Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Anayebisha aende hapo Zanzibar nauli ni ndogo tu kwenda na kurudi. Unakwenda asubuhi mchana unafanya tafiti zako jioni unarudi Huduma zote za afya hasa zile za msingi au zile za umuhimu zaidi...
4 Reactions
21 Replies
532 Views
UWT ITILIMA: JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE WILAYA YA ITILIMA (UWT); MAADHIMISHO YA MIAKA 48 YA KUZALIWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) Tarehe: 31 Januari 2025 Katika kuadhimisha miaka 48 tangu...
0 Reactions
1 Replies
131 Views
Sasa hivi nchi nyingi maskini hasa za kiafrika ziko katika kulia na kulalamikia hatua ya Marekani kuondoa ruzuku na misaada mbalimbali inayogharamiwa na tax payers wa Marekani. Ninajiuliza hivi...
1 Reactions
2 Replies
101 Views
Kumeibuka kundi la Watanzania ambao wanakerwa sana na Watanzania wenzao wanaomkubali Kagame. Hili kundi lililojivisha kilemba cha uzalendo wanawachukulia Watanzania wenzao wasiomchukia Kagame kama...
8 Reactions
41 Replies
1K Views
Halo JF siasa. Niende madani hapo juu. Ktk kipindi cha mwaka 2013 hadi 2015 kulikuwa na mgogoro wa kibinafsi na baadae kiinchi kati ya wababe Rais Kikwete na kagame wa Rwanda. Kiini cha mgogoro...
42 Reactions
466 Replies
74K Views
Waungwana kaka yenu nakaribia kurudi nyumbani baada ya kuishi hapa DRC kwa Takriban miaka 2. Katika kipindi chote nilichokaa hapa nimejifunza mengi sana ila leo nitazungumzia kuhusu hawa...
15 Reactions
211 Replies
57K Views
Sisi kama watanzania tunataka uwazi na haki itendeke wakati wote wa kupiga kura, kutangaza matokeo, na kutangaza mshindi wa uchaguzi wa diwani, mbunge na rais kwa uchunguzi wa 2025. Japo mifumo...
2 Reactions
8 Replies
333 Views
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Mufindi umeiomba Jamii kuwa na mioyo ya upendo na huruma kwa waishio katika mazingira magumu kwenye maeneo wanayoishi. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti...
0 Reactions
0 Replies
100 Views
Huwa kuna kauli zinasemwa au zinaandikwa kwamba "...arudi kwao Rwanda au Burundi", "huyo atakuwa Mtusi", "Watanzania hatuko hivyo" n.k Kwa nini inadhaniwa watu wa Rwanda na Burundi kuwa wana...
0 Reactions
7 Replies
421 Views
Nakumbuka pale Nzega Dr Kigwangalla alipitishwa Kwa kigezo cha kuwa na mvuto zaidi kuliko Lucas Selelii aliyeshinda Wakati Ule Katibu mkuu alikuwa Mzee Makamba Sidhani kama kigezo cha MVUTO...
1 Reactions
7 Replies
305 Views
Ndugu zanguni hasa Watanzania, Mimi ni mtanzania ninafanya biashara zangu huku DRC Goma kwa muda mrefu. Ninaishi hapa GOMA na nimekuwa nikisafiri kwenda sehemu mbalimbali ndani ya DRC. Nimekuwa...
42 Reactions
1K Replies
163K Views
Hii sasa ni 20/1/2025 siku moja kuelekea uchaguzi mkuu. Kwamba mwamba angali kakomaa, hasikii wala haoni miito yote iliyotolewa. Kwamba imekuwa ni kumpigia mbuzi gitaa. Kwamba alipo ni heri...
3 Reactions
30 Replies
736 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema usafi uliopangwa kufanyika hautaathiri maandamano yaliyopangwa kufanywa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Januari 24 iwapo...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Hii ni mifano halisi kwa malipo ya serikali bila risiti: 1. Huduma za afya hospitali ya wilaya Sengerema. 2. Kupita juu ya daraja la Busisi ili kuepuka adha ya ferry hasa nyakati za usiku...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Huyu kiongozi mkuu mstaafu wa ACT wazalendo mzaliwa wa kigoma, Mwami Zitto Kabwe ukifuatilia tweets zake zote ni anasapoti kile wanachokifanya Rwanda kupitia M23 nchini Congo. Anajaribu kuleta...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari. Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi...
12 Reactions
204 Replies
20K Views
Nchi nyingi za Dunia ya Tatu, hasa barani Afrika, zimekuwa zikidai kuwa zinatumia mfumo wa kidemokrasia, lakini kiuhalisia demokrasia yao ni ya kivuli tu. Wananchi wanaambiwa kuwa wana uhuru wa...
1 Reactions
0 Replies
121 Views
Ila Viongozi wetu jaman kuna tunakubali mnavyotunyanyasa ila kuna muda mnapitiliza Masikio kuzidi Kichwa Kwa hiyo Siku hizi Mtu akiuza Simu ya Wizi basi mnaenda kuchukua Vitu vya ndani vya...
0 Reactions
5 Replies
495 Views
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Wakili Deogratias Mahinyila akiwahutubia wananchi wa Mpwapwa mkoani Dodoma amemvaa vikali Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira na kudai kuwa Serikali ya CCM...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Wakili Deogratius Mahinyila amesema hatakuwa tayari kuona wananchi wanaonewa kwa mambo mbalimbali kama kutozwa kodi na kukamatwa na...
5 Reactions
11 Replies
531 Views
Back
Top Bottom