Utangulizi
Katika kipindi hiki cha kisiasa, ni muhimu sana kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa makini na maamuzi yake, hasa katika kumchagua Nchimbi kuwa Makamu wa Rais kuelekea mwaka 2030...
Ujasiri ni Kitu kilichoumbwa ndani ya mtu mmoja mmoja Lakini Watu hao wakitambuana na kuunda kikundi ndio huwa kama Chama Cha siasa.
Kwa Sasa pale Chadema naona wale Wanachama Jasiri wote wako...
1995 alihama CHAMA chake cha ccm baada ya kushindwa kwenye kura za maoni dhidi ya warioba na kuhamia NCCR MAGEUZI.
Lakini pia akafanya figisu huko ikaonekana akishinda ubunge kwa njia Rushwa...
Katika Dunia hii ya akina Howard Lutnick kiukweli Tanzania tunahitaji Waziri wa Biashara ambaye ni very smart
Rostam Aziz anastahili jukumu hilo
Ahsanteni sana 😄
Nchi zingine zote za Afrika Mashariki zimesharuhusu. Imesalia Tanzania peke yake.
Kwa nini imeamua kujitofautisha? Labda ina akili kuliko nchi zingine zote zilizoruhusu au kinyume chake?
Ya...
Eh kumbe kuna wanasiasa wanaifanya Tanzania kama geto? Hawa si wa vyama vya upinzani kweli?
Mh namuona kama Lissu, Lema na wengineo linawahusu sana
===============
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa...
Wanakumbi.
Endeleeni tu kuwa msimamo wenu ni "No reform No election" yaani tafsiri yake iko wazi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi!.. Sasa mbona mnabadili gia angani tena? Imekuwaje...
Kivumbi tu! Kutoka kwa Mpina, anaendelea kutapika nyongo haswa
Ila huyu jamaa ni tofauti sana na wanaCCM wengine yani aogopi kupiga panapo stahili
================
Mbunge wa Jimbo la Kisesa...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, inatarajia kuandikisha wapigakura wapya 5,586,433 sawa na asilimia 18.7 ya wapigakura...
Chama cha ACT Wazalendo inaitaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa taarifa rasmi kuhusu hali ya usalama ya wanajeshi wetu walioko katika operesheni za kulinda amani nchini Jamhuri...
Mwaka huu iwe mwisho wa upinzani uchwara Tanzania kuingia kwenye uchaguzi kama hisani ! Wagombea ATI hawajui kujaza fomu ! Au Kuna mahali mtu anapita bila kupingwa ,au tunasikia mpinzani...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema anaamini uchaguzi mkuu utakuwa huru ambapo mwenye haki ya kushinda atatangazwa mshindi.
Soma Pia: Amos...
MADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA
DAR: Wakili Peter Madeleka akizungumzia kitendo cha Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa kukwama kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Naona jamaa yupo tu mstari wa mbele huko ziarani alipo Mh. Rais.
Jamaa yupo bize na kalamu na karatasi anaandika tu kama Gerson Msigwa.
Kitaalam imekaaje wakuu?
Anaandika Ngurumo kwenye X.
Nimepigiwa simu na BAWACHA waliomtembelea Mwenyekiti Tundu Lissu jana. Ujumbe: "Tulienda kwa upendo, lakini tumeondoka na hisia za visasi.
Uongozi mpya haumtaki...
Machawa ni watu wanaojipendekeza kwa wenye mamlaka kwa lengo la kupata manufaa binafsi kwa kuwapongeza na kuwafurahisha kupita kiasi, mara nyingi kwa gharama ya ukweli na uadilifu.
Wanaishi kwa...
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini...
Naona sasa wamendelea kutia nguvu katika harakati zao za kampeni mpaka mashuleni sasa si ndiyo?
==================
Tabia za wazazi Wengi kushindwa kuwalea watoto katika malezi yenye maadili mema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.