Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Huyu Mzee naona anakoelekea siko kabisa, ni mwendelezo wa kujikomba. Akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 48 ya CCM ametoa kauli hiyo.
2 Reactions
2 Replies
183 Views
Tukiwa tunaelekea kuufunga mwaka 2023, na CCM kikiwa kimeshika madaraka kwa miaka 46 mfululizo toka kilipozaliwa mwaka 1977 Je! Kwa tathimini ya haraka, chama hiki tunaweza kukifananisha na sehemu...
1 Reactions
28 Replies
763 Views
Dark days are coming before the general election 2025. Wanaocheka watalia 2025 Wanaolia watacheka 2025 Mwaka mbaya Sana kwa mafisadi Mwaka mgumu Sana kwa machawa. Mungu ibariki Tanzania !!
42 Reactions
71 Replies
4K Views
Timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu ili kuhakikisha waliofanya mauaji ya Ali Kibao Kada wa...
8 Reactions
137 Replies
8K Views
Asilimia kubwa sana ya Watu wana MAISHA MAGUMU Asilimia kubwa ya vijana hawana AJIRA Lazima CCM watashindwa au kuwa wa mwisho au kushika Mkia Je, CCM watapata kura wapi wakati asilimia kubwa ya...
2 Reactions
43 Replies
722 Views
Wakuu nimeona Msanii Stan Bakora akiwa na mwijaku wanaigiza kama wamepatwa na kichaa huku wanagalagala chini, lengo likiwa ni kusheherekea miaka 48 ya CCM. Soma pia: Pre GE2025 - Wasanii...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Haki ya kupiga kura ni mojawapo ya haki za msingi za kiraia inayowapa raia uwezo wa kushiriki katika mchakato wa kidemokrasia kwa kuchagua viongozi wao na kushiriki katika maamuzi ya serikali...
1 Reactions
2 Replies
262 Views
Wakuu Katibu wa CCM Wilaya ya Rufiji Prudence Sempa amesema atalifanyia kazi Ombi la Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji la kuwataka kumpitisha Mbunge Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee wa...
5 Reactions
67 Replies
2K Views
Wakuu nimeona Hawa Gasia - Mjumbe wa Kamati ya UtekelezajI UWT akieleza kuwa baada ya Rais Samia aje tena Rais mwanamke. Kupata taarifa na matukio kuelekea uchaguzi mkuu 2025 kwa kila mkoa ingia...
3 Reactions
32 Replies
803 Views
Wanabodi Hii ni opinion article Mikoa haifanani, na uwezo wa ma RC haulingani!. Kuna mikoa migumu na mikoa milaini milaini. Mikoa migumu ni ile mikoa yenye majiji, DSM, Dodoma, Arusha, Mwanza...
13 Reactions
71 Replies
2K Views
Leo Februari 5, Chama Cha Mapinduzi kimetimiza miaka 48 tangu kianzishwe. Chama hicho kinaadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwake mkoani Dodoma ambako Mwenyekiti wake wa Taifa, Rais Samia Suluhu...
2 Reactions
1 Replies
195 Views
Katika mishahara ya watumishi wa umma, kuna makato ya lazima ambayo ni PAYE, Bima ya Afya, Makato ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii na makato mengine ya kujiunga kwa hiari kama ya vyama vya...
13 Reactions
50 Replies
7K Views
Tunakumbushana tu Maneno ya RC Chalamila akiwa Ibadan Kawe kwa Mtume Mwamposa Ni kweli siku aliyoombewa mbele ya waamuni Wote pale Iringa nilikuwepo, tena aliombewa yeye na Mtumbuliwa mwingine...
2 Reactions
6 Replies
354 Views
Wakuu Nani awe Mwamuzi wa mnyukano huu? Mzee Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, amemwita mezani Tundu Lissu kufanya mdahalo ili Watanzania waweze kutoa maoni yao na kufanya...
5 Reactions
50 Replies
2K Views
CCM vs CHADEMA. Picha ipi hasa imeelekea kuongoza nchi kwa amani. Utulivu? CCM wamekalia hasa kiongozi uongozi, picha inajieleza, pia hekima na busara uongozi wa CCM CHADEMA ya Lissu imeelekea...
0 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu, Hapa juzi juzi tuliona Tigo imebadilisha jina kuwa Yas na kukawa na tetesi kuwa wanakwepa kodi. Akijibu swali bungeni kuhusu makampuni yanayobadilisha majina ili kukwepa kodi Mwigulu...
1 Reactions
18 Replies
848 Views
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel. Yalikuwa ni majibizano kati ya PRE SCAN AUCTION MATT waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata...
29 Reactions
1K Replies
147K Views
Wakuu Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kikao chake cha saba, mkutano wa 18, leo Februari 5, 2025, litapokea taarifa, maoni na maazimio kutoka kwa Kamati ya Utawala, Katiba na...
0 Reactions
1 Replies
142 Views
Why am I saying so? 1. Hazikuwa kampeni, lilikuwa ni kusudio la kupinduana, siyo kuchaguana kujenga chetu. 2. Why hazikuwa kampeni? Wana ndugu hawa kama tulivyokuwa tunawaona/tunawajua tulio...
24 Reactions
100 Replies
3K Views
Kiukweli CHADEMA hii imenikumbusha ile CHADEMA ya akina Mzee Shanga 1993 Sema Hawa ni Vijana Watupu very strong Nawatakia Kila la Kheri safari ni Hatua Mlale Unono 😀
2 Reactions
8 Replies
471 Views
Back
Top Bottom