Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Andrew Kainja tarehe 03 Februari, 2025 ameongoza Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yaliyofanywa na Jumuia ya UWT...
Wakuu
Wabunge leo katika kikao chao cha sita katika mkutano wa 18, baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu, watapokea na kujadili Taarifa za Kamati ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii pamoja na Kamati...
Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaenda kutimiza miaka 48 tangu kuanzishwa kwake vijana wameshauriwa kutumia kwa faida mitandao ya kijamii ili iwanufaishe kwenye shughuli zao na shughuli za...
Dkt. Emmanuel John Nchimbi (24 December, 1971) alijiuzuru uwaziri wa mambo ya ndani Desemba 2013, ni sababu zipi zilipelekea kujiuzuru?
Dkt Nchimbi ni nani hasa?
Elimu yake ya Msingi aliianzia...
Wakuu,
1. MBUNGE WA BUKOMBE - Dotto Biteko
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Ubunge: Alichaguliwa kuwa Mbunge wa Bukombe mkoani Geita mwaka 2015 na alishinda kwa kura 71,640 dhidi ya 11,433 za...
Wananchi na wanachama wa CCM msipokuwa makini ,kuna hatari ya chama kutoka kuwa chama cha mapinduzi na kuwa chama cha familia na koo tu.
Hapa nazungumzia hasa katika ngazi ya juu ya kiutawala ya...
Noam Chomsky, mmoja wa wanafikra wakubwa wa zama zetu, ameandika sana kuhusu propaganda na jinsi serikali pamoja na vyombo vya habari vinavyotumia mbinu mbalimbali kuwadhibiti wananchi kwa kuwapa...
Sijui ni kina nani ambao hawakuwahi kuandika kuhusu utegemezi. Mimi si mmoja wao. Msimamo wangu kuhusu misaada ya kigeni haujaibuka sababu ya MCC kusitishwa kama baadhi ya watu wanataka tuamini...
Awali kulikuwa na taarifa za mateka wa Kitanzania kwa muda mrefu vikafanyika vikao vya dharura vya SADC ikawa bila bila.
Juzi rais wa Burundi anasema anapigana pia kusaidia ndugu zake wa Tanzania...
Wauza uduvi wote Dar wapewa tahadhari ya kujiongeza vinginevyo WATAOLEWA!
**Mwenye mahari anakaribishwa
https://youtu.be/LIjez6dA9jw?si=-v8WNpI7o76jClr2
Njaa ikizidi ndo kelele zinakuja nyingi. Wataalam wa Siasa za Tungekinya wanajua Hilo hivyo wao wanakunyamazisha kwa kukutupia buyu la asali uhangaike nalo. Nashauri Hata Mbowe ahamishiwe salio...
Vyombo mbalimbali vya habari viliripoti kuhusu kauli hii ya Raisi wa Rwanda Paul Kagame kuwa Kuwepo kwa Bandari ya Dar Tanzania ilipaswa kupaa kabisa kiuchumi hasa kutokana na kuzungukwa na nchi...
Katika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting?
Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia...
Mkataba Mwitongo ni mkataba ulio asisiwa enzi za Mkapa na ukiwa na lengo la kuhakikisha watoto wote wa watawala wanapewa kipaumbele au upendeleo katika kila nyanja, ikiwemo Siasa,uongozi au hata...
Leo nikiwa maeneo ya Dodoma Hotel nimemshuhudia Mwanasiasa Machachari Boniphace Jacob maarafu kama Boni Yai akiwa viunga vya maeneo ya Dodoma hotel
Bony aliongozana na washkaji wawili ambao...
Hawa Askari wetu wanafanya kazi kubwa na Ngumu mnoo, Mvua yao, Jua lao .
Watanzania wachache Kwa upuuzi na makusudi yao, huamua kwenda Kumpa Hela Askari , wakati fulan Askari anaipokea akijua ni...
Wakuu
Joto kuelekea Uchaguzi
==
Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi ameiomba serikali kumpa kibali ashirikiane na wananchi kukarabati miundombinu ya barabara katika jimbo la Mlimba ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.