Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Njia pekee ya Watanzania kuheshimiwa na Wawakilishi wetu ni kuhakikisha kwamba Kura zetu zinahesabiwa katika mazingira ya uwazi kwenye kila Kituo cha Kupigia Kura, na matokeo hayo yawe rasmi...
24 Reactions
179 Replies
2K Views
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Morogoro kimewataka wanachama wa chama hicho pamoja na watia nia katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu kuacha kujishughulisha na kampeni za...
0 Reactions
1 Replies
156 Views
Kabla ya kulalamika ni vigumu kumpata mtu fulani, je wewe watu wanakupata wanapokuwa wanakuhitaji kulingana na majukumu uliyopewa? Ukipigiwa simu unapokea? Ukitumiwa ujumbe WhatsApp unajibu...
5 Reactions
13 Replies
378 Views
Kuchagua na Kuchaguliwa Ni haki ya kikatiba ya CCM. Kuchagua na kuchaguliwa ni haki ya kiuraia ya kila Mtanzania mwenye utimamu wa akili, ambayo haiwezi kutungiwa sheria wala kanuni ili kuvizwa...
0 Reactions
1 Replies
195 Views
Mtakuja Kunishukuru sana !!. Kama Kuna video ambayo Sheikh Yahya anatabiri kuanzia Ujio wa Hayati Dkt JPM, Kisha Rais Dkt Samia, na kwamba Baadae Upinzani unachukua Nchi. Tumieni Kila kitu...
3 Reactions
21 Replies
651 Views
Kuna Wakati Dr Kigwangala alikuwa Waziri wa Maliasili na Utalii na Msaidizi wake yaani Katibu Mkuu alikuwa Prof Mkenda Kila siku walikuwa wanashtakiana Kwa shujaa Magufuli Baadaye Prof Mkenda...
2 Reactions
7 Replies
573 Views
Mwenendo wa makahakama za Tanzania kwa utoaji haki kwa masuala nyeti kama ya haki za kisiasa na kikatiba imekuwa ikiingiliwa sana. Majaji wa Tanzania na Mahakimu wengi ni wafungwa wa Executive...
5 Reactions
6 Replies
476 Views
Waziri wa Mazingira wa Kenya mh Duale amewataka Wakenya wanaolalamikia ukarabati wa Ikulu ya Nairobi waende Tanzania au Misri wakaone Wenzao walivyo na Ikulu za kisasa Duale amesema Magufuli...
4 Reactions
7 Replies
644 Views
Wahitimu wa Chuo kikuu Mzumbe kampasi ya Upanga Dar Es Salaam wapo katika wakati mgumu baada ya chuo hicho kushindwa kuwapa vyeti vyao vya kuhitimu bila maelezo yanayoeleweka. Hatua hiyo imekuja...
1 Reactions
2 Replies
362 Views
Ama kwa hiari (kupenda) au kwa lazima (shuruti) ni wakati muafaka sasa kwa majeshi ya Tanzania kuingia moja kwa moja uwanja wa vita (Full scale) huko DRC ili kurejesha amani na kuwafutilia mbali...
1 Reactions
18 Replies
641 Views
Kuna dhana kwamba Chadema wakipewa Uongozi wa Nchi na wananchi hawataweza kuongoza Mimi Nadhani Chama chochote cha siasa hata kile TLP au CHAUMMA vina uwezo wa kuunda serikali muhimu ni Ilani tu...
0 Reactions
6 Replies
238 Views
Mbunge wa Nzega vijijini Dr Kigwangala anasema Wabunge waliopata kuwa Mawaziri wanapata wakati mgumu wanaotaka kuikosoa Serikali Kwa Sababu wao ni Mawaziri Wastaafu Kigwangala amesema ni Nishai...
2 Reactions
6 Replies
447 Views
Watu wanne mkoani Rukwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kumuua kwa kumkata kwa panga ndugu yao Mashaka Sichone, mkazi wa kijiji cha Kalepula, wilaya ya Kalambo ambaye alikuwa Katibu...
3 Reactions
18 Replies
857 Views
Wakati vyama vingine vya kisiasa viko usingizini na vingine vikibabaika na mjadala wa kuunganisha nguvu ama laa, Chama Cha Mapinduzi CCM tayari kimeshakamilisha maandalizi muhimu ya ndani kuhusu...
1 Reactions
13 Replies
305 Views
Wakuu, Tulia anasema hana presha yoyote kwenye Uchaguzi Mkuu 2025. Katika Mahojiano Maalum aliyofanya na ManaraTv Dkt.Tulia ameeleza kuwa hakutakuwa na ugumu wowote kutokana na mambo yaliyokuwa...
0 Reactions
6 Replies
360 Views
Wanajeshi wa TZ na SA wamekufa Congo sasa ni ama sisi ama PK na tunajua anafadhili M23. Hilo lipo wazi. Sasa inafaa anyoooshwe bila huruma kwa kupigwa ardhini, Rwandair na kumrudisha Balozi na...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Serikali nyingi za Afrika, ikiwemo Tanzania, zimekuwa vibaraka wa mataifa ya nje, hali ambayo inachangia kung’ang’ania madaraka, chaguzi zisizo huru, na ulinzi wa kimataifa kwa tawala za...
0 Reactions
4 Replies
237 Views
Mbunge wa Vijana, Mhe. Amina Ali Mzee amewaomba vijana wa Tanzania kujitokeza kwa wingi tarehe 04/02/2025 katika CCM @48 Marathon & Bash iliyoandaliwa na UVCCM kwa ajili ya kuchangia Damu 🩸 kwa...
0 Reactions
2 Replies
141 Views
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi—ardhi yenye rutuba, madini, gesi, wanyamapori, na rasilimali watu. Licha ya baraka hizi, bado inakabiliwa na umasikini na ukosefu wa maendeleo ya kweli...
3 Reactions
11 Replies
323 Views
Mod Tafadhali usiunganishe thread hii. Najua iko inayoripoti kifo, iko ya maswali. Hii inahusu majibu na revelations zilizoingia kwenye dish langu. =========== -Kamanda Barlow alikuwa na...
95 Reactions
483 Replies
64K Views
Back
Top Bottom