda Ulaya, Marekani kurekebisha mambo
Na Waandishi Wetu
MBUNGE wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) cha nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.