Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kijana anayetaka kuwa kiongozi bora huko baadae, atakua na tabia zifuatazo: 1) Haki itashamiri. Watu wote wa makabila yote na dini zote watashamiri. 2) Cylinder zote za engine ya kiuchumi...
4 Reactions
8 Replies
668 Views
==== The Tanzanian government is in talks with two foreign investor companies that have expressed interest to build power transmission projects worth a total of $1.2 billion. If successful, these...
23 Reactions
247 Replies
8K Views
Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Jesca Kishoa, amesema anaunga mkono uteuzi wa Rais Samia Suluhu kuwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akibainisha kuwa uongozi wake umeihakikishia nchi...
0 Reactions
37 Replies
1K Views
‘A developmental state is characterized by having strong state intervention, as well as extensive regulation and planning. ... Johnson defined the developmental state as a state that is focused on...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nadhani ni muda muafaka wa kusambaza kwa nguvu zote ujumbe uliopo kwenye AZIMIO LA ARUSHA. Hii document imezikwa ili Watanzania waendelee kutawaliwa na walafi wachache. Nakushauri ukiwa unasoma...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Nyerere alijua hili lakini alikua mbishi au alizuga. Na huyu moyoni anajua kuwa kanda ya ziwa is a natural ally wa kanda ya kaskazini. Sema issue ni political power, vyama vya kisiasa, ambition...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Going back to the basics; Unemployment is a problem that needs to be addressed strategically both at individual level as well as National level.It is one thing to be productive and another to be...
1 Reactions
6 Replies
738 Views
Mimi simfahamu January. January ana reflect dilemma ya watu wa Tanga na udhaifu wao kwenye siasa za CCM Tanzania. Makabila ya pwani yenye nguvu ndani ya CCM ni watu wa mkoa wa Dar, mkoa wa...
3 Reactions
65 Replies
8K Views
Wakuu, Zile mia mia na hela za michango ya mitihani na nyingine ambazo hazina maelezo yanayoeleweka toka kwa mkuu wa wilaya au mkurugenzi mjue ni usumbufu kwa wazazi. Hapo mzazi akigoma kulipa...
0 Reactions
4 Replies
643 Views
Yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika yasiyo ya Muungano, ni kwanini wabunge toka Zanzibar wasiwe wanatoka nje ya bunge na kuwaachia wabunge wa Tanganyika kujadili mambo yanayowahusu watanganyika...
11 Reactions
52 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa serikali imetekeleza madai yote yaliyowasilishwa na vyama vya upinzani, ikiwemo maridhiano, kurejea kwa wanasiasa...
7 Reactions
135 Replies
3K Views
Huyo anaeitwa adui baada ya kusitisha misaada bajeti imeyumba, ina maada rafiki yetu wa dhati Mchina alikuwa anachangia matone ? 😓😓 Mchina rafiki yetu ana mpango gani baada ya adui kusitisha...
4 Reactions
85 Replies
1K Views
Trump amelaumu uongozi wa Obama na Biden kuruhusu watu kuja kufanya kazi ambazo zinahitaji ma-genious na hivyo kuruhusu hata watu wenye ulemavu wa akili kufanya kazi maalumu kwa ma-genious. Trump...
8 Reactions
14 Replies
762 Views
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akijibu swali la Mbunge wa viti Maalumu, Anatropia Lwehikila Theonest amezungumzia kauli ya RC Chalamila akisema: "Suala alilozungumzia ni nyeti mno, suala...
2 Reactions
18 Replies
792 Views
Wakuu Makamu Mwenyekiti wa Chadema (bara), John Heche amlipua RC Chalamila kwa kauli yake iliyozua gumzo kuhusu Mama Mjamzito aliyempigia simu na kumweleza changamoto ya ukosefu wa Gloves...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Soma: Tundu Lissu kumtetea Dkt. Slaa kama wakili, anaruhusiwa kutimiza majukumu ya kiwakili licha ya kuwa bado hajahuisha leseni yake
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa amemuagiza Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo ndani ya mwezi mmoja kufanya ukarabati wa vibanda vya wafanyabiashara wa stendi ya mabasi...
0 Reactions
1 Replies
134 Views
Wakili Peter Madeleka nimekusikia leo ukiwa unaongea ukiwa mahakama ya Kisutu. Ulikuwa unaongelea kuhusu dhamana ya Dkt. Slaa. Nimekuelewa kuwa ulikuwa unaongea utani na dhihaka kama kufikisha...
1 Reactions
1 Replies
253 Views
Matukio mbalimbali ya kuwasili kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Mugabe, Harare nchini Zimbabwe kwa ajili ya...
0 Reactions
3 Replies
415 Views
Retired mwangalieni humu JF huyu dogo Malaria 2 naye ana maumivu makubwa sana. Haaamini macho yake. Ukimsoma unamwona amekonda na kunyorodoka. Sura imejikunja ana wivu,chuki ,hasira na...
11 Reactions
37 Replies
1K Views
Back
Top Bottom