Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Singida Mjini, Hamis Nkua, amechomwa kisu katika mkono wa kushoto begani.
Akizungumza na Nipashe Digital katika Hospitali ya Rufaa ya Mandewa...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema kupitishwa kwa Sheria ya TBC kunatokana na mapenzi makubwa aliyonayo Rais Samia Suluhu Hassan kwa shirika...
Kwa wale wazee wenzangu na wafuatiliaji mabunge awamu mbali mbali, nimeona Leo tujikite kidogo kuangalia maspika wa Bunge walioongoza Bunge vipindi mbali mbali, Kila mmoja alikuwa na staili yake...
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Serikali ya kikoloni ilipata upinzani wa kweli kutoka kwa watanzania wazalendo.
Baada ya uhuru serika ya Taa, Tanu na badae ccm hawakuwa na mpinzani wa...
Rais Samia angechaguliwa May kuwa mgombea urais ingeleta maana zaidi.
Sasa hivi serikali inakosa legitimacy. Serikali inakosa uhalali.
Hakuna ushindani,hakuna struggle,njia za mkayo zinatumika...
Umoja wa vijana chama cha mapinduzi wilaya ya Temeke umesema utaendelea kuishi kwa vitendo malengo ya kuasisiwa kwa Chama Chama Mapinduzi CCM kwa kuwajali watu wote kwani Chama hicho ndio kimbilio...
Uchawa unanguvu sana! Na bila shaka hii yote kwenye kutetea ugali wao.
Sasa Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ameamua kuvaa vazi la Samia style kama sehemu ya kumpongeza Rais Samia kwa kazi...
Alizungumzia jinsi Rais wa IPU Spika Dr Tulia PhD alivyowajibu Wazungu, mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema ule siyo Ujasiri
Fatma Karume asema alichofanya Spika Dr Tulia ni...
Kwa kweli nalilaani tetemeko la ardhi lililotokea Bukoba na kusababisha vifo vya baba, mama, bibi, anko, shangazi na wadogo zangu. Pia ninalaani vikali wale waliotumia rambi rambi zilizochangwa na...
Mungu abariki wazungu make ndio wanafanya familia nyingi sana za Kitanzania watu wanaenda Chooni. Hata hao CCM kila mmoja anaota kufika Marekani au Ulaya.
1. NGO zilizo jaaa Tanzania asilimia...
Hata tawala za kimila zilizowahi kutikisa dunia zikikuwa namna yakutawala na kutosahau kuwa waliomfikisha pale walipo ndio watu wamuhimu sana.
Historia inajieleza ya kuwa pale watawala hawa wa...
Wakuu
Mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo, ameifananisha tuzo Maalum ya Kimataifa ya 'The Global Goalkeeper Award' aliyopewa Rais Samia Suluhu Hassan na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, akisema...
Katika kikao chake cha Nane (8), mkutano wa 18, leo Februari 7, 2025 wabunge watapokea, kusikiliza, kujadili na hatimaye kupitisha au kukataa taarifa za kamati mbili za kudumu za Bunge baada ya...
Akijibu swali la nyongeza Bungeni leo Feb. 7, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya ampigia debe Conchesta Rwamlaza, Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
Nimeisikia hii kupitia ITV huko mkoani Mbeya wilayani Kyela.
Ngoja niitafakari kidogo hii kauli ya RC Chalamila....... Nijiridhishe alichomaanisha.
Maendeleo hayana vyama!
ALICHOJIBU RAIS...
anaongeza kuwa klabu za uongozi ni msingi wakuwajenga wasichana kujiamini na kuwa viongozi wa baadaye.
Kwa Skuli ya Benmbella, Mwalimu Bakari Mohammed anaeleza kuwa uchaguzi wa serikali za...
Huu msemo anaupenda sana Lema wa.CHADEMA "karma.is bitch"
Dr Slaa Alie sikitika wanachama wa.CHADEMA kukusanyika kwenye viunga vya Mahakama kusema Mbowe sio Gaidi Leo hii yupo sero siku ya 28...
Samahan kwa wale naweza kuwakwaza. Ila nilikuwa naomba tujiongeze ktk jambo moja ambalo kwa macho ya mbali ningependa tulitafakari.
Mh Rais kwa speed anakimbiza nikama 2020 ccm ikalamba viti...
Msingi Mkuu wa CCM kukataa KATIBA MPYA unatokana na KATIBA ILIYOPO KUWAPA NGUVU Wanasiasa kuliko Watendaji hivyo Wanasiasa kutapanya pesa za wananchi kwa namna wanavyojisikia wao bila hofu ya...
Uteuzi wa Emmanuel Nchimbi kuwa katibu mkuu wa CCM, kwa wanaokumbuka watu aliowapiga chini, walishangaa na kujiuliza kunani mteule wa Magufuli anawakumbatia aliowakataa aliyemtengeza?
Kabla ya...