Sasa hivi tutawaona sana vijiweni, kwa mama ntilie, kwenye bodaboda, kwenye michezo hasa ligi za kisiasa( diwani / mbunge cup) nk
PIA SOMA
- LIVE - Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Vibweka na...
Wanabodi,
Hii ni barua ya wazi ya mtu akimuandikia Dada yake.
Japo Dada yake huyo ni mtu mzima, ameolewa na ana watoto, hivyo kwa watoto wake wanamwita Mama na ana wajukuu ambao wanamwita Bibi...
Katibu wa vijana na uhamasishaji wa Taasisi ya Samia for Us, Gerald Mandago amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne amejenga shule nyingi...
MHE. JULIANA DANIEL SHONZA (MB) NA MIAKA 46 YA CCM MKOA WA SONGWE
"Katika kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 46 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) nimekabidhi bando tatu za bati zenye thamani ya Milion...
Hiki Chama sasa kimebeba taswira ya nchi halisi ya waTZ,wale waliokua mashabiki wa mtu/watu kwa sasa wajue mtu hadumu ila systems/chama nzuri ikijengwa hudumu miaka na miaka.
Ni bora watu...
LISSU na watu wake wanataka kuleta Vita .
Mabeberu wanawatumia Akina LISSU kuleta Ushoga( anasahau kua CCM haijawah kupinga ushoga hadharani )
Tukiwapa Urais Amani itapotea.
Amani ya Nchi hii...
Jasusi Yeriko Nyerere amesema kuelekea kufunga mwaka pamekuwepo na Ajali nyingi Sana za Ndege hivyo Makampuni yanayounda Ndege yaangalie kama Kuna itilafu yoyote kwenye Ndege zao
Aidha Yeriko...
Kabla ya kuingia kwenye mapambano makali ya kudai maboresho ya Katiba na Sheria bora za Uchaguzi, nadhani CHADEMA wangefanya yafuatayo kwanza:-
1. Iandaliwe orodha ya maboresho muhimu ya Katiba...
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema.
Watanzania wengi matumaini yao yapo kwa chadema chini ya mh Tundu Lisu, nasikia mmejifungia chumbani mlete ajenda nzito nzito kweli kweli zidi ya...
sitaki sana kusema mengi kwako samia, kwa sababu najua pia kama ccm ingeamua kupiga kura kuchagua mgombea urais, ungeshindwa.
ila waliamua kuivunja katiba ili kukufanya kuwa mgombea pekee.
sasa...
Matusi ya Donald Trump Rais wa Marekani kwa wananchi na viongozi wa Dunia ya Tatu, hasa Afrika, yamekaa mahali pake.
Wenye akili tunaambiwa kwa sauti kubwa: OMBA OMBA YENU TUMEICHOKA!
Hapo ndio...
Ndugu wanahabari!
Karibuni sana kwenye tukio letu hili ambapo leo CUF- Chama Cha Wananchi kinaongea na Umma wa Watanzania, hususan Wazanzibar kupitia vyombo vya habari.Tunaanza kwa kumshukuru...
1. LUHAGA MPINA - huyu hata ashinde kura za maoni, ATAENGULIWA
2. NDUNGAI - Mzee hatoboi kura za maoni, ishu inamalizika chini kwa chini
3. GAMBO - apambane sana
Soma Pia: Ushindani utakuwa ni...
Hivi viongozi wetu wamesoma hii document ya Azimio la Arusha?
Pesa tunaitaka, lakini tusifikiri yenyewe ndiyo italeta maendeleo ya nchi. Mikopo inaturudisha nyuma inafanya tuishi maisha magumu...
Rais Samia, ameonya juu ya ongezeko la idadi ya watu lisiloendana na kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi.
Akizungumza leo, Februari 1, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014...
"Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu...
Wakuu, wasomi wanaomsifia mama naona wameumia bhana kuitwa chawa wanasema wao wana akili zao timamu na hawafanyi kwa mihemko.
Katibu wa vijana na uhamasishaji wa taasisi ya Samia for Us, Gerald...
1. Utaratibu wa kutoa taarifa kwa Jambo linalohusu wananchi NI Jambo muhimu katika utawala Bora. USAID kajitoa kufadhili Miradi ya UKIMWI/TB na malaria. Watu wetu wataishije? Nini mpango wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.