Wakuu
Hawa ndio vijana tunaotarajia kuwa viongozi wa kesho, lakini badala ya kusimamia maslahi ya wenzao, wanajikita kwenye kampeni za kusifia bila hoja.
Badala ya kushinikiza fursa na maendeleo...
Rais Samia ametoa angalizo kwamba CCM isitegemee historia kupata ushindi kwenye uchaguzi Mkuu Bali ijenge Sera zinazobeba matamanio ya Wananchi wa Sasa
Ni lazima tujenge Sera za kuaminika mbele...
Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Lindi kimewataka Vijana kujipambanua na kugombea nafasi mbalimbali za kiongozi ili nao wawe viongozi na sio kuwabebea mabegi Wagombea Ubunge na Udiwani...
Wanabodi
Niko hapa Ukumbi wa FCC jijini Dar es Salaam, kuwaletea live ya Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF.
Hivi sasa Mkurugenzi Mkuu wa FCC...
Kipindi cha uchaguzi na maajabu yake, utasikia maneno na mipango ya busara kutola kwenye chama kikongwe huku wakijitenga kuwa chanzo cha uharibufu na umasikini uliopo, watatoa mawazo chanya yenye...
Sijui kama hapa ni mahali muafaka kwa hii lakini taarifa zilizonifikia hivi punde ni kuwa yule mwarabu anayetajwa kuwa ndiye mmiliki wa Dowans, Brigedia Jenerali (mstaafu) Sulaiman Mohammed Yahya...
Bunge la 12 Mkutano wa 18 kikao cha 8 Januari 6, 2025.
https://www.youtube.com/live/v7nIhzdKxfM?si=_aHP4U9aOM7XzizK
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema ni muhimu kwa Tanzania kuzingatia Sera...
Wakuu
Wote tunakumbuka kipindi cha Magufuli mambo yalivyokuwa.
Baada ya purukushani zake za kutishia wapinzani, kuzorotesha uchumi na mwisho kuona majority ya watanzania hawamkubali zikaanza...
Connect them if you can: Loliondo Gate => Yaeda Chini => Dowans and CCM!
What is the connection? There is a connection, a troubling one that is.
In 1992 some UAE royalty became interested in...
Kuna upuuzi unafanyika nchi hii nadhani ni kuzimu tu wanaweza kuuelewa.
Tunaposema kuna haja ya kupata KATIBA MPYA kuuondoa huu upuuzi tuna maanisha kweli maana hii nchi imefikia hatua mbaya...
Wasalaam,
Appease, Propitiate and Placate!
Tuliza, Fidia, wape waone na kusikia wanachotaka kusikia!
Kwenye sayansi ya siasa hizi ni nguzo zitumikazo mara kwa mara kuongoza, ebu leo tujikite...
Naona kama Magoti anataka kupandisha mabega juu kuliko ya aliyemteua. Maji ya mto huwa hayapandi juu zaidi kupita chanzo chake, bali huteremka chini.
Naona Magoti anajiona ni mnyampara kama wale...
Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna...
Wakati Rais Samia anaingia Ikulu, baada ya muda mfupi vyama vya upinzani Tanganyika pamoja wanahabari wa kujitegemea wamekuwa wakipaza sauti zao juu ya Rais Samia katika uwongozi wake, Moja ya...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo.
Kwa vile huu ni mwaka wa Uchaguzi, na mimi mwandishi wako wa makala hizi, zaidi ya kuwa ni mwandishi na mtangazaji wa kujitegemea...
Rais Samia amewashangaa watendaji wa Serikali kutoa leseni za biashara ndogo ndogo Kwa wageni akitokea mfano Mchina muuza Mitumba Kariakoo.
Naungana na Rais Samia,hili ni jambo amenifurahisha...
Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.