Wanabodi,
Hii ni Mwananchi ya leo
Naendelea na zile makala zangu za KMT, (Kwa Maslahi ya Taifa) za uelimishaji umma kuhusu katiba, sheria na haki, leo nikiendelea na ile mada ya wiki iliyopita...
Serikali imeanza kujenga shule ya Sekondari Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe ili kupunguza adha ya watoto kusafiri umbali wa takribani Km 15 Hadi Manda Sekondari na Km 30 Hadi Mchuchuma kupata...
Kwa KWELI CCM imekuwa ikitutia aibu kila uchao mbele ya wageni kutoka nje ya taifa letu na wahisani wetu.
NI aibu sana kwa nchi fukara kama hii, chama tawala kwenda kununua mabasi ya kifahari kwa...
Wanacha wa tlp wachachama mikoani wamkalia mwenezi kooni
Pia soma > Msajili wa Vyama vya Siasa alalamikiwa kusimamia uchaguzi feki wa TLP
TAARIFA KWA UMMA
YAH: KUTOLEA UFAFANUZI WA UHALALI WA...
Kushiriki siasa ni haki ya kila mtu, bila kujali jinsia. Wanawake wana mchango mkubwa katika jamii, na ushiriki wao katika siasa huleta uwakilishi wa kina na maamuzi yanayojumuisha maslahi ya...
Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Dodoma amesema wamempa jina la "Marugu" Makamu mwneyekiti wa CCM bara Stephen Wasira likiwa na maana ya Jemedari ama mpambanaji wa vita, aidha amesema wanamshukuru...
Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti 5, 2023 amesema kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John...
Wakuu,
Jana kulikuwa na uzinduzi wa vitenge maalum kwa ajili ya siku ya wanawake.
Malalamiko yalijitokeza kuhusu vitenge hivyo kuwa na picha ya Rais ilhali tukio lilikuwa ni la kitaifa na sio la...
Wakuu niaje?
Nimekutana na clip ya Sheikh Kishki akisema kuwa Uchawa (kujipendekeza kwa watu ili update maslahi kumekatazwa katika Uislam).
Vipi kuhusu viongozi wetu wa dini ambao wamekuwa...
Na, Laudence Simkonda-Momba
Condester Michael Sichalwe, anayejulikana kama Mundy, ni mwanasiasa mchanga na mwenye nguvu akiwakilisha jimbo la Momba mkoani Songwe, kama Mbunge, amejipatia umaarufu...
Salamu wakuu,
Siku za karibuni kumekuwa na kundi kubwa la watu wanaopiga matarumbeta kunadi viongozi kwa munajili wa Jinsia. Watu hao wanasahau kabisa kwamba ubora wa kiongozi hautokani na Jinsia...
Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaenda kutimiza miaka 48 tangu kuanzishwa kwake vijana wameshauriwa kutumia kwa faida mitandao ya kijamii ili iwanufaishe kwenye shughuli zao na shughuli za...
Mtaala mpya,
Silabus mpya
No vitabu shuleni
No walimu semina
Wakuu wa shule hawaelewi
Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya...
Watanzania tunajua kuwa kwa mifumo ya kiuchaguzi iliyopo hakuwezi kuwa na uchaguzi huru na wa haki bali kuna kujiteuwa na kujipitisha.
Moja ya mifumo hiyo ni pamoja na huu utaratibu wa tume huru...
Wakuu
Hii Wasafi Media ibadilishwe tu ijulikane ni media ya CCM
Soma: Watangazaji Crown FM wageuza kauli ya "Mitano Tena" pambio kwenye kipindi, kweli wataweza kukemea uovu hawa?
Vyombo vya...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Rosemary Senyamule Amewaomba Wakazi wa Dodoma na Wananchi Wote Kwa Ujumla Kufika Mapema Katika Maadhimisho ya Kuzaliwa Kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Yatakayo Fanyika...
Huo ni mchezo maarufu sana unaojulikana kama Chess. Ni mchezo ambao ukizoea kuucheza sana, utaitengeneza akili yako kuwa mtu wa mikakati zaidi kwa wakati wote.
Kuna mafunzo mengi sana unaweza...
Hivi kwani ukiwa msanii ni lazima u support CCM wakuu? Jamaa kwenye mambo ya chama wapo mbele sana ila kwenye mijadala muhimu kuhusu taifa wapo kimya yani inshort ni kama roborts jamaa.
Mastaa wa...
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu anatarajia kuwasili kijijini kwao Ikungi Tarehe 15/02/2025.
Lengo la ziara hiyo haikusemwa, bali inafahamika kote duniani kwamba hakuna anayewekewa masharti ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.