Kasi ya Trump kwenye kutekeleza maamuzi magumu ni kubwa sana, natamani Rais wetu Samia na yeye awe na hii kasi.
Hata Tanzania kuna taasisi kibao zinafilisi serikali hakuna cha maana zinazofanywa...
Wakuu
Hawa ni Vijana wakiwa wamepiga magoti na mabango kwenye Maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, zinapofanyika sherehe za miaka...
Sina chuki na watu niliowataja hapo juu. Ila kiasili na kimatendo wana roho mbaya, wachoyo, na zaidi ni wabaguzi wa kunuka.
Ukiwakaribisha kwenye nchi yako jua watataka wakutawala, wakubague...
Wakuu,
Wakati napiga patrol zangu huko mitandaoni nimekutana na clip hii ya Biteko akiwa kwa mara nyingine anawasema TANESCO.
Kwenye hii clip Biteko, analalamika kuhusu ubovu wa huduma kwa...
CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu, Waanza kazi rasmi.
Wajipanga na kujikoki kwa uchaguzi ujao.
Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya...
Wakuu,
Leo ndio ile siku ya maadhimisho ya kuzaliwa kwa CCM baada ya kuona matangazo mengi toka kwa chawa wa mama.
Watakuja na kubwa gani leo, wacha tuone...
Hili ni Swali ambalo naliekeza kwa Mamlaka za soka za Tanzania ikiwa ni pamoja na TFF.
Inawezekanaje mambo haya yakafanyika na AZAM TV wakarusha hewani Dunia nzima?
Angalau tuliwahi kuona picha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka Wanachama wa CCM kuwa licha ya kujiamini hawatakiwi kubweteka na wasiingiwe na...
Nchi imeingia kwenye siasa mbaya naweza kuziita za ki "mbumbumbu" sana tangu kupata uhuru yani siasa za maigizo na vituko badala ya siasa za hoja na maono na mipango mbalimbali ya kimaendeleo...
👉Kwa Nia njema Nina Machache kuhusu maadhimisho ya kuzaliwa kwa Chama changu Cha Mapinduzi (CCM), niseme tu kwamba CCM inahitaji kufanya 'Reform' yaani Mageuzi au Mabadiliko ili kutengeneza ari...
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Hasham amesema kuwa kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita, hata kama hatapata tiketi ya ubunge, atahakikisha Rais Samia Suluhu Hassan...
Timu ya Wataalam ya kampeni ya msaada wa kisheria wa mama Samia Legal Aid (MSLAC) ikiongozwa na Salome Mwakalonge ambaye ni Mratibu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria imeendelea kutoa elimu ya...
Hellow Tanganyika,
USAID inadaiwa kufutwa, makampuni Toka nje yanafunga ofisi, misaada ya madawa inaondoshwa nk nk
Nawauuliza swali dogo tu, maana muda Bado upo na uchaguzi haujatangazwa Bado...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa masikitiko makubwa na uchungu mkubwa taarifa zinadai kuwa tumepoteza mashujaa wetu wawili wa JWTZ waliokuwa wakilinda amani Nchini Congo.
Vifo hivyo vimetokea...
"TRUMP ASITISHA MISAADA YA NJE KWA SIKU TISINI,
WHO YAAHA KUTAFUTA NJIA YAKUJIKWAMUA KWA KITISHO CHA TRUMP
" Anaekulisha anakutawala anae kuvisha anataka umnyenyekee alisema Castro badae Sankara...
Wakuu
Hivi CCM hamnaga mfumo wa vetting kudhibiti nani ataongelea chama chenu?
Hizi kauli mnataka wanaume wazichukuliaje? Na huyu anayejiita Queen ni nani ndani ya chama chenu mpaka awatolee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.