Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Watanzania wamekuwa wakidanganywa sana na Wanasiasa wakiwemo Chadema, Mwendazake nk kwamba Nchi yetu ni tajiri sana hapa Afrika ingawa kiuhalisia sio Kweli.. Mbona kweli list hapa ya utajiri...
12 Reactions
294 Replies
16K Views
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali...
26 Reactions
176 Replies
19K Views
Leo nimetembelea tovuti ya NBS, katika pititia pitia nimeona kiwango cha ukosefu wa ajira nchini kipo asilimia 7.8, takwimu ambazo zilikusanywa kutoka kwenye sensa ya watu na makazi. Chapisho...
4 Reactions
26 Replies
498 Views
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) Mkoa wa Geita imewafikia Wananchi 161,154 ambapo kati ya hao wanaume ni 80,810 na wanawake ni 80,344. Kampeni hii...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amepinga vikali madai ya vyama vya upinzani kuhusu wizi wa kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa, amesema vyama hivyo, hususan...
0 Reactions
9 Replies
442 Views
MARIA SARUNGI AKAMATWE, MARIA SPACES IFUNGWE!! Maria hajawahi kuona zuri lolote la Rais Dkt Samia. Tangu aingie Ikulu 2021, mwezi wa kwanza tu hata hajajua korido za Ikulu alianza kumzodoa. ANA...
12 Reactions
124 Replies
7K Views
Naona tangu achaguliwe mwenyekiti wa CHADEMA mitandao ya kijamii anaigopa hata kuitumia. Kabla ya uchaguzi alikuwa akitwiti kila siku lkn hivi sasa mtandao wake wa X ambao ulikuwa active hivi...
1 Reactions
33 Replies
685 Views
Kina Ndugai walikuwa wakiona mbaali sana, walikuwa wakiziona hizi nyakati, walionya wakapuuzwa na viongozi wa ccm, leo kiko wapi Nchi kujitegemea ndio mpango mzima ingawa mwanzo una maumivu yake...
2 Reactions
6 Replies
552 Views
Watanzania tunalo swali letu muhimu la kuhoji maana Serikali inaweza singiziwa kupokea misaada ya trilions ilihali misaada hiyo ilienda kwa NGOs zinazoongozwa na walami. Yaani fedha zinaenda kwa...
1 Reactions
42 Replies
2K Views
Hii imetokea usiku wa kuamkia leo maeneo ya Magomeni Kagera. Polisi walilazimika kutumia risasi (kufyatua hewani) katika kuhakikisha wanawatia mbaroni. Anaitwa Mharami Chonji Mohamed. Taarifa...
0 Reactions
274 Replies
64K Views
Gazeti la mwananchi limeripoti kuwa gari lenye namba za serikali limenaswa likiwa na kilo 430 za dawa za kulevya huku mmiliki wake akitokomea kusikojulikana na anaendelea kusakwa kila kona bila...
7 Reactions
111 Replies
11K Views
Gazeti la Tanzania Daima la leo linatuhabarisha ya kuwa Dr. Slaa anamtuhumu JK ndiye mmilki halali wa DOWANS......................hili likiashiria ya kuwa kumbe kashfa nzima ya ufisadi dhidi ya...
5 Reactions
459 Replies
39K Views
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo) Mohammed Said Issa ameibua mzozo Bungeni mara baada ya kusema kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiwezi kupata kura katika jimbo lake kwa sababu sera zao ni mbovu...
0 Reactions
1 Replies
287 Views
Sherehe zinazofanyika ktk nchi hii chini ya kile chama, bajeti zake ni kubwa mno hata kw akufikiria tu. Uki imagine kwamba hii ni Nchi maskini huku wanatujazia Madeni kila mwaka utaamini kabisa...
21 Reactions
35 Replies
2K Views
Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) umesema utapambana na chama chochote ama mtu yeyote atakayeeneza kile ilichokiita dhihaka ama propaganda ovu dhidi ya Rais wa Tanzania na...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Utawala wa CCM kwa sasa umekuwa mgumu kwa nchi wagombea waliopo wote mnawajuwa mmoja ana uraisi wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wote mmeona aliyoyafanya katika kipindi chake na...
2 Reactions
0 Replies
144 Views
Baada ya ripoti ya CAG Kutolewa na kueleza madudu ya TTCL, Rais Samia Hassan amependekeza shirika hilo la umma libaki kusimamia mkongo wa Taifa tu, lachane na biashara ya mawasiliano ya simu. Kwa...
26 Reactions
177 Replies
10K Views
Kwenye Mkutano wa G20 kule Brazil, Tanzania ndio inaaminika kuwa na ujumbe wa watu wengi sana pale, inazidi hata wenyeji wa huo mkutano, Tanzania imeambatana na ujumbe wa watu zaidi ya 100...
28 Reactions
93 Replies
3K Views
Wakuu Vijana kama vijana kutwa busy na mambo ya uchawa tu! Kikundi cha Vijana Waliojipaka Matope mwili mzima ni miongoni mwa watu waliopata fursa ya kuwepo kwenye maandamano ya watu elfu 5...
1 Reactions
75 Replies
3K Views
Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa dunia inapaswa kuangalia mfumo wa chama cha mapinduzi kama mfano katika uongozi kwani chama hicho kina sifa za kipekee Sasa kwa la...
-1 Reactions
4 Replies
212 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…