Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Ni jambo la Aibu Kwa Kiongozi Mkubwa wa namna hii hapa Nchini na Duniani. Nashangaa likawa ni suala lilowachekesha makutano walocheka na kupiga makofi wengine kutaka kuangukia chini Kwa kucheka...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Sifa kubwa za mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu, kwa mfumo wa nchi yetu mambo mengi ya nchi yanaamuliwa na kuendeshwa na serikali kuu badala ya kuwa na uchaguzi wa wabunge na bunge ambalo...
1 Reactions
3 Replies
147 Views
Chadema ilitakiwa kufanya uchaguzi wa chama mwaka 2022 kama sehemu ya mkakati wa kujiandaa kwa chaguzi muhimu zinazokuja. Uchaguzi huu ungekuwa na umuhimu mkubwa kwa sababu ungewapa nafasi...
1 Reactions
3 Replies
225 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuna watu nje ya Tanzania wenye vibaraka ndani ya Tanzania ambao wamekuwa wakieleza kuwa CCM imekaa sana...
1 Reactions
6 Replies
401 Views
Joseph Mbilinyi wanakuita Sugu umetajwa mara nyingi sana mwenyekiti wako wa chama Tundu Lissu kuwa umepata uongozi wa kanda kwa kutumia rushwa. Lissu amesema mara nyingi ulitumia pesa kutoka kwa...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Tulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu. Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema. -- Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema gharama za ujenzi wa Uwanja wa...
41 Reactions
376 Replies
19K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kuwa CCM imefanya juhudi kubwa katika kuleta mabadiliko katika sekta ya elimu kwa wanawake wa Tanzania. Akizungumza wakati...
0 Reactions
1 Replies
162 Views
wapambe wa Mama sasa ni kumsherehesha na kumsifia tu. Mambo muhimu hawajali. Waziri anapata shida kwenda kuongea na Mama sera za elimu lakini kila siku ni Mama ni kushsreheshwa au kusifiwa tu...
2 Reactions
5 Replies
220 Views
Wakuu, Masoud Kipanya huwa anaongea kwa lugha ya picha na kuachia hadhira kutafsiri kutokana na uelewa wa kila mmoja. Je, hii picha yenye viboksi vitatu, ikiwa na rangi za CHADEMA lakini pia...
0 Reactions
11 Replies
924 Views
MKATABA MWINGINE BANDARINI NA MISRI WAZUA TAHARUKI YA CHINI KWA CHINI! Ndugu Watanzania! Tumepata taarifa kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Chuo cha Arab Academy for Science...
3 Reactions
18 Replies
945 Views
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 unatoa fursa muhimu kwa vijana kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kuamua mustakabali wa taifa. Vijana, ambao wanaunda zaidi ya...
0 Reactions
9 Replies
476 Views
Huu hapa ndio Ujumbe wa Rais wa Tanzania baada ya kushtushwa mno na kitendo hicho Tungali tunasubiri vyombo vyetu Shupavu kutuletea Majibu na labda Majina ya Watekaji wake. Tunamuomba...
3 Reactions
24 Replies
488 Views
Wakuu, Misaada na michango imeendelea kububujika kutoka kwa viongozi wa CCM Hii michango kwanini hatukuiona miaka mitatu nyuma? ================================= Katika kusherehekea miaka 48...
0 Reactions
1 Replies
150 Views
ORODHA YA ASASI ZA KIRAIA ZILIZOPATA KIBALI CHA KUTOA ELIMU YA MPIGA KURA WAKATI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA 2024/2025 JINA LA ASASI YA KIRAIA 1. The Tunu Pinda Foundation...
1 Reactions
6 Replies
459 Views
Baada ya CUF kusambaratika wako wanachama waliofatia Maalim Seif, (MwenyeziMungu amsamehe makosa yake) na kundi jengine lilikwenda kwa Mzee Lipumba. Kundi la tatu ambao pengine ni wachache ni...
2 Reactions
117 Replies
3K Views
Wakuu, Hawa Ghasia kimemkuta nini? Mbona alikuwa ni mtu safi tu kipindi ni Mbunge wa Mtwara vijijini? CCM angalieni sana watu wa kusemea chama chenu. Nimewaza sana mwanaume angeinuka na kusema...
0 Reactions
11 Replies
353 Views
Wakuu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Vigwaza kimeadhimisha miaka 48 ya kuzaliwa kwake, huku kikitoa wito wa kuepuka ubaguzi katika mchakato wa uchaguzi mkuu. Mwenyekiti wa chama hicho...
0 Reactions
1 Replies
140 Views
Rais wetu Dokta Samia Suluhu Hassan, inadaiwa anataka kuchanganya damu changa sababu kazungukwa na wazee wakina Wasira na Mizrengo Pinda. Jumaa Aweso ameonekana ni Mchapakazi, sio mla Rushwa...
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar, Mbeto Hamis amesema zoezi la uandikishaji wa wapiga kura katika Wilaya ya Micheweni, Zanzibar linalomalizika leo...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Wakuu, Yaani kila mtu anapigana kuwa chawa😂😂, tutafika Oktoba 25 tukiwa tumechoka sana. ==== Viongozi wa dini wamesema wanatarajia kufanya maombi maalum ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan...
4 Reactions
49 Replies
1K Views
Back
Top Bottom