Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo unatarajiwa kusomwa uamuzi juu ya uhalali wa hati ya mashtaka kwenye kesi zinazomkabili mwanasiasa mkongwe nchini Dkt. Wilbroad Slaa.
Dkt. Slaa...
Hashim Rungwe Spunda, Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa kuhusu Jeshi la kujenga Taifa (JKT) kupata chakula na huku akiona hakuna umuhimu wakuwa na Jeshi hilo na akipendekeza...
1. Aliahidi hata kuwa legelege kama Mbowe
2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, ameonya vikali baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Ushetu waliogeuka kuwa mawakala wa wagombea wa nafasi za udiwani na ubunge, akisema...
Katika kuhakikisha mwanamke hapati vikwazo Kuna sheria ya uchaguzi inavyomlinda mwanamke sheria ya uchaguzi ya Zanzibar no. 4 ya mwaka 2018 na sera ya jinsia na ushirikishwaji wa jamii ya Tume...
sijui ni kwanini Legacy yake haizumgumziwi kabisa,
shule za kata ni moja ya kitu muhimu zaidi alichoifanyia Tanzania, na hakitasahaulika...
Mwana demokrasia na mwana diplomasia ambae hakuna...
Wakuu,
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi mkoani Songwe imemhukumu kifungo cha miaka 20 gerezani aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kata ya Mbuyuni baada ya kumkuta na hatia ya uhujumu uchumi.
Afisa...
Sawa na Ongezeko la Trillion 32.4 .
"katika mwaka 2020/2021 mashauri ya malimbikizo ya kodi za makinikia yaliamuliwa katika mahakama za rufani za kodi yenye thamani ya shilingi Trilioni 5.595 na...
KADA wa CCM na mwanahabari nguli Maulid Kitenge amewataka Viongozi wa Africa kufanya maamuzi Kwa umakini mkubwa Ili wasije kutuletea majuto huko mbele
" Tusipoushughulikia vizuri Uhuru wetu...
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais Samia ana Uhalali wa kuwa Rais kwa vipindi viwili hadi 2030 kama atapenda Kufanya hivyo na Wananchi watamchagua kwa muhula wa pili
Kwa mujibu wa Utamaduni wa CCM...
Kila wakati huwa sielewi akili za watu wanaowalaumu CHADEMA kwa matendo maovu yanayotendwa na CCM.
Serikali kwa sasa inaongozwa na CCM (hakuna Serikali ya CCM) kwa ivo kila baya linatendwa dhidi...
Soma: PICHA: Tundu Lissu aongezeka jopo la Mawakili kumtetea Dkt. Slaa Kisutu, kesi ya kusambaza taarifa za uongo
Nimeona hii issue watu wanaipost sana humu Leo kuhusu Senior Wakili Tundulisu...
Wanaume mpo?
Kuna huyu mgombea wa nafasi ya Urais huko CHADEMA, Romanus Mapunda amesema kuwa kama akishinda kuwa Rais atabadilisha mfumo wa kupeana talaka.
Mapunda amesema kuwa atabadilisha...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe amemtaka mtangazaji kuchukua fomu na kugombea katika uchaguzi ujao wa chama hicho kama anaona kwamba mwenyekiti wa sasa amekaa muda mrefu madarakani...
Kuchaguliwa kwa mtu mwenye miaka 80 kuwa makamu mwenyekiti wa chama tawala kuna madhara na faida nyingi.
Kisiasa, umri mkubwa unaweza kuleta uzoefu wa thamani, lakini pia kuna changamoto...
Utangulizi
Katika mikutano ya kumuunga mkono Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika harakati zake za kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa mwaka 2025, kumekuwa na...
Viongozi wa jamii wa kimasai Malaigwanani Zaidi ya sabini katika wilaya ya Monduli Mkoani Arusha wametoka tamko la kukipongeza chama cha Mapinduzi CCM kwa kumpitisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar kimesema bila mabadiliko ya sheria na mifumo ya uchaguzi nchini, hakutakuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka huu.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar...
Huu ni muda wa mrejesho na marejesho kwa kazi walizotutuma wananchi wa Moshi mjini Kazi iendelee
Siku ya Jumatano tumepokea gari ya pili ya zimamoto kutoka kwa Mji dada wa Marburg, Ujerumani na...
Siku hizi analala anaamkia Dar.
Sote tunajua kwamba Lema alikuwa mwanasiasa machachari wa Arusha kabla ya ujio wa Makonda.
Kwa bahati nzuri hivi sasa team Lissu kushinda amekuwa na ushawishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.