Katika kusherehekea miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga na Mjumbe wa Kamati Kuu, Rajabu Abdulrahaman, ametembelea katika Shule ya Sekondari Mgwashi...
Ukifuatilia hata Law Bar Associations ya Rwanda tu utagundua huwezi wakuta wanaenda kulia lia kwa Kagame mara wapewe Gari mara Kagame awwpunguziwe Kodi, nenda Law Bar ya Uganda huwezi kuta huu...
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, anatarajia kupokea tuzo ya “The Gates Goalkeepers Award” ikiwa ni kielelezo cha matokeo makubwa ambayo yamepatikana katika uongozi...
Ndugu zangu Umofia kwenu,
Tanzania kama ilivyo nchi nyingi duniani ina wahamiaji wasio halali ( nachelea kusema harama kwa kuwa binadamu hawez kuwa haram)
Tofauti na nchi nyingine, pengine...
Wife juzi kanipigia simu kuniambia kuna watu wamekuja home hapa Nzega mjini, kata ya Nzega Mashariki, wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa leo ikabidi nimdodose yaani ni kina...
Uongozi wa Klabu ya Simba Pamoja na wachezaji wamehudhuria Mkutano wa 18 wa Bunge leo tarehe 4 Februari, 2025, jijini Dodoma ambapo wapo jijini humo wakiwa wameweka kambi ili kuikabili Fountain...
Heshima sana wanajamvi,
Kila mwanajamvi alijua msimamo wangu sina haja ya kuendeleza ligi uchaguzi umekwisha Lissu na Heche ni washindi.
Nawapongeza Lissu na Team yake ya kampeni kwa kazi kubwa...
Binafsi nadhani CHADEMA wajiandae kwa uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Kinachotakiwa ni wao kubadilika na kufanya kazi kubwa ya kubadilisha mindset za Watanzania.
Kuendelea kulalamika kwamba...
DK. Harrison Mwakyembe, Waziri
wa Katiba na Sheria, amesema
kuwa Tanzania ni bora iendelee
kutaambika na watanzania wafe
wakiwa masikini kuliko
kuendelea kunyanyaswa na
mataifa ya ulaya, Mwakyembe...
Na Prince M. Bagenda
DAVID Kafulila ni Mbunge wa Kigoma Kusini kwatiketi ya chama cha NCCR-Mageuzi, siku zote amekuwa akikuza na kutoa taarifa zisizo sahihi juu ya kusitishwa misaada ya...
Awali ya yote nimshukuru Mwenyezimgu kwa kutupa uhai tena na tena..
Kumekuwepo na ngonjera nyingi na awamu nyingi zikinadi kutengeneza hii barabara kwa kiwango cha lami
Wamekuwa wakiitumia Sera...
Sasa imethibitika kuwa Bodi ya MCC iliyokaa tarehe 16 Dec 2015 imehairisha rasmi kuidhinisha msaada wa Millenium Challenge uliokuwa umekusudiwa kwa Tanzania kwa mwaka wa fedha 2016.
Sababu kuu...
Mwaka 2004 USA goverment iligundua kwamba World Bank iko Corrupt sana na nitatoa mfano baadae wakaanzisha ili MCC. Tofauti yake ni kwamba pesa hazipiti mikononi mwa nchi husika na kiongozi wao ni...
Wakuu vibweka ni vingi sana huu mwaka,
Mbunge wa jimbo la Mbarali Bahati Ndingo amewataka wanawake wa UWT kusambaza habari na mambo anayoyafanya Rais Samia, wakiwa kwenye shughuli mbalimbali...
AGOA na MCC ni nyenzo mbili kuu zinazotumiwa na Marekani katika kuzisaidia nchi za Afrika kukabiliana na changamoto za ndani ya nchi ikiwa ni pamoja na masuala ya kiuchumi, kisiasa na hata...
Kwanza napenda kupongeza taarifa iliyotolewa leo baada ya majadiliano ya karibia miezi miwili na Barrick. Tumepata tulichopata na makubaliano mengine ambayo itabidi tusubiri kuona faida yake huko...
Wanabodi,
Kuna vitu fulani fulani vinchi masikini vinalazimishwa kufuata sera fulani fulani wanalazimishwa kuzifuata na nchi mabeberu.
Sasa vinchi hivi vinapowekewa masherti na mabeberu...
Israel ni taifa linalosifika ktk kila nyanja ktk uso wa dunia ni kwasabb imepitia misukosuko ya kivita kwa muda mrefu sana. Hii imepekea waisrael dhaifu kufariki na kubakia wale wenye nguvu ama...
MACHI 30, mwaka huu, gazeti moja la kila siku nchini liliripoti kuwa Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) la Marekani, limesitisha msaada wa zaidi ya dola milioni 700 kwa Tanzania, kiasi ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.