Hii sasa ni balaa, speed inatisha.
Leo ni siku ya tatu nimeona video clips tatu za wasanii Mbali mbali wanaoigiza Sauti ya Adv Tundu Lissu.
Kinachofurahisha zaidi ni wasanii hawa kuigiza maneno...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Lupembe mkoani Njombe ambaye kwa sasa ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Njombe Jolam Hongoli amewataka Watanzania kuacha kufikiria kuwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa Tanzania haitakubali kulazimishwa kuiga tamaduni za mataifa ya Magharibi, ikiwemo ndoa za jinsia moja, na...
WAZIRI KOMBO AWASILI UAE KUSHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHUSIANO KATI YA TANZANIA NA UAE
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo...
Kipenga kimepulizwa, wito umetolewa.
Shime kila mtanzania anayechukia wizi, ufisadi, uuzwaji wa rasilimali za umma kwa wageni, utawala usiozingatia haki na heshima anaombwa kwa unyenyekevu...
JUMUIYA YA UMOJA WA MABAHARIA TANZANIA YAMPONGEZA WAZIRI KOMBO KWA KAZI NZURI YA KUHUDUMIA MABAHARIA WA TANZANIA NJE YA NCHI
Jumuiya ya Umoja wa Mabaharia Tanzania imempongeza Waziri wa Mambo ya...
Uamuzi uliotarajiwa kutolewa leo Januari 31, 2025 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye shtaka linalomkabili Dkt. Wilbrod Slaa ikiwa ni baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kuagiza shauri la Dkt...
DC KILAKALA: UKUSANYAJI WA MAPATO KUSAIDIA MOROGORO KUWA JIJI
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Musa Kilakala amesema kuwa Manispaa ya Morogoro haiwezi kufanikiwa kuwa jiji pasipo na mipango thabiti ya...
Kupunguza umasikini wa hali ya juu . Tanzania pamoja na South Africa tuombe kwa congo kuwa watawala rasmi wa sehemu hii ya mashariki mwa congo kwasababu congo peke yake wameshidwa. Tanzania tuna...
Wakuu Mchungaji Mtikila aliwahi kuzungumza jambo zito sana miaka 12 nyuma leo Athari yake tunaiona ndani ya Ardhi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa hakika yajayo yanafikirisha sana...
Naona kimya kimekuwa kikubwa?
Baada ya kumgaraza Mbowe ktk media wakati wa kampeni hivi sasa amekuwa mnyonge sana.
Na hata juzi wakati wa mapokezi ya Lissu alionekana mtu ambae asie na furaha...
Kiongozi yeyote ambaye sio humble, anayejitengenezea ufalme, asiyejishusha kwa watendaji wake wakuu katika serikali yake, hafai hata kidogo! Atajikweza na kujiweka mbali na wananchi wake, Kamwe...
Sifa kuu ya JWTZ Duniani ni kua hajawahi kushindwa , tulimshinda Idi Amini, Tulirejesha Amani Comoro, Tuliwafurusha M23 miaka Kadhaa nyuma , Tumeilinda Burudi dhidi ya mapinduzi ya Kagame, Kusini...
Serekali kupitia afisi ya waziri mkuu imetoa Tangazo la vijana miaka 18- 35 kujiunga vyuo vya ufundi katika mikoa na wilaya zilizo karibu na wao huku Serekali ikigharimia mafunzo hayo 100%...
"Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu...
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Afya kukufua mazungumzo ili kuhakikisha kituo cha umahiri na ubobezi wa kimatibabu 'Apollo Hospital' kinajenga jijini Dar es Salaam na kukamilika...
Tuangalie safu ya vyama vyote
Mwenyekiti wa ccm- amiri jeshi mkuu, Rais wa Tanzania.
Mwenyekiti wa chadema- alikuwa mbunge, mwanasheria wa kujitegemea
Makamo mwenyekiti wa ccm- waziri wa miaka...
CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anaweza kuwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana.
Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Wakuu,
Ni wazi kuwa kwa sasa huyu CHADEMA imeanza kazi rasmi ya kuwapopoa CCM na hii ni baada ya Mahinyila leo kumuwashia moto Wassira
==========================
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.