Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

PROPAGANDA ZA KUKUZA UWEZO WA RWANDA KIJESHI ZINAHATARISHA USALAMA WA NCHI YETU HAPO BAADAYE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna tabia ambayo imekomaa miongoni mwa watu ya kuisifia...
34 Reactions
134 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya kuzaliwa...
2 Reactions
60 Replies
1K Views
Siungi mkono mtoto mdogo kama huyu kuingizwa kwenye harakati za siasa. Tunaandaa taifa gani? Huyu aachwe kwanza acheze na wenzake na kufurahia ladha nzuri ya uji...
2 Reactions
3 Replies
176 Views
Kama sikosei, Dk Nchimbi na Nape haziivi tokea enzi zile walipokuwa UVCCM. Dalili zi wazi, Dk Nchimbi anaelekea kuwa mtu mkubwa sana ndani ya Nchi hii huko mbele. Kwa muktadha wa mahusiano yao...
2 Reactions
4 Replies
562 Views
Sote tunazikumbuka tetesi na minong'ono iliyokuwa imezagaa mara tu baada ya kifo cha Magufuli. Tetesi zilidai kundi la watu watiifu kwa Magufuli hawakutaka mama akikalie kiti hicho. Walifanya kila...
22 Reactions
101 Replies
7K Views
Wakuu, Ndio kusema kwamba hizi ni kampeni za kwenye Uchaguzi? Walimu kama mnaamini haya mambo ya CCM ya kila mwaka mjitafakari sana ============================================== Akizungumza...
2 Reactions
18 Replies
568 Views
Januari 13 na 16, 2025, mabaraza ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya vijana (Bavicha), wazee (Bazecha) na wanawake (Bawacha) yanafanya uchaguzi wa kupata viongozi wake, huku makundi...
7 Reactions
83 Replies
10K Views
https://www.youtube.com/live/ZcC1DjuaCGA?si=v690LB1yPXEmkK6v ======= Kuelekea maadhimisho ya miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi CCM, katika kata ya bunju halmashauri ya manispaa ya Kinondoni Jijini...
2 Reactions
21 Replies
654 Views
Mkuu wa Mkoa wako uliko sasa je anafaa kuendelea kushika wadhifa huo kuwahudumia wananchi? mimi Mkuu wangu wa Mkoa Chalamila naona ni vema akae pembeni sijui wewe huko uliko mkuu wako wa mkoa...
0 Reactions
7 Replies
213 Views
Lengi la kauli kama hii ni kumlenga nani? Kuna wanasiasa hapa Tanzaniq familia zako ziko nje ya nchi. Naomba kujuzwa ====================== Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Songwe, Fatma Hussein...
0 Reactions
1 Replies
139 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewasihi viongozi wa vyama vya siasa kutoingilia utekelezaji wa majukumu ya watendaji wa vituo wakati wa uandikishaji wa wapiga kura. Angalizo hilo limetolewa...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Kwa malezi niliyoyapata toka kwa wazazi wangu na makuzi mengine katika maisha, huwa Sina kawaida ya kudharau mtu. Na naomba chapisho langu lisionekane kuwa personal na Mzee wassira bali litazamwe...
5 Reactions
10 Replies
540 Views
CHADEMA ni chama ambacho tayari kimepita hatua ya kufa au kufifia kisa Kuna Mwanachama au wanachama kadhaa wameihama kwenye hili nadhani tunakubaliana wote. Kuna kila dalili CHADEMA ikatwaa Dola...
4 Reactions
19 Replies
656 Views
Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Beda Nyaki amehitaji kupata muda wa masaa mawili kuweza kutafakari kama ataendelea na kusoma uamuzi aliotakiwa kuusoma tarehe 23 Januari 2025...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Mchango huo umefanyika katika hafla maalum iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya Wilaya ya Chato inayoundwa na viongozi wa dini mbalimbali kwa ajili ya kuliombea taifa dhidi ya ugonjwa wa...
4 Reactions
66 Replies
1K Views
Wanachama wa chama cha Tanzania Labour Part {TLP} wamemtaka msajili wa vyama vya siasa kuacha kushirikiana na katibu mkuu wa chama hicho Limo kukiingiza chama katika mgogoro na wanachama wake...
1 Reactions
2 Replies
217 Views
Ikiwa ruzuku ya ununuzi wa ARV itakata basi fursa yaja kwa wajasiriamali kutembea na beat na kuanza kulangua ARV za kupima
2 Reactions
11 Replies
512 Views
Mwamba kapotelea wapi? Madaraka haya aisee kama nguo ya kuazima
4 Reactions
11 Replies
510 Views
Huko kote kuanzia Uganda, Rwanda, Congo, Rhodesia hadi South Africa sisi Tanzania ndio baba lao Kagame na Museven wanaelewa vizuri Sana hivyo ni vema waachane na mambo ya M23 Jumapili Njema
0 Reactions
8 Replies
330 Views
Back
Top Bottom